Kahama VS Njombe/Mafinga

Hiv iringa kuna nini zaidi ya vile vinyumba vilivyobanana kama manzese.

Yaan tukichukua manzese haina tofauti na iringa.

Bukoba inapazidi iringa kwa Hali ya maisha social life. Hali ya hewa .elimu .bukoba kuna bandari kubwa tena mbili. Airport nzr Tu na iko busy. Beaches za kutosha.sports. shule kibao huduma za kijamii ni Bora nk. Ila iringa ni slums Tu mji huna sehemu za kupumua na baridi kila wakati na vichochoro kibao.
 
Iringa kwa kitu gani Bro, ambacho Iringa inaizidi Bukoba ni Makumbusho ya Mkwawa na Uwepo wa vyuo Vikuu basii....ebu tupe Ratiba z Ndege hapo Iringa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyew namshangaa. Unajua watu wakiona mji ushakua na stendi na soko wanaona kama miji yote ambayo ambayo haina iko nyuma.
Bukoba kuna
1. Airport kubwa tena nzr na iko busy. Air tz. Precision.community na auric Wana safari zao kila siku. Yaan ukiondoa majiji bukoba ndo manispaa pekee yenye abiria wengi na route busy ya ndege.
2. Bukoba kuna bandari mbili bukoba custom.na kemondo usafirishaji wa majini uko busy hasa bukoba na mwanza.
3.Bukoba ndo kitovu cha elimu bongo ingawa hakuna vyuo vikuu vya umma lakin kuna shule Bora za msingi na secondary na pia watu wake wameelimika na wanathamini elimu sana.mjini pale Tu kuna high school zaidi ya 15.
4. Huduma za kijamii ziko Bora Sana bukoba hasa afya. Mkoa wa kagera Una hospital 20 sasa . Kanisa katoliki na Lutheran wameishika afya vzr Sana bukoba. Bado maji.umeme nk.
5. Starehe na shangwe bukoba ndo mahali pake . Tukianzia kwenye beaches.clubs.michezo kuna uwanja kama kaitaba Una nyasi bandia.kuna beach Kali Sana bukoba.

6.mandhari na Hali ya hewa ya bukoba huwezi linganisha na popote tz hii mjini hakuna baridi wala joto huku pakiwa kijani muda wote.
 
Hivyo ulivyotaja ni baadhi tu ya mambo mengi yanayoizidi BK mengine ni kama yafuatayo,
1.Viwanda
2.Mapato
3.Magorofa/Hotel
4.Miundombinu mizuri eg Stand
5.Utalii hifadhi ya Ruaha
6.Taasisi za elimu kama Vyuo nk
Tuanze na viwanda .hebu nitajie viwanda vilivyopo iringa mpaka muizidi bukoba?
Mimi nataja vilivyopo bukoba.
1. Viwanda vya maji ya kunywa bunena. Asilia.tanica.kabanga na Rumuli.
2. Viwanda vya samaki . Bukoba kuna vicfish
3. Viwanda vya chai. Bukoba kuna chai yetu.
4. Viwanda vya kahawa bukoba kuna amir amza.na Tanica.na pia bukop
5. Viwanda vya juisi bukoba kuna mayawa.
6 viwanda vya sukari bukoba kuna kagera sugar
7.viwanda vya soda bukoba kuna pepsi na tawi la balimi.
8 viwanda kuzalisha umeme ndolage.rusumo na kitengule
9 viwanda vya maziwa kyaka.kaham a nk.

Tuje kwenye hotel iringa kuna hotel gan kuizidi bukoba? Hebu tuzitaje hotel zilizopo bukoba.
1. BCD Stella hotel
2 The walkguard
3.kolping hotel
4. Transit hotel
5. Victorious perch hotel
6 elct hotels
7. Perfect hotel
8 smart hotel Bukoba
9. Lake view hotel
10. Bugabo hotel
11. Kibira plaza hotel
12. Prince IP hotel
13. Kyanyi resort
14. Fortel hotel
15.coffee tree hotel.
16. Banana hotel.
17.bijampola hotel
18 sky hotel
19 pk hotels

Hiz ni beaches bukoba
1. Bukoba coop beach
2. Rocky beach resort
3. Bukoba vive beach
4. Miami beach
5 the eco beach
6 bukoba stone beach
7 kabuhara beach
8. Spice beach
9. Kiroyera beach


Maeneo ya utalii.
1. Ndolage waterfall's.
2. Bugandika ancient drawings.
3. Kyamunene waterfall's
4. Beaches
5.rumanyika ibanda national parks
6. Minziro forest.
7. Burigi chato national park.


