Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Chunya
1732548278474.jpg
 
Mambo ni moto 👇👇👇👇 huu mradi utahudumia kuanzia UBARUKU ,wangingombe na makambako moja ya miradi mikubwa nyanda za juu kUsini ukiongozwa na wa kiwira 👇👇👇👇👇Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri akikagua maenndeleo ya Mradi wa maji wa miji 28 katika mji wa Makambako, eneo la ujenzi wa tanki kubwa la kuhifadhi maji yatakayowahudumia wananchi.
1733372028902.jpg
1733372023839.jpg
 
Back
Top Bottom