Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ndio maana nakwambia kule kumejaa maskini kama wa huko uswahilini dar ,ujinga wa hivyo hauko Njombe au Mafinga ndio maana tunawaambia nyie ni maskini mnajifariji na kuitwa Manispaa sijui jiji wakati you live horrible lifeNipo Dar kimaisha, sehemu nyingi DAR ni bora hata Kahama, uwezi linganisha Keko , Vingunguti na Nyihogo, Majengo au Igomelo ya Kahama.
KAHAMA unaisoma mtandanoni wewe 😄 😄 😄Ndio maana nakwambia kule kumejaa maskini kama wa huko uswahilini dar ,ujinga wa hivyo hauko Njombe au Mafinga ndio maana tunawaambia nyie ni maskini mnajifariji na kuitwa Manispaa sijui jiji wakati you live horrible life
Uko mzima kichwani wewe kweli? Uliwahi ona wapi makao makuu ya mkoa hayana airport? By the way airport uliokuwepo Njombe toka kitambo iko barabara ya Songea na sasa tunajenga mpya maana hiyo ishamezwa na Mji na ni ndogo kuhimili ndege za kusafirisha greengoldUtajiri hata uwanja wa ndege hamna???? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ratiba za flights zipoje huko aisee? Unajua hata Kigamboni, Karagwe na Ngara kuna Airports (Air strips)? Kahama flights zipo mara 3 kwa wiki na Precision Air. Najua matajiri wa Njombe ndege huwa mnaziona tu angani halafu masikini wa KAHAMA wanazipanda tu.Uko mzima kichwani wewe kweli? Uliwahi ona wapi makao makuu ya mkoa hayana airport? By the way airport uliokuwepo Njombe toka kitambo iko barabara ya Songea na sasa tunajenga mpya maana hiyo ishamezwa na Mji na ni ndogo kuhimili ndege za kusafirisha greengold
Oppo shida yako huwa hujengi hoja..Mtajifariji Sana kwa political status lakini haipunguzi idadi ya maskini hapo Kahama
Maghorofa sio ukubwa wa mji.. unakaulimbukeni design.. hahahahaManispaa uchwara hiyo imejaa maskini ndio ilinganishwe na Njombe? Tupia picha za magorofa tuone
Tena ni Kahama Municipal bila hizo DC Ushetu + Msalala 😄 😄 😄Maghorofa sio ukubwa wa mji.. unakaulimbukeni design.. hahahaha
"Njombe + Mafinga + Makambako ndio Kahama moja.".. Chukua hiyo statement peleka bank.. nakuahidi unakopesheka.
Your Argument is all wrong.. bill gates, Elon, Jeff and others wangeficha hesabu zao za fedha...Wealth people do not compare themselves to the Joneses.
They find out what is right for themslelf and do it. Full stop.
Tabia za kujilinganisha na wengine ni za masikini na wajinga.
Bukoba ni mji utabaki kuwa na identity yake. Na wala huwezi linganisha na vimji vya uko kusini sijui na mashariki.New baby in town, Bukoba ni Manispaa tokea enzi hizo lakini haijawahi ifikia hii sehemu (KAHAMA)
View attachment 1688520
Nimeishi Bukoba, Kahama, Mwanza napajua kote. Sio kupita KUISHI zaidi ya miaka miwili kila mji.Bukoba ni mji utabaki kuwa na identity yake. Na wala huwezi linganisha na vimji vya uko kusini sijui na mashariki.
Lifestyle ya bukoba ni tofauti na kahama. Kahama ni transit town lakin bukoba ni destination town na shopping administrative fishing na cultural historical na pia tourism ( Ile ya kutembelea) . Ni mji wa kuja Tu na kuondoka ndo maana kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini a3m people na population density ikiwajuu baada ya mwanza na dar lakin watu wake huishi vijijini kwa vijiji vyake vinamaendeleo.
But bukoba bado ni second baada ya mwanza isipokuwa kwa idadi ya watu na mzunguko wa hela ambapo kahama inakuwa ya pili.
Lakin kimajengo miundombinu quality of life maendeleo ya watu elimu bukoba ni ya pili bado baada ya jiji mwanza
Your Argument is all wrong.. bill gates, Elon, Jeff and others wangeficha hesabu zao za fedha...
Ni hulka ya mwanadamu kujilinganisha... The entire existence of human interactions is based on this (Ulinganifu)
Wewe ni Nownmai kwa sababu wewe sio Kamukhm...
