Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nipo Dar kimaisha, sehemu nyingi DAR ni bora hata Kahama, uwezi linganisha Keko , Vingunguti na Nyihogo, Majengo au Igomelo ya Kahama.
Ndio maana nakwambia kule kumejaa maskini kama wa huko uswahilini dar ,ujinga wa hivyo hauko Njombe au Mafinga ndio maana tunawaambia nyie ni maskini mnajifariji na kuitwa Manispaa sijui jiji wakati you live horrible life
 
Utajiri hata uwanja wa ndege hamna???? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Uko mzima kichwani wewe kweli? Uliwahi ona wapi makao makuu ya mkoa hayana airport? By the way airport uliokuwepo Njombe toka kitambo iko barabara ya Songea na sasa tunajenga mpya maana hiyo ishamezwa na Mji na ni ndogo kuhimili ndege za kusafirisha greengold
 
Ratiba za flights zipoje huko aisee? Unajua hata Kigamboni, Karagwe na Ngara kuna Airports (Air strips)? Kahama flights zipo mara 3 kwa wiki na Precision Air. Najua matajiri wa Njombe ndege huwa mnaziona tu angani halafu masikini wa KAHAMA wanazipanda tu.
1611862644975.png
 
Mtajifariji Sana kwa political status lakini haipunguzi idadi ya maskini hapo Kahama
Oppo shida yako huwa hujengi hoja..

Kahama kimapato wanatengeza asilimia 50 ya mapato ya mkoa wa Shinyanga.

Ni kati ya halmashauri 10 tajiri kimapato nchini.. (kwenye .hili usilogwe ukaleta mkoa wa njombe utagaragara kwenye matope)

Ratio ya masikini na matajiri inapanua kadri watu wanavyoongezeka.. ndio maana Paris kuna masikini wengi kuliko DSM...ila hakuifanyi DSM kubwa bora kuliko Paris

Tatu hivi halmashauri haingojei ( na hiki ndicho kimemfurahisha rais zaidi) fedha za serikali.. inajengwa na watu na fedha zao za ndani.. kwa Njombe kuspend almost bilion 10 kwa mwaka kwenye miradi ya ndani ni ndoto ambayo iatokuja kukaa itumike

Utaratibu wa kupandishwa hadhi ni utaratibu wa Kisiasa.. ndio maana pamoja na vigezo inabidi uombe... Ingekuwa inagawiwa kama njugu Njombe mgekwishapewa...
 
Wealth people do not compare themselves to the Joneses.

They find out what is right for themslelf and do it. Full stop.

Tabia za kujilinganisha na wengine ni za masikini na wajinga.
Your Argument is all wrong.. bill gates, Elon, Jeff and others wangeficha hesabu zao za fedha...

Ni hulka ya mwanadamu kujilinganisha... The entire existence of human interactions is based on this (Ulinganifu)

Wewe ni Nownmai kwa sababu wewe sio Kamukhm...
 
New baby in town, Bukoba ni Manispaa tokea enzi hizo lakini haijawahi ifikia hii sehemu (KAHAMA)
View attachment 1688520
Bukoba ni mji utabaki kuwa na identity yake. Na wala huwezi linganisha na vimji vya uko kusini sijui na mashariki.

Lifestyle ya bukoba ni tofauti na kahama. Kahama ni transit town lakin bukoba ni destination town na shopping administrative fishing na cultural historical na pia tourism ( Ile ya kutembelea) . Ni mji wa kuja Tu na kuondoka ndo maana kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini a3m people na population density ikiwajuu baada ya mwanza na dar lakin watu wake huishi vijijini kwa vijiji vyake vinamaendeleo.

But bukoba bado ni second baada ya mwanza isipokuwa kwa idadi ya watu na mzunguko wa hela ambapo kahama inakuwa ya pili.

Lakin kimajengo miundombinu quality of life maendeleo ya watu elimu bukoba ni ya pili bado baada ya jiji mwanza
 
Nimeishi Bukoba, Kahama, Mwanza napajua kote. Sio kupita KUISHI zaidi ya miaka miwili kila mji.
 
Your Argument is all wrong.. bill gates, Elon, Jeff and others wangeficha hesabu zao za fedha...