Bukoba kuna vyuo vya uma matawi Tu but kuna shule nyingi za serikali na binafsi mfano high school bukoba mjini Tu zipo zaidi ya 20

Miundombinu labda iringa iizidi bukoba stendi ( nayo inajengwa)na soko Tu. Lakin vingine hakuna kitu. Tena Bora ya bukoba kuna airport. bandari .uwanja wa Mpira wa kisasa. Barabara za lami mpaka vijijini

Quality of life na Hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja bukoba iko juu kuliko huko manzese ndogo ya iringa
 
Kwa mara ya kwanza umenishawishi kwa point as far as Khm is concerned

Kuhusu impacts finyu za miradi mikubwa hili ni obvious maana ndio msingi hata wa hoja yangu kuiponda Khm kwamba imejaa maskini licha ya kuzungukwa na migodi mikubwa.

Back kwa Njombe pamoja na kwamba mega investments huwa hazina impacts kubwa but natarajia itaongeza kitu kwa speculation kama ulivyosema,kwa Mji ambao unakua hilo likifanyika ita add value Sana.Hata hivyo drivers kubwa za Uchumi wa Njombe zitasalia kuwa timber industry, agriculture industry hasa subsector yake inayokuja kwa Kasi ya horticultural products,,hii inastimulate Sana agro industries .

Kwa kufungua barabara xinazounganisha Njombe na mikoa ya Morogoro,Mbeya na Ruvuma kupitia Ludewa itapiga jeki Sana uchumi wa Njombe .

Kuhusu barabara za mijini hilo ni mradi wa nchi nzima unaitwa Tactic utafanyika kwenye Cities,Municipalities na Town Councils zote nchini kuanzia mwaka huu wa fedha tena ni asphalt kama ulivyosema ila tofauti itakuwa kwenye idadi ya km kutoka council moja Hadi nyingine

On top of that Govt iko mbioni ku rehabilitate barabara kuu ya Makambako Njombe Songea kwa kuiongeza upana na kuijenga upya ikiwemo miji inamopitia just kama Tanzam sasa huu mradi plus huo wa Tactic itakuwa big facelift ya Mji wa Njombe.Afu kwa taarifa yako tu ni kwamba barabara zote kuu zinazoendelea kujengwa Njombe kwa sasa ni asphalt concrete na rigid pavement tuu kwa sababu ya loading kubwa inayotoka Njombe
 
Kahama is [emoji91][emoji91][emoji91]
Kila Mji is fire kwa sasa nyie ndio kwanza mnatambaa saizi,hivyo viwanda mnavyosema wengine walikuwanavyo kitambo kwa mfano Mafinga kuna viwanda 13 vikubwa na vya Kati na vidogo kibao nadhani nyote mnaijua Chai bora.Njombe kuna viwanda vya diary milk,maji na juice kitambo sana na mkulu alizindua na vingine ko msijidanganye kila Mji umetenga maeneo ya viwanda

Na mwaka huu wa feza serikali inaanzisha mnada wa Chai badala ya Mombasa sasa utakuwa Mafinga au Njombe ko stay tuned

Msije kukudanganya bongo saizi karibu kila Mji unakimbia yaani huwezi amini Hadi Sumbawanga kuna viwanda na soon wanazindua grain factory na kiwanda cha kusindika samaki anasubiliwa mkulu aje kufanya yake,nyie wa Khm mnahemka saizi kwa vile mlichelewa na mnahisi mko ahead kumbe you are too late
 
Wewe ndio ngumbaru mkubwa, always Niko straight tena na facts ,akili zako ni kisoda na nimeijibu comment yake kwa hoja pia ko hakuna jipya hapo zaidi zaidi alitembea kwenye hoja yangu kwamba migodi ya madini iliongeza idadi ya masikini Khm kuliko kuwa na tija kwa watu
 
Ila wewe jamaa kwakuwa ubongo upo karibu Sana na matarqoo sababu ya upungufu wa urefu umesababisha hata akili isinyae kabisa!!
Haya ndio madhara ya zebak,kula mapanki na michembe ,ona sasa badala ya kujibu hoja umeishia kuharisha mavi yaliyojaza bichwa lako kubwa yaani kubwa jinga

..Kula parachichi uongezee afya ya akili
 
Tatizo naongea na mtu hajua hata tunaongelea nini hapa si ajabu mkoa wa Kagera kuwa miongoni mwa mikoa maskini Sana Tzn

Mada ni Manispaa ya Iringa vs Manispaa ya Bukoba na si Mkoa wa Iringa against mkoa wa Kagera sasa wewe umeishia kutaja vitu lundo vilivyopo mkoa wa Kagera yaani kwenye wilaya zingine..Jibu hoja kwa kufanya reference ya BK town ndio nitakuja kukujibu vinginevyo hapa unaleta mada mpya ambayo huwezi kushinda.

