Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Chuo Cha afya st Joseph ikelu makambako kazi inaendele
IMG_20241029_135837_606~2.jpg

istituto_04.jpg
istituto_02.jpg
IMG-20240614-WA0025.jpg
IMG-20240614-WA0029.jpg
 
Mbona unapost kijengo kimoja 😂😂😂😂😂post kama ambavyo huwa nafanya tuone vituko,
Lengo langu nikukuonyesha tu kuwa hiyo kanda yenu ndio The less developed region 😂😂 yaani developed on paper written documents. Hata ile kigoma ambayo huwa mnazani pabovu bado hamjaifikia sembuse Geita
 
Mbona unapost kijengo kimoja 😂😂😂😂😂post kama ambavyo huwa nafanya tuone vituko,
Lengo langu nikukuonyesha tu kuwa hiyo kanda yenu ndio The less developed region 😂😂 yaani developed on paper written documents. Hata ile kigoma ambayo huwa mnazani pabovu bado hamjaifikia sembuse Geita
Sisi hatuhangaiki kuposti mapaa Mzee nilisha kwambia saiz mapaa ya mfumo huo yapo hadi vijijini hebu uwe unatofautisha kati ya vijiji na mjini basi nyumba ZAKO unazoposti ni zavijijini angalia CBD za miji yote duniani wanajenga nini huko tulishatoka Mzee saiz ni mwendo wa kubomoa na kujenga gorofa project zinaendelea makambako again na eneo hili ni mwendo wa kuvunja mijengo na kujenga gorofa
WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1).jpeg
WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1)(0)~3.jpg
1731899506299.jpg
IMG_20241005_162922_347.jpg
1710058175857~2.jpg
IMG_20241117_172825_209~2.jpg
IMG_20241117_172551_508.jpg
IMG_20241117_172825_209.jpg
1731899506299.jpg
 
TUNAVOSEMA NJOMBE INATENGENEZA MJI MKUBWA WA VIWANDA NA BIASHARA TUNAMAANISHA MOJA YA KAZI ZINAZOFANYIKA WANGINGOMBE

1.Milioni 90 zipo tayari kufanya Bwawa la Lihogosa kuwa eneo zuri la kitalii/kupumzika

2.Wanging'ombe Kuwa na Parking Kubwa ya Malori (Halali)

3.Barabara ya Lami Itulahumba - Igwachanya kukamilika Januari 2025, kutakuwa na parking ili watu wapate nafasi kwenda kupumzika Lihogosa-Mawindi Beach

4.Kiwanda Cha Kuchakata Viazi/Irish potatoes processing

5.Mnada wa Wanyama Wanging'ombe/Ufwala kuboreshwa ili kuwe na vyoo vizuri, mabafu na mabanda mazuri ya nyamachoma, yaani kuwe na 'Mnadani -Dodoma' au 'Kwa Mrombo-Arusha'.

5.Utalii Mount Kipengere,n.k 6 Ujenzi wa viwanja vya michezo vya kimataifa ufwala



"Uchumi mnao, mmeukalia Tu" - Ali Hassan Mwinyi.

Hongera DED Wanging'ombe, Baraza la Madiwani, Viongozi wa Ngazi Zote na Wananchi Kwa Ujumla.
Tuendelee Kutumia Luhala.
Halmashauri imeanza 2012, Kasi Yake kimaendeleo licha ya kuwa eneo maskini kuliko yote, si ya kitoto!
 
Population ya kahama ni mji wa 6 baada ya Dar, Mwanza, Mbeya,Tanga na Arusha vilevile ni Economical Hub kwa mwingiliano wa nchi jirani za Rwanda na Burundi.. msifananishe Kahama na huko kwa wagema ulasi..
Kuwa na population kubwa ndio uzuri?
 
Back
Top Bottom