Kahama VS Njombe/Mafinga

MAKAMBAKO NJOMBE INAKWENDA KUWA NDO HUB YA UMEME UKANDA WA NYANDA ZA ZA JUU KUSINI NA KUSINI πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika.

Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Zuberi Kuchauka, Mbunge wa Liwale aliyetaka kufahamu uamuzi wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha umeme Jimbo la Liwale.

#kilichoborakabisa
 
Njombe naijua vizuri πŸ€—πŸ€­ huwezi kupotosha watu then nikakuacha
Ndo maana tulisha kwambia tembea uijue miji sio kubaki unatuletea mapaa ya ya Kijiji cha Katoro humu Sasa kama unabisa kuwa hii ni njombe alafu unajidai umetembea asee we bado miji mingi huijui Mzee ndo maana tunavokwambia katoro Bado ni Kijiji huelewi
 
Tangu lini CBD ikawa na nyumba tatu πŸ€—πŸ˜‚πŸ˜‚ au moja punguza ushamba na mji wako wa kizamani huo 🀣🀣 kula chuma kwanza πŸ‘‡
 
Tangu lini CBD ikawa na nyumba tatu πŸ€—πŸ˜‚πŸ˜‚ au moja punguza ushamba na mji wako wa kizamani huo 🀣🀣 kula chuma kwanza πŸ‘‡View attachment 3148484
Level za Kijiji CHAKO ni sawa na sub town zinazoizunguka makambako kama igwachanya ingawa Hawa wanajenga kwa mpangilio na lami za mitaa zipo za kutosha tofauti na Kijiji chenu mlicho kilundika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…