Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaani unaongelea Kasulu?? [emoji23][emoji23][emoji1787] we jamaa sijui wa wapi
Yaani hii na Katoro ..sijui Ifakara yalinisikitisha sana... Kweli kahama ni yakulinganishwa na NJOMBE na inabidi itetewe kabisa
 
😛😛😛😛Southern highland mmekumbukwa sasa, inachofanya serikali ni kuhakikisha kuna kuwa na huduma Bora za Kikanda Lake zone tupo kitambo na Bugando yetu, Eastern Coastal wana Muhimbili na Mloganzila , Kaskazini wana KCMC. Huku Lake zone wanaongeza Bonus Hospital ya kanda CHATO. Ukija Kimkoa tu, Hospital ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure ina hadhi kama referral Hospital ya huko Southern

Hospital ya Mkoa Mwanza Sekou Toure
View attachment 1690691

Referral Hospital Weill Bugando (vitanda 900)
View attachment 1690692View attachment 1690693

Proposed (Taasisi ya Moyo) Bugando 15 flats with helipad

View attachment 1690695

Chato
View attachment 1690699

Kahama Municipal (Construction on progress
View attachment 1690701

Simiyu Regional referral Hospital
View attachment 1690702

Mara regional referral hospital
View attachment 1690703
Majengo pekee hayafanyi Sekou Toure hospital iwe na hadhi sawa na Hospital ya Kanda ya kibingwa.

Nadhani umemsikia DM wa afya hapo kwamba wanataka huduma za zinazotolewa Muhimbili au Mlonganzila ziweze kupatikana Mbeya.

Ukiacha hilo Hospital ya Kanda ya Rufaa Mbeya ni Mbeya College of Allied Sciences ya UDSM na pika kuna research centre ya NIMR hapo na Chuo cha Tiba za kibingwa za Kinywa na Meno

Kana kwamba haitoshi Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya iko njema kuliko hata hiyo Sekou Toure na bado ziko regional hospital mpya za Songwe na Njombe.
 
Mimi ni mzawa Mwanza na Mwanza ndio home, nimefanya kazi Kahama, Kagera (Karagwe/Missenyi/Kyerwa/Bukoba/Ngara/ Muleba) Arusha na Dar all in all sehemu ya kumalizia maisha bado ni Kahama.
 
Majengo pekee hayafanyi Sekou Toure hospital iwe na hadhi sawa na Hospital ya Kanda ya kibingwa.

Nadhani umemsikia DM wa afya hapo kwamba wanataka huduma za zinazotolewa Muhimbili au Mlonganzila ziweze kupatikana Mbeya.

Ukiacha hilo Hospital ya Kanda ya Rufaa Mbeya ni Mbeya College of Allied Sciences ya UDSM na pika kuna research centre ya NIMR hapo na Chuo cha Tiba za kibingwa za Kinywa na Meno

Kana kwamba haitoshi Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya iko njema kuliko hata hiyo Sekou Toure na bado ziko regional hospital mpya za Songwe na Njombe.
Sekou Toure haiwezi pewa hazi sawa na Weil Bugando ambazo ni 8Km apart. Hizo huduma zinazopatikana Muhimbili 90% zipo hapo Weil Bugando.
 
Sekou Toure haiwezi pewa hazi sawa na Weil Bugando ambazo ni 8Km apart. Hizo huduma zinazopatikana Muhimbili 90% zipo hapo Weil Bugando.
Ndio maana nilikuwa nakushangaa kusema eti Sekou Toure hospital iwe sawa na hospital ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya.Kitu ambacho hujui ni kwamba Mkoa wa Mbeya una hospital ya Rufaa ya Mbeya iko Forest area hiyo hapo inaitwa Hospital ya Rufaa ya Kanda-Mbeya au Mbeya Consulting Referral Hospital ni tofauti na Mbeya Region Referral Hospital
 
Unasema ulikuwa Kahama januari hii,ukaielewa Kahama na ndipo unaitetea sana lakini hujasema umewahi kufika Njombe,kwa hiyo cha maana katika arguments zako.Wewe ni sawa na vipofu waliomgusa tembo,aliyegusa sikio alisema tembo mkubwa kama beseni,aliyegusa mkia alisema tembo mkubwa kama fimbo,Wewe umetoka Tanga ukaona Kahama basi mji mkubwa kuliko mji wowote,du wabongo pata exposure kidogo.
Njombe napafahamu hata july nilikua huko kwa kazi flani ya serikali nilikaa wiki mbili huko napajua vzuri
 
Ungefika kote kwanza ndio ungepata ulinganisho ulio fair but hiyo Kahama bila shaka imeendelea kushinda huko lalago ,Hungumalwa au mwigumbi ulipotoka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hata hivyo tunalinganisha Njombe Mji na Kahama Mji (Manispaa uchwara) na sio Mkoa wa Njombe as a whole

Karibu Sana Njombe hutojuta hii ni nchi ya ahadi iliko bustani ya Mungu
Nimefika njombe hamna kitu pale
 
Hahaa korogwe bado sana kwa kahama
Wakati Masasi ikiwa na watu 100000, korogwe 60000 na NJOMBE 120000, tunduma 150000 ...kahama ilikuwa na watu 240000... Na hiyo ni almost miaka 10 iliyopita imagine... Ukuaji wa khm ya these past 10 years ...
 
Nilishasema kahama haipo kwenye hizo ligi Tanzania nzima kuna stendi tatu za mabasi ambazo zinakesha na huduma zote unapata DSM, Mwanza na Kahama kidogo na stand ya Tabora napo kidogo huko njombe wanalala mapema sana
 
Back
Top Bottom