Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa mbona hao Wazambia kutwa wanazurula kariakoo?
 
Sasa mbona hao Wazambia kutwa wanazurula kariakoo?
Yaani mtu anasema wanajifunza kutoka zambia tena roll modal wa miji yao ni Lusaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€­ ukiangalia Lusaka yenyewe sasa haina mvuto wowote ule 🀭🀭 bila kubadilika hawa jamaa tusitegemee kupata mji wa kuvutia kutoka nyanda za juu kusini utakaotufanya tujimwambafyπŸ€— hata kwenye threads zingine
 
Endelea kuongea afu mwisho wa siku utavotoka kwenye vijiji vyako hivyo ndo utaelewa
 
""TUTAENDELEA KUWEKEZA TANZANIA"BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA APOKELEWA NA RC MTAKA AMPOKEA - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=y2oIDQSt7gc
 
Tunavo kwambia mpango wa mkoa wa njombe kuhusu makambako ni mkubwa Sana na wamejipanga na utambue kwa plan hii Mzee wa mapaa utatumia bidhaa kutoka kwenye mji huu wa makambako maana tayari viwanda vinaenda kusheheniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡i
View: https://www.instagram.com/p/DA9cddqIod3/?utm_source=ig_web_copy_link
 
Wenzenu wanaenda level za miji mikubwa duniani inafanya nini we endelea kusifia mapaa MAKAMBAKO STEEL INDUSTRIAL PARK KAZI INAENDELEAπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hivyo ndo vinaenda kuwa viwanda vikubwa vya chuma Africa makambako steel industrial park na mvumi steel industrial park Zimbabwe Makambako steel industrial park πŸ‘‡
Mvumi steel industrial park Zimbabwe πŸ‘‡
 
Kipagamo sub town INAZIDI kukaa sawa ndani ya makambako IRINGA ROAD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…