Ni hulka ya mwanadamu kujilinganisha... The entire existence of human interactions is based on this (Ulinganifu)

Wewe ni Nownmai kwa sababu wewe sio Kamukhm...

Sawa mkuu.

No offense meant.
 
Bukoba ni mji utabaki kuwa na identity yake. Na wala huwezi linganisha na vimji vya uko kusini sijui na mashariki.

Lifestyle ya bukoba ni tofauti na kahama. Kahama ni transit town lakin bukoba ni destination town na shopping administrative fishing na cultural historical na pia tourism ( Ile ya kutembelea) . Ni mji wa kuja Tu na kuondoka ndo maana kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini a3m people na population density ikiwajuu baada ya mwanza na dar lakin watu wake huishi vijijini kwa vijiji vyake vinamaendeleo.

But bukoba bado ni second baada ya mwanza isipokuwa kwa idadi ya watu na mzunguko wa hela ambapo kahama inakuwa ya pili.

Lakin kimajengo miundombinu quality of life maendeleo ya watu elimu bukoba ni ya pili bado baada ya jiji mwanza
Ratiba za flights zipoje huko aisee? Unajua hata Kigamboni, Karagwe na Ngara kuna Airports (Air strips)? Kahama flights zipo mara 3 kwa wiki na Precision Air. Najua matajiri wa Njombe ndege huwa mnaziona tu angani halafu masikini wa KAHAMA wanazipanda tu. View attachment 1688578
Sio lazima hizo ratiba huku zinakuja chartered flights
 
Bukoba ni mji utabaki kuwa na identity yake. Na wala huwezi linganisha na vimji vya uko kusini sijui na mashariki.

Lifestyle ya bukoba ni tofauti na kahama. Kahama ni transit town lakin bukoba ni destination town na shopping administrative fishing na cultural historical na pia tourism ( Ile ya kutembelea) . Ni mji wa kuja Tu na kuondoka ndo maana kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini a3m people na population density ikiwajuu baada ya mwanza na dar lakin watu wake huishi vijijini kwa vijiji vyake vinamaendeleo.

But bukoba bado ni second baada ya mwanza isipokuwa kwa idadi ya watu na mzunguko wa hela ambapo kahama inakuwa ya pili.

Lakin kimajengo miundombinu quality of life maendeleo ya watu elimu bukoba ni ya pili bado baada ya jiji mwanza
Miji ya kichuuzi kama Kahama huwezi kuta quality ya life kama BK au Njombe ,watu wanaishi bila utaratibu ilimradi bora liende

Usirudie tena kusema Vimji vya huko Kusini labda uvitaje but Iringa tuu huwezi linganisha na hicho Kijiji cha Bukoba kwa kila kitu
 
Maghorofa sio ukubwa wa mji.. unakaulimbukeni design.. hahahaha

"Njombe + Mafinga + Makambako ndio Kahama moja.".. Chukua hiyo statement peleka bank.. nakuahidi unakopesheka.
Mji bila maghorofa ni mkusanyiko wa Kijiji kikubwa cha maskini acha kujifariji.

Kama hiyo haitoshi maturity na uzuri wa Mji pamoja na maendeleo vinadhihishwa na uwepo wa maghorofa mjini.Njombe pekee imepiga kajamba town knockout ,nikiunganisha na hiyo mingine ntakuwa nakuonea

Weka picha hapa tuone acha kujifariji hapa
 
Mji bila maghorofa ni mkusanyiko wa Kijiji kikubwa cha maskini acha kujifariji.

Kama hiyo haitoshi maturity na uzuri wa Mji pamoja na maendeleo vinadhihishwa na uwepo wa maghorofa mjini.

Weka picha hapa tuone acha kujifariji hapa
Miji yote miwili nimekaa na kote nimefanya kazi kama mtaalamu mshauri urban planning and development... You are emotional...na inapimwa kwa kuona...

Uzuri ni subjective, na ili tuestablish wapi kuzuri zaidi tunategemea objectivity ya wengi inafavor wapi..

