Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa mbona hao Wazambia kutwa wanazurula kariakoo?
Yaani mtu anasema wanajifunza kutoka zambia tena roll modal wa miji yao ni Lusaka 😂😂🤭 ukiangalia Lusaka yenyewe sasa haina mvuto wowote ule 🤭🤭 bila kubadilika hawa jamaa tusitegemee kupata mji wa kuvutia kutoka nyanda za juu kusini utakaotufanya tujimwambafy🤗 hata kwenye threads zingine
 
Yaani mtu anasema wanajifunza kutoka zambia tena roll modal wa miji
IMG-20241010-WA0019.jpg
yao ni Lusaka 😂😂🤭 ukiangalia Lusaka yenyewe sasa haina mvuto wowote ule 🤭🤭 bila kubadilika hawa jamaa tusitegemee kupata mji wa kuvutia kutoka nyanda za juu kusini utakaotufanya tujimwambafy🤗 hata kwenye threads zingine
Endelea kuongea afu mwisho wa siku utavotoka kwenye vijiji vyako hivyo ndo utaelewa
 
Yaani mtu anasema wanajifunza kutoka zambia tena roll modal wa miji yao ni Lusaka 😂😂🤭 ukiangalia Lusaka yenyewe sasa haina mvuto wowote ule 🤭🤭 bila kubadilika hawa jamaa tusitegemee kupata mji wa kuvutia kutoka nyanda za juu kusini utakaotufanya tujimwambafy🤗 hata kwenye threads zingine
""TUTAENDELEA KUWEKEZA TANZANIA"BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA APOKELEWA NA RC MTAKA AMPOKEA - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=y2oIDQSt7gc
 
Yaani mtu anasema wanajifunza kutoka zambia tena roll modal wa miji yao ni Lusaka 😂😂🤭 ukiangalia Lusaka yenyewe sasa haina mvuto wowote ule 🤭🤭 bila kubadilika hawa jamaa tusitegemee kupata mji wa kuvutia kutoka nyanda za juu kusini utakaotufanya tujimwambafy🤗 hata kwenye threads zingine
Tunavo kwambia mpango wa mkoa wa njombe kuhusu makambako ni mkubwa Sana na wamejipanga na utambue kwa plan hii Mzee wa mapaa utatumia bidhaa kutoka kwenye mji huu wa makambako maana tayari viwanda vinaenda kusheheni👇👇👇👇👇👇👇👇i
View: https://www.instagram.com/p/DA9cddqIod3/?utm_source=ig_web_copy_link
 
Yaani mtu anasema wanajifunza kutoka zambia tena roll modal wa miji yao ni Lusaka 😂😂🤭 ukiangalia Lusaka yenyewe sasa haina mvuto wowote ule 🤭🤭 bila kubadilika hawa jamaa tusitegemee kupata mji wa kuvutia kutoka nyanda za juu kusini utakaotufanya tujimwambafy🤗 hata kwenye threads zingine
Wenzenu wanaenda level za miji mikubwa duniani inafanya nini we endelea kusifia mapaa MAKAMBAKO STEEL INDUSTRIAL PARK KAZI INAENDELEA👇👇👇
IMG-20241012-WA0007.jpg
IMG-20241011-WA0009.jpg
 
Hivyo ndo vinaenda kuwa viwanda vikubwa vya chuma Africa makambako steel industrial park na mvumi steel industrial park Zimbabwe Makambako steel industrial park 👇
IMG-20241011-WA0009.jpg
Mvumi steel industrial park Zimbabwe 👇
ulmOGltZMkFtuB2tUpPWQmVDM4PeJs6BLuoRzbQs.jpg
 
Kipagamo sub town INAZIDI kukaa sawa ndani ya makambako IRINGA ROAD
IMG_20241012_170754_594.jpg
IMG_20231229_100253_838.jpg
 
Back
Top Bottom