Kahama VS Njombe/Mafinga

Unapost brand za mikoa ya wenzako leta brand za mikoa yenu kama ni matajiri..au wabangaizaji😁
Hizo brand za Mikoa ya wenzako zimefuata nini huku kwetu?

Jibu ni wamefuata hela ,wamekimbia umaskini huko kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
We huoni ht aibu, Njombe na Mafinga ni Miji? Zile ni skwata
Njombe na Mafinga ni skwata uwe unaona aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…