Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huo ni uchafu umerundikana tu
Kuliko huu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£
images (14).jpeg
 

Hamtoweza kupambana na the Land of gold πŸ’₯πŸ’₯ angalia lesen za uchimbaji hapo soma vizuri πŸ‘‡ unapoona neno " wachimbaji wadogo wadogo" usiwa- underate ni mamillionea hao more than 1000
Screenshot_20241028-121248.png
 
Hivi tayar mitambo ipo hewan viwanda vya mafuta ya parachichi ndani ya makambako
IMG_20241028_163738_679~2.jpg
IMG_20241028_164119_406~2.jpg
 
Tumekwambia ni mchanganyiko wapo watanzania na mataifa MENGINE mbona ni mgumu kuelewa na hii ipo kwenye miji yote ya viwanda nenda pwani kajifunze uone je wote ni watanzania na huyu ndo mwekezaji mkubwa wa parachichi east Africa ana viwanda Kenya na Tanzania kwa Sasa ndo amejenga kiwanda kikubwa zaidi kwa Sasa atakuwa na viwanda viwili ndani ya makambako ambako ndo headquarters ya kampuni lake kwa Tanzania
IMG_20231229_162328_491~2.jpg
 
Tumekwambia ni mchanganyiko wapo watanzania na mataifa MENGINE mbona ni mgumu kuelewa na hii ipo kwenye miji yote ya viwanda nenda pwani kajifunze uone je wote ni watanzania na huyu ndo mwekezaji mkubwa wa parachichi east Africa ana viwanda Kenya na Tanzania kwa Sasa ndo amejenga kiwanda kikubwa zaidi kwa Sasa atakuwa na viwanda viwili ndani ya makambako ambako ndo headquarters ya kampuni lake kwa TanzaniaView attachment 3137818
Weka list ya hivyo viwanda na wamiliki ndio tuchambue kiuchumi zaidi
 
Mtando wa lami unazidi kuongezwa Kila Kona ndani ya mitaa ya makambako tc
IMG_20241028_160016_430.jpg
IMG_20241028_164513_350~2.jpg
 
Lami zinaendelea kupigwa kuunganisha na makambako ya viwanda na biashara mkoa wa njombe wamejipanga km 19 zinapigwa lami hadi igwachanya
1724032224487.jpg

IMG-20241024-WA0054.jpg
IMG-20241024-WA0028.jpg
IMG-20241024-WA0054.jpg
 
Back
Top Bottom