Kahama VS Njombe/Mafinga

Ebu weka orodha yote ya viwanda vilivyopo Njombe+Makambako tuone kama vinafika hata nusu ya viwanda vilivyopo Shinyanga
Jambo group pekee wanamiliki viwanda vya bidhaa tofauti zaidi ya 12,hapo bado kom group, fresho, gaki&East African spirits nawengineo kina dahong. Kumbuka nafasi ya viwanda kanda ya ziwa baada ya mwanza sasa vinaamia mkoa wa Shinyanga,ndipo viwanda vingi kwa kanda ya ziwa sasa vinawekwa.
 
Yaani nyie watu wa Njombe aliyewaaminisha kuwa nyie ni matajiri mbinguni atapaskia tuπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Kabla ya kuja kutembea tembea ndani ya mkoa wa Geita, nilikuwa na akili na imani kama za watu wa Njombe πŸ€£πŸ€”πŸ€— kuwa Geita ni mkoa maskini.
Nilienda wilaya ya Geita vijijini mpaka Nkome huko nikashangaa kuona watu wamejenga nyumba za heshima tu hakuna kijiji hata kimoja kilicho kaa kizembe watu wameweka misauzi ya adabu πŸ’₯
Three weeks ago nilienda pia kutembea maeneo ya machimbo ya dhahabu nyaruyeye, nilikuta miji mikubwa sana watu wanapesa haihitaji usubiri data za selikari kutambua hilo yaani maeneo ya SEGESE, NYARUGUSU, KAKOLA ( siwezi kuita vijiji wakati vinazidi karibia wilaya zote zilizoko njiani from Singida to Morogoro ukitoa Singida mjini na Dodoma City.
 
Watu wa Njombe ni kama wakenya sijui nani aliwadanganya kuwa wao ni matajiri sana 🀣🀣🀣
 
Kitambo Sana njombe ilishatoka huko ww vp sio hoja ya kujisifia tena Kaa kimya hata takwimu zinaongea
 
Hahaha wenzenu wametenga mji nyie mnatuchanganyia mara vya kahama sijui shinyanga ,geita ,mwanza , mara kwa taarifa yako mikoa inayokuja kufanya mageuzi ya viwanda tanzania ni 1 pwani 2 njombe 3 dodoma 4 shinyanga ila huko geita endeleeni kufukua mashimo na pwani iki Kaa vibaya inafunikwa na njombe njombe imejipanga wawekezaji wamemwagika kumbuka msingi wa kiwanda ni chuma na chuma Sasa ni njombe makambako mji wa viwanda na biashara
 
Mwanza hakuna Viwanda vingi Kwa Sasa,imepigwa BAO na Shinyanga Kwa sababu za Shy Ardhi tambarare inapatikana kirahisi tofauti na Mwanza.

Hata hivyo Hakuna Mji wowote wa Kanda ya Ziwa unaizidi Mbeya Kwa Viwanda.

Nyanda za Juu Kusini Miji ya viwanda Kwa Sasa ni Mbeya, Makambako na Iringa.
 
Kwani kahama iko mkoa upi ?Haiko Shinyanga 🀣🀣🀣🀣 mbona tukiweka Shinyanga mnaanza kuogopa πŸ‘‡πŸ‘‡tupate wazamini kwanza, maana nyie hamuwezi kupost picha za hivi ili kuficha kutu na uozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…