Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbona unapost kijengo kimoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚post kama ambavyo huwa nafanya tuone vituko,
Lengo langu nikukuonyesha tu kuwa hiyo kanda yenu ndio The less developed region πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani developed on paper written documents. Hata ile kigoma ambayo huwa mnazani pabovu bado hamjaifikia sembuse Geita
 
Sisi hatuhangaiki kuposti mapaa Mzee nilisha kwambia saiz mapaa ya mfumo huo yapo hadi vijijini hebu uwe unatofautisha kati ya vijiji na mjini basi nyumba ZAKO unazoposti ni zavijijini angalia CBD za miji yote duniani wanajenga nini huko tulishatoka Mzee saiz ni mwendo wa kubomoa na kujenga gorofa project zinaendelea makambako again na eneo hili ni mwendo wa kuvunja mijengo na kujenga gorofa
 
Weka picha za maana sio kuokoteza vi slums kisa vibati vya msauzi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCfJDlTIbvp/?igsh=bHZ3d2k4cGw5dWVq
 
TUNAVOSEMA NJOMBE INATENGENEZA MJI MKUBWA WA VIWANDA NA BIASHARA TUNAMAANISHA MOJA YA KAZI ZINAZOFANYIKA WANGINGOMBE

1.Milioni 90 zipo tayari kufanya Bwawa la Lihogosa kuwa eneo zuri la kitalii/kupumzika

2.Wanging'ombe Kuwa na Parking Kubwa ya Malori (Halali)

3.Barabara ya Lami Itulahumba - Igwachanya kukamilika Januari 2025, kutakuwa na parking ili watu wapate nafasi kwenda kupumzika Lihogosa-Mawindi Beach

4.Kiwanda Cha Kuchakata Viazi/Irish potatoes processing

5.Mnada wa Wanyama Wanging'ombe/Ufwala kuboreshwa ili kuwe na vyoo vizuri, mabafu na mabanda mazuri ya nyamachoma, yaani kuwe na 'Mnadani -Dodoma' au 'Kwa Mrombo-Arusha'.

5.Utalii Mount Kipengere,n.k 6 Ujenzi wa viwanja vya michezo vya kimataifa ufwala



"Uchumi mnao, mmeukalia Tu" - Ali Hassan Mwinyi.

Hongera DED Wanging'ombe, Baraza la Madiwani, Viongozi wa Ngazi Zote na Wananchi Kwa Ujumla.
Tuendelee Kutumia Luhala.
Halmashauri imeanza 2012, Kasi Yake kimaendeleo licha ya kuwa eneo maskini kuliko yote, si ya kitoto!
 
Population ya kahama ni mji wa 6 baada ya Dar, Mwanza, Mbeya,Tanga na Arusha vilevile ni Economical Hub kwa mwingiliano wa nchi jirani za Rwanda na Burundi.. msifananishe Kahama na huko kwa wagema ulasi..
Kuwa na population kubwa ndio uzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…