Mambo ni moto ππππ huu mradi utahudumia kuanzia UBARUKU ,wangingombe na makambako moja ya miradi mikubwa nyanda za juu kUsini ukiongozwa na wa kiwira πππππKatibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri akikagua maenndeleo ya Mradi wa maji wa miji 28 katika mji wa Makambako, eneo la ujenzi wa tanki kubwa la kuhifadhi maji yatakayowahudumia wananchi.