Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo brand za Mikoa ya wenzako zimefuata nini huku kwetu?Unapost brand za mikoa ya wenzako leta brand za mikoa yenu kama ni matajiri..au wabangaizaji😁
Hizi ndo hela eti eeh 😀😀😀😀😁👇👇Hizo brand za Mikoa ya wenzako zimefuata nini huku kwetu?
Jibu ni wamefuata hela ,wamekimbia umaskini huko kwenu 😂😂👇👇View attachment 3197815
Bado hujasema 👇 👇Hizi ndo hela eti eeh 😀😀😀😀😁👇👇View attachment 3197960View attachment 3197961
Kila siku huwa nawaambia ni maskini sana yaani nyumba za makazi kwenye town zao ni kicheko 🤗😂😂😂Hizi ndo hela eti eeh 😀😀😀😀😁👇👇View attachment 3197960View attachment 3197961
Hapana sio hela,pesa ziko hapa Mwanza 😂😂👇👇Hizi ndo hela eti eeh 😀😀😀😀😁👇👇View attachment 3197960View attachment 3197961
Kuna lami hapo?
Ujenzi unaendeleaKuna lami hapo?
Saa100 hana tabia za kuweza kumaliza miradi 😳Ujenzi unaendelea View attachment 3198451
Hii picha sio ya mwaka JanaMatajiri wa MWANZA hawana dogo..isamiloView attachment 3198458
We huoni ht aibu, Njombe na Mafinga ni Miji? Zile ni skwataKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Njombe View attachment 2674915
Kahama View attachment 2674916
Njombe na Mafinga ni skwata uwe unaona aibu.Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Njombe View attachment 2674915
Kahama View attachment 2674916
Njombe na Madinga Zina magorofa mengi mara 2 ya gulio la KahamaWe huoni ht aibu, Njombe na Mafinga ni Miji? Zile ni skwata
Njombe na Mafinga ni skwata uwe unaona aibu.
Hakuna Mkoa mzuri hapa Tanzania kuliko Mbeya
Bila Samia Mwanza is Slum ingeishia kuwa dampo tuuSaa100 hana tabia za kuweza kumaliza miradi 😳