Bukoba ni mji utabaki kuwa na identity yake. Na wala huwezi linganisha na vimji vya uko kusini sijui na mashariki.
Lifestyle ya bukoba ni tofauti na kahama. Kahama ni transit town lakin bukoba ni destination town na shopping administrative fishing na cultural historical na pia tourism ( Ile ya kutembelea) . Ni mji wa kuja Tu na kuondoka ndo maana kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini a3m people na population density ikiwajuu baada ya mwanza na dar lakin watu wake huishi vijijini kwa vijiji vyake vinamaendeleo.
But bukoba bado ni second baada ya mwanza isipokuwa kwa idadi ya watu na mzunguko wa hela ambapo kahama inakuwa ya pili.
Lakin kimajengo miundombinu quality of life maendeleo ya watu elimu bukoba ni ya pili bado baada ya jiji mwanza
Sio lazima hizo ratiba huku zinakuja chartered flightsRatiba za flights zipoje huko aisee? Unajua hata Kigamboni, Karagwe na Ngara kuna Airports (Air strips)? Kahama flights zipo mara 3 kwa wiki na Precision Air. Najua matajiri wa Njombe ndege huwa mnaziona tu angani halafu masikini wa KAHAMA wanazipanda tu. View attachment 1688578
Miji ya kichuuzi kama Kahama huwezi kuta quality ya life kama BK au Njombe ,watu wanaishi bila utaratibu ilimradi bora liendeBukoba ni mji utabaki kuwa na identity yake. Na wala huwezi linganisha na vimji vya uko kusini sijui na mashariki.
Lifestyle ya bukoba ni tofauti na kahama. Kahama ni transit town lakin bukoba ni destination town na shopping administrative fishing na cultural historical na pia tourism ( Ile ya kutembelea) . Ni mji wa kuja Tu na kuondoka ndo maana kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini a3m people na population density ikiwajuu baada ya mwanza na dar lakin watu wake huishi vijijini kwa vijiji vyake vinamaendeleo.
But bukoba bado ni second baada ya mwanza isipokuwa kwa idadi ya watu na mzunguko wa hela ambapo kahama inakuwa ya pili.
Lakin kimajengo miundombinu quality of life maendeleo ya watu elimu bukoba ni ya pili bado baada ya jiji mwanza
Mji bila maghorofa ni mkusanyiko wa Kijiji kikubwa cha maskini acha kujifariji.Maghorofa sio ukubwa wa mji.. unakaulimbukeni design.. hahahaha
"Njombe + Mafinga + Makambako ndio Kahama moja.".. Chukua hiyo statement peleka bank.. nakuahidi unakopesheka.
Miji yote miwili nimekaa na kote nimefanya kazi kama mtaalamu mshauri urban planning and development... You are emotional...na inapimwa kwa kuona...Mji bila maghorofa ni mkusanyiko wa Kijiji kikubwa cha maskini acha kujifariji.
Kama hiyo haitoshi maturity na uzuri wa Mji pamoja na maendeleo vinadhihishwa na uwepo wa maghorofa mjini.
Weka picha hapa tuone acha kujifariji hapa
Non takenSawa mkuu.
No offense meant.
Wewe labda unahangaishwa na mahaba ya kijinga ya huko kwenu,kwamba Paris kuna maskini wengi kuliko Dar huu ni utoto weka ushahidi hapa.Oppo shida yako huwa hujengi hoja..
Kahama kimapato wanatengeza asilimia 50 ya mapato ya mkoa wa Shinyanga.
Ni kati ya halmashauri 10 tajiri kimapato nchini.. (kwenye .hili usilogwe ukaleta mkoa wa njombe utagaragara kwenye matope)
Ratio ya masikini na matajiri inapanua kadri watu wanavyoongezeka.. ndio maana Paris kuna masikini wengi kuliko DSM...ila hakuifanyi DSM kubwa bora kuliko Paris
Tatu hivi halmashauri haingojei ( na hiki ndicho kimemfurahisha rais zaidi) fedha za serikali.. inajengwa na watu na fedha zao za ndani.. kwa Njombe kuspend almost bilion 10 kwa mwaka kwenye miradi ya ndani ni ndoto ambayo iatokuja kukaa itumike
Utaratibu wa kupandishwa hadhi ni utaratibu wa Kisiasa.. ndio maana pamoja na vigezo inabidi uombe... Ingekuwa inagawiwa kama njugu Njombe mgekwishapewa...
Weka picha acha porojoKAHAMA unaisoma mtandanoni wewe [emoji1] [emoji1] [emoji1]