Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Punguza sifa,kongani kubwa ni sino tan Kibaha
Ni sahihi nilikuwa namaanisha ya upande wa chuma sino inaeleweka Ina zaidi ya viwanda 200 eneo ekari 2000 I ingawa nahawa nao eneo ni kubwa Sana eneo ambalo tayari wamesha safisha na kujenga Barabara ni ekari 500 na bado Wanaendelea kutanua eneo sijajua saiz wamefikisha ekari ngapi
IMG-20241013-WA0006.jpg
 
Soko la kimataifa la Kanda ya nyanda za juu kUsini ndani ya makambako jinsi litakavyo kuwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 62
DSC06295.JPG
DSC06298.JPG
 
Njombe ni mji unaokuwa kwa kasi sana na huwezi fananisha kwa miji Hiyo ya mafinga na Kahama,na mafinga itaendelea kwa kuchelewa lakini ni permanent kwa vile mafinga hutegemea Kilimo cha miti ,Chai,matunda na kuna viwanda vingi sana, Kahama ni madini na hakuna viwanda Kilimo sio sana
Madini non renewable resource yakiisha na habari ya maendeleo ya Kahama imeisha
 
Back
Top Bottom