MAKAMBAKO NJOMBE INAKWENDA KUWA NDO HUB YA UMEME UKANDA WA NYANDA ZA ZA JUU KUSINI NA KUSINI ππππππππNaibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika.
Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Zuberi Kuchauka, Mbunge wa Liwale aliyetaka kufahamu uamuzi wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha umeme Jimbo la Liwale.
#kilichoborakabisa