Kwa kesi ya Kahama na Njombe ukiondoa natural factor ..of which sio wananjombe are responsible for it.. Njombe ni pa hovyo kabisa..

Na ukiondoa government intervention ya juhudi za kuichangamsha kama center ya mkoa huko Njombe ni machokoroni. Niamini..

Kukusaidia keep track ya Njombe na Bariadi for the next two years.. by then you will be more mature and objective to.judge on your own..free of emotions.

NJOMBE NI PA HOVYO... NA DUNIANI KOTE HAKUNA MJI UNATEGEMEA GREEN GOLD.... MIJI INATEGEMEA UZALISHAJI VIWANDANI. UKAWE NA MJI MKUBWA KAMA KAHAMA HALAFU UTEGEMEE KILIMO UNADHANI HAYO MASHAMBA YATAKUWA MAKUBWA KIASI GANI!?

WAKE UP
 
Oppo shida yako huwa hujengi hoja..

Kahama kimapato wanatengeza asilimia 50 ya mapato ya mkoa wa Shinyanga.

Ni kati ya halmashauri 10 tajiri kimapato nchini.. (kwenye .hili usilogwe ukaleta mkoa wa njombe utagaragara kwenye matope)

Ratio ya masikini na matajiri inapanua kadri watu wanavyoongezeka.. ndio maana Paris kuna masikini wengi kuliko DSM...ila hakuifanyi DSM kubwa bora kuliko Paris

Tatu hivi halmashauri haingojei ( na hiki ndicho kimemfurahisha rais zaidi) fedha za serikali.. inajengwa na watu na fedha zao za ndani.. kwa Njombe kuspend almost bilion 10 kwa mwaka kwenye miradi ya ndani ni ndoto ambayo iatokuja kukaa itumike

Utaratibu wa kupandishwa hadhi ni utaratibu wa Kisiasa.. ndio maana pamoja na vigezo inabidi uombe... Ingekuwa inagawiwa kama njugu Njombe mgekwishapewa...
Wewe labda unahangaishwa na mahaba ya kijinga ya huko kwenu,kwamba Paris kuna maskini wengi kuliko Dar huu ni utoto weka ushahidi hapa.

Pili ratio ya maskini na wenye nafuu ndio inaifanya Njombe kuwa bora kuliko Kahama kwenye kila nyanja ya social services na economic development hilo linajidhihirisha kwa ubora wa makazi ikiwemo magorofa,narudia magorofa

Tatu Kuhusu mapato Khm sio tajiri kushinda Geita au Miji mingine yenye mapato kushinda Kahama tofauti ni ubunifu wa DED na madiwani kuelekeza mapato kwenye miradi ambayo itazalisha zaidi mapato au kutoa huduma kwa umma ,hicho ndio kimemkuna Rais na si kwamba eti Kahama inajitegemea kwa mapato hilo halipo imefanya tu kama Dom wanaojenga mahoteli sijui parking nk kwa mapato ya ndani.

Hata hivyo mapato ya Njombe kuwa sasa ni around 4.5 bln ikiwa juu ya Manispaa nyingi tuu na ni Kati ya miji mi 5 yenye mapato makubwa kwa Tzn na hili limeifanya Njombe kufanya miradi kama ya kujitegemea kwa mfano kujenga vituo vya afya na shule kulingana na kipaombele,ref.ziara ya Jafo mwanzo wa January hii alivyomwaga masifa kwa Njombe.

Mara nyingi huwa nasema growth rate ya shughuli za kiuchumi kwa Kahama na Njombe ni tofauti Kahama iko kwenye maturity stage wakati huku Njombe ndio kwanza fursa zinafunguliwa ,ukiangalia mapato ya Kahama kwa miaka mingi yako around 4-6 bln wakati kwa Njombe ni from 2 bln to 4bln over the last 5 years ko Unapata picha kwamba ndani ya miaka hii mitano tutamatch au kuvuka hiyo ya Kahama just tu kama Geita ilivyowapita.

Watch out miji hii hapa,Njombe,Mafinga,Tunduma,Chalinze,Mbinga na Ifakara inakuja kwa Kasi huku Njombe tukiwa front ya hao wote niliowataja so is just a matter of time
 
Back
Top Bottom