ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #18,401
Mkuu una bifu na mbeyaππππ
Watatoa wapi maokoto ya kujenga skycrapersπππAisee Kwa Sasa Mbeya inajengwa magorofa mengi sana ya watu binafsi.ππ
View attachment 2911334View attachment 2911335View attachment 2911336View attachment 2911337View attachment 2911338View attachment 2911340View attachment 2911341View attachment 2911342View attachment 2911344
Hoja kuu ya Sasa ni urefu ndio Bado
Anzisha uzi wa mbeya city photo gallery mkuu.Walioko site watuletee picha za current maana hizo za mitandaoni nyingi ziko out of date..
Jiji la Mbeya Kwa Sasa ni Construction site everywhere ,Baadhi ya picha nilizi spot siku za karibuni,Majengo yanaendelea Kusimamaππ
View attachment 2918695View attachment 2918696View attachment 2918697View attachment 2918698View attachment 2918699View attachment 2918700View attachment 2918701View attachment 2918702View attachment 2918703
Hizo picha nilipiga kati ya Mwanjelwa-Nanenane ila ukienda kule Esso,Magorofani,Mafiati na Uyole kote huko Magorofa yanazidi kupanda hewani.
Saizi Mbeya imeanza kuwa na sura ya Jiji tofauti na zamani.
Leta na ya mikoa inayoongoza kwa kupikia kuni.
Sina mambo hayoMkuu una bifu na mbeyaππππ
Mkuu una bifu na mbeyaππππ
Leta na ya mikoa inayoongoza kwa kupikia kuni.
Kanda ya Ziwa mlishapoteana baada ya kukosa Cha ku post umebakia kuwa mpenzi mtazamaji na mchonganishaji ππAnzisha uzi wa mbeya city photo gallery mkuu.
Siwachonganishi na huyo jamaa yako wa makambako, yeye anapost slum na uchafu wote wa mbeya bila kufichaππππKanda ya Ziwa mlishapoteana baada ya kukosa Cha ku post umebakia kuwa mpenzi mtazamaji na mchonganishaji ππ
Wapi Kahama?
Mbeya City Gallery imeanza hivyo ππSiwachonganishi na huyo jamaa yako wa makambako, yeye anapost slum na uchafu wote wa mbeya bila kufichaππππ
Naona mahostel ya chuo na mwaka huu utapost adi madarasa ya chekechea.Mbeya City Gallery imeanza hivyo ππView attachment 2924928View attachment 2924929View attachment 2924930View attachment 2924931View attachment 2924932View attachment 2924933View attachment 2924934View attachment 2924935View attachment 2924936View attachment 2924937View attachment 2924938View attachment 2924939View attachment 2924941View attachment 2924942View attachment 2924943View attachment 2924944View attachment 2924945View attachment 2924946View attachment 2924947View attachment 2924948
Vyuo ni sehemu ya fahari ya Jiji la Mbeya.Naona mahostel ya chuo na mwaka huu utapost adi madarasa ya chekechea.
Pambaneni na kahama kwanza.Vyuo ni sehemu ya fahari ya Jiji la Mbeya.
Pamoja na kwamba Mbeya Bado kulinganisha na Majiji mengine ila Mji unakua Kwa Kasi nzuri sana Kwa Sasa tofauti na Miaka iliyopita.
Lini gulio la Kahama limeishinda Njombe?πPambaneni na kahama kwanza.
Huo uchafu ni kitu gani? ππGulio la kahama kama kahama lilipoishinda dampo la mbeyaππ
View attachment 2924966
Uto tupagale unatufananisha na lile gudulia la kahama πππHuo uchafu ni kitu gani? ππ
Fikeni Njombe kwanza ππView attachment 2924971View attachment 2924972View attachment 2924979View attachment 2924984View attachment 2924985