Kahama VS Njombe/Mafinga

Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
Makambako steel industrial park imesha pigwa lami Barabara zote za ndani ya industrial park na itatumia reli ya TAZARA kusafirisha bidhaa zao kwenye masoko mbalimbali kwa MUJIBU WA mwekezaji mambo yanazidi kuchangamkaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ "MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=cricm0hwiO4&pp=ygUOV2FjaGluYSBsdWRld2E%3D
 

Njombe,😁😁😁😁😁😁
 

Adventure...scenic views πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ only in Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…