Tangu lini umewahi ona beaches au sites za utalii wa BK/Kagera kuwemo kwenye documentary za duniani? Lakini Ruaha is there just watch Nat Geo World documentary za wanyama utaona hata Iringa town ..World recongnition
 
Bukoba ni kitovu cha elimu afu hakuna vyuo vikuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kituko.

Bukoba/Kagera quality ya life ya mtu mmja mmja ni kubwa yet ni Kati ya mikoa ya maskini Tzn [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] kichekesho hiki

Kuna barabara Hadi Vijijiji yet hata stend hakuna [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] wendawazimu huu.

Mazingira mazuri sijui beach yet hakuna hata mtalii ,huu ni ukichaa si ajabu nyie ni maskini

Iringa imepiga hiyo BK hands down huko kwenye viwanda usiguse kama Iringa ilivyopiga BK ndivyo Tanga City imeizidi Mwanza City kwa viwanda,just swallow hii hata kama chungu bwana Instabul
 
Inaizidi kwa vitu nilivyotaja hapo juu.Unataka tuhamishe ziwa tuwe na bandari au? Airport is there , Iringa town is at wonderful plateau making it beautiful town

By the way hongera kwa kuongoza kwa umaskini
 
Inaizidi kwa vitu nilivyotaja hapo juu.Unataka tuhamishe ziwa tuwe na bandari au? Airport is there , Iringa town is at wonderful plateau making it beautiful town

By the way hongera kwa kuongoza kwa umaskini
Watu wa huko kusini hamna hoja hata kidogo. Yaani mna pumba Tu. Hebu niwaachie mijadala yenu ya kimaneno isiyo na hoja.


Hebu ona akili yako ( Morogoro kuna vyuo kibao) hebu nitajie wasomi wanaotoka huko na wazawa wa Morogoro? Kuwa na vyuo vingi hakukufanyi kuwa kitovu cha elimu labda watu wa maeneo hayo wakielimika kama ilivyo bk.

Siku njema na mijadala yenu isiyokuwa na hoja
 
Hujui kusoma au unajifanya huoni hoja
 
Wanjombe huku Lake hakuna town ya kupambana na nyie, yaani mko juu. Pambaneni na Songea ndio mbabe wenu huko Kusini These are the 15 fastest-growing cities in the world.
Sasa mkuu huko kwenu sifa kuu ni kuzaana na hilo halina ubishi na mtaongoza milele lakini when it comes to umaskini mtaongoza milele pia.

Wakati Mwanza inakadiriwa kuwa na wakaazi over 1 mln by 2020 our zonal HQ mbeya city is estimated to have 600k people,ukiunganishwa na Mbalizi inakuwa 800k good enough no maskini wa kiwango cha huko Kanda pendwa na Magu
 
Ndio maana, tumewapa ushindi matajiri wa kusini.
 
Nilo neutral katika hili, nimewahi kufika BUKOBA MJI(Siyo Kagera Mkoa), pia nimewahi kuishi angalau mara moja moja Iringa(mji wa Iringa, siyo mkoa), naweza nikasema bila biasness, Iringa MC pako vizuri kuliko Bukoba MC.
Hata hivyo, kwa vijiji vya mkoa wa Kagera, kila kijiji kina nyumba bora sawa au hata kuzidi Bukoba mjini. Hii ni credit niliyoiona kwa macho yangu. Vijijini wana nyumba bora sana, kwa ufupi tofauti ya makazi mijini na vijijini kule BK hakuna, kote kuko poa.
 
Soma hiyo,mbeya Referral
View attachment 1690679
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›Southern highland mmekumbukwa sasa, inachofanya serikali ni kuhakikisha kuna kuwa na huduma Bora za Kikanda Lake zone tupo kitambo na Bugando yetu, Eastern Coastal wana Muhimbili na Mloganzila , Kaskazini wana KCMC. Huku Lake zone wanaongeza Bonus Hospital ya kanda CHATO. Ukija Kimkoa tu, Hospital ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure ina hadhi kama referral Hospital ya huko Southern


Hospital ya Mkoa Mwanza Sekou Toure



Referral Hospital Weill Bugando (vitanda 900)


Proposed (Taasisi ya Moyo) Bugando 15 flats with helipad



Chato


Kahama Municipal (Construction on progress


Simiyu Regional referral Hospital


Mara regional referral hospital
 
Tunduma munaiweza?
Ni kwa vile tu mambo ya Kiusalama haiswihi kuweka mji mubwa Tunduma,lakini jmaaa wako juu sana, kwenye hilo tutabishana hadi mwisho.
Mimi ni dereva wa DFP mzee na mkaazi wa Mwanza,hakuna penye sijui nchi hii..narudia,ukiondoa wilaya zilizopo kwenye majiji hakuna kama KAHAMA hapa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…