Yaani nyie watu wa Njombe aliyewaaminisha kuwa nyie ni matajiri mbinguni atapaskia tuπ€£ππ€£
Kabla ya kuja kutembea tembea ndani ya mkoa wa Geita, nilikuwa na akili na imani kama za watu wa Njombe π€£π€π€ kuwa Geita ni mkoa maskini.
Nilienda wilaya ya Geita vijijini mpaka Nkome huko nikashangaa kuona watu wamejenga nyumba za heshima tu hakuna kijiji hata kimoja kilicho kaa kizembe watu wameweka misauzi ya adabu π₯
Three weeks ago nilienda pia kutembea maeneo ya machimbo ya dhahabu nyaruyeye, nilikuta miji mikubwa sana watu wanapesa haihitaji usubiri data za selikari kutambua hilo yaani maeneo ya SEGESE, NYARUGUSU, KAKOLA ( siwezi kuita vijiji wakati vinazidi karibia wilaya zote zilizoko njiani from Singida to Morogoro ukitoa Singida mjini na Dodoma City.