Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaani unaongelea Kasulu?? [emoji23][emoji23][emoji1787] we jamaa sijui wa wapi
Yaani hii na Katoro ..sijui Ifakara yalinisikitisha sana... Kweli kahama ni yakulinganishwa na NJOMBE na inabidi itetewe kabisa
 
Majengo pekee hayafanyi Sekou Toure hospital iwe na hadhi sawa na Hospital ya Kanda ya kibingwa.

Nadhani umemsikia DM wa afya hapo kwamba wanataka huduma za zinazotolewa Muhimbili au Mlonganzila ziweze kupatikana Mbeya.

Ukiacha hilo Hospital ya Kanda ya Rufaa Mbeya ni Mbeya College of Allied Sciences ya UDSM na pika kuna research centre ya NIMR hapo na Chuo cha Tiba za kibingwa za Kinywa na Meno

Kana kwamba haitoshi Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya iko njema kuliko hata hiyo Sekou Toure na bado ziko regional hospital mpya za Songwe na Njombe.
 
Mimi ni mzawa Mwanza na Mwanza ndio home, nimefanya kazi Kahama, Kagera (Karagwe/Missenyi/Kyerwa/Bukoba/Ngara/ Muleba) Arusha na Dar all in all sehemu ya kumalizia maisha bado ni Kahama.
 
Sekou Toure haiwezi pewa hazi sawa na Weil Bugando ambazo ni 8Km apart. Hizo huduma zinazopatikana Muhimbili 90% zipo hapo Weil Bugando.
 
Sekou Toure haiwezi pewa hazi sawa na Weil Bugando ambazo ni 8Km apart. Hizo huduma zinazopatikana Muhimbili 90% zipo hapo Weil Bugando.
Ndio maana nilikuwa nakushangaa kusema eti Sekou Toure hospital iwe sawa na hospital ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya.Kitu ambacho hujui ni kwamba Mkoa wa Mbeya una hospital ya Rufaa ya Mbeya iko Forest area hiyo hapo inaitwa Hospital ya Rufaa ya Kanda-Mbeya au Mbeya Consulting Referral Hospital ni tofauti na Mbeya Region Referral Hospital
 
Njombe napafahamu hata july nilikua huko kwa kazi flani ya serikali nilikaa wiki mbili huko napajua vzuri
 
K
Lakini njombe nayo inakua kwa kasi kwa wale tulio wahi kufika hivi karibuni angalia hata stend soko kuu sio pakubeza kahama soko la hovyo stend ya hovyo.
Hiyo miradi ya njombe ni nguvu ya serikali kuu
 
Nimefika njombe hamna kitu pale
 
Hahaa korogwe bado sana kwa kahama
Wakati Masasi ikiwa na watu 100000, korogwe 60000 na NJOMBE 120000, tunduma 150000 ...kahama ilikuwa na watu 240000... Na hiyo ni almost miaka 10 iliyopita imagine... Ukuaji wa khm ya these past 10 years ...
 
Wakati Masasi ikiwa na watu 100000, korogwe 60000 na NJOMBE 120000, tunduma 150000 ...kahama ilikuwa na watu 240000... Na hiyo ni almost miaka 10 iliyopita imagine... Ukuaji wa khm ya these past 10 years ...

Nilishasema kahama haipo kwenye hizo ligi Tanzania nzima kuna stendi tatu za mabasi ambazo zinakesha na huduma zote unapata DSM, Mwanza na Kahama kidogo na stand ya Tabora napo kidogo huko njombe wanalala mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…