Kahama VS Njombe/Mafinga

Hamtoweza kupambana na the Land of gold πŸ’₯πŸ’₯ angalia lesen za uchimbaji hapo soma vizuri πŸ‘‡ unapoona neno " wachimbaji wadogo wadogo" usiwa- underate ni mamillionea hao more than 1000
 
Hivi tayar mitambo ipo hewan viwanda vya mafuta ya parachichi ndani ya makambako
 
Tumekwambia ni mchanganyiko wapo watanzania na mataifa MENGINE mbona ni mgumu kuelewa na hii ipo kwenye miji yote ya viwanda nenda pwani kajifunze uone je wote ni watanzania na huyu ndo mwekezaji mkubwa wa parachichi east Africa ana viwanda Kenya na Tanzania kwa Sasa ndo amejenga kiwanda kikubwa zaidi kwa Sasa atakuwa na viwanda viwili ndani ya makambako ambako ndo headquarters ya kampuni lake kwa Tanzania
 
Weka list ya hivyo viwanda na wamiliki ndio tuchambue kiuchumi zaidi
 
Mtando wa lami unazidi kuongezwa Kila Kona ndani ya mitaa ya makambako tc
 
Lami zinaendelea kupigwa kuunganisha na makambako ya viwanda na biashara mkoa wa njombe wamejipanga km 19 zinapigwa lami hadi igwachanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…