Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Picha Kwa Hisani ya Instagram page @kahamayetu
IMG_20190716_133131_717.jpeg
IMG_20190617_003739_020.jpeg
IMG_20190612_010527_537.jpeg
IMG_20190523_165348_200.jpeg
IMG_20190723_195340.jpeg
IMG_20190720_215252.jpeg
 
N
Nilikuwa nachangamsha jukwaa tu boss,Mwanza ni kubwa twice ya Mbeya na pia Dom iko mbali sana kwa Mbeya ila nilikuwa najaribu kuonesha kwamba iko kwenye right traki tofauti na zamani pesa ilikuwa ya msimu pale mbeya
Wewe jamaa sijui kwa nini huwa nakuona una chuki fulani na Kanda yetu, Kanda ya ziwa.Kuna siku nilikusoma huko Kenyan forum unaipondea kweli.

Halafu naomba uiheshimu Mbeya acha kuifananisha na Dom.Mwanza na Mbeya ni damu zangu

Hivi Kati ya Tunduma na Kahama wapi zaidi?
 
Chuki za nini nasema ukweli,msema kweli ni mpenzi wa mungu mbona hujanukuu hizo chuki ulizozitaja?
Maeneo tajwa kuwa damu yako haizuii kuonyesha mazaifu yake.Mbeya jiji haina ubavu wa kuisogelea Dodoma city kwa kila kitu,acha porojo kipi Mbeya inazidi Dodoma na mimi nikuwekee mambo ambayo Dom inaichakaza Mbeya
Kahama iko juu kidogo ya Tunduma japo kwenye umuhimu wa kistrategic Tunduma inategemewa zaidi na mkoa wa Songwe na TRA kwenye mapato ingawa miji yote iko busy kibiashara
 
Kuna nini cha ajabu hapo Dom kupashinda Mbeya.

1.Mbeya ina fursa za kiuchumi kushinda Dom.
2.Population ya Mbeya kubwa kushinda Dom.
3.Kibiashara Mbeya iko hot kuliko Dom
4.Mji wa Mbeya ni mkubwa na mzuri kushinda Dom.
5.Hali ya hewa Mbeya iko safi kuliko Dom.
6.Miundombinu ndo usiseme
 
Soon ntafungua uzi ila unazungumzia Mbeya kama mkoa au Mbeya jiji? By the way kila mkoa una fursa tofauti.Dodoma kuna uranium na zabibu huko ziko?
Namba 2,3,4,6 ni uongo wa mchana kweupe unless hujui unachoongea.Acha porojo weka namba na mimi nikuwekee
 
Kahama pako fresh kwa sababu nlikaa pale siku moja nashinda kula bata baada ya kutoka msibani,usiku nikakesha club na Malaya toka Rwanda na Uganda,Kahama pana hela na pamechangamka sana ,Kuhusu Njombe sijawahi fika naskia kuna utajiri wa UKIMWI na baridi tu
 
Kahama ipo juu sana kupita maelezo, ukianza na biashara za mazao,uchimbaji wa madini, mzunguko wa pesa ni mkubwa sana,usafiri wa kutosha. Mji wa kahama unakua kwa kasi sana.maendeleo yapo sana na ndo wilaya inashika nafasi ya tatu kwa kuingizia taifa pato kubwa .bila kusahau warembo wa kisukuma.
 
Kahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.
.
Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama kahama?
.
Una bahati mbaya nakujua njombe [emoji23][emoji23][emoji23] kahama iko juu
sasa kitendo cha kusema ni machimboni maana yake kuna mashimo, vumbi, tope na vifusi vya kutosha so hapawez kuwa pa ukweli
 
Kahama ipo juu sana kupita maelezo, ukianza na biashara za mazao,uchimbaji wa madini, mzunguko wa pesa ni mkubwa sana,usafiri wa kutosha. Mji wa kahama unakua kwa kasi sana.maendeleo yapo sana na ndo wilaya inashika nafasi ya tatu kwa kuingizia taifa pato kubwa .bila kusahau warembo wa kisukuma.
Nipe hizo takwimu za kiwilaya na mimi nisome isijekuwa unaota mkuu
 
Kahama pako fresh kwa sababu nlikaa pale siku moja nashinda kula bata baada ya kutoka msibani,usiku nikakesha club na Malaya toka Rwanda na Uganda,Kahama pana hela na pamechangamka sana ,Kuhusu Njombe sijawahi fika naskia kuna utajiri wa UKIMWI na baridi tu
Za kuambiwa changanya na zako mkuu.Hakuna mji ambao hakuna night club na malaya,Njombe pesa ni mingi sana ndio maana huku maskini ni wa kutafuta ukilinganisha na huko machimboni
 
sasa kitendo cha kusema ni machimboni maana yake kuna mashimo, vumbi, tope na vifusi vya kutosha so hapawez kuwa pa ukweli
Njombe ni baridiiii watu weusiiii, kule mabinti warembo 100% wanatoka Singida 😂😂😂 ndo wafanya kazi za mabar ni wauza uchi n.k
.
Wazaliwa wa njombe wengi weusiii alafu wafupi, wanaowana wao kwa wao hivyo kupata mbengu ndefu imekuwa tabu,hakuna mwanamke mrembo unakuta binti anakurupuka asubuh na limkoti huyo anaonekana kama bibi.
.
Mnaroga hadi mimba Mshana Jr tukasaidie huku, wanaopata mimba wanavaa makoti na kanga kwa juu watu wanachokoza wenye mimba makusudi ili ajibiwe pumba akamtengeneze wabena kudadadeki zenu.
.
Wanafunzi wakike wanavaa suruali na sketi kwa sababu ya baridi, akitoa suruali ni mabaka miguuni,hata wamama wa mitaani wana mabaka miguuni kwa sababu ya kukaa kwenye moto, magaga sasa kule yanawatoka mpaka kero sijui ni ardhi gani hiyo
.
Haya ChoiceVariable na Mgoroko mnipinge kwa hoja je ninyi sio wafupi, weusiiii maana kuna weusi na weusiiii maana najua hamkai njombe ila ni watu wa huko
 
Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani
Unaijua kahama huijui Njombe huwezikutoa fair comparison

Shinyanga Hanna kitu hovyo kabisa huwezilinganisha na Njombe.

Songea n hovyo kabisa imejengwa kwa nyumba za hovyo dari wanaweka bati inachoizidi Njombe Ni Idadi ya wattu

Iringa imezidi Njombe kwa majengo ya kisasa ukubwa was mji na Idadi ya watu pia barabara na wingi wa viwanda
Na makampuni ya usafurishaji

Kahama n hub ya biashara kwa wafanyabiashara was Mikoa ya magharibi Kagera,Kigoma na Burundi
na Rwana pamoja na mgodi wa buzwagi.idadi ya watu n kubwa mji haujapangwa lakini naiona Njombe ikiipita kahama kimaendeleo nanuzuri was mji

Njombe n mji unakua sifa yake n nyumba nzuri na mji kupangwa vizuri,biashara kubwa ya viazi na mbao .Viwanda vipo vya chai,maziwa,Rami,playwood,packaging ya parachichi .Kwa ujumla jamaa wanna hela ya kilimo na wapo njema.Pia Njombe Kuna Hotel super kabisa kuliko Songea,kahama na inalingana kabisa na Iringa na Mbeya
 
Back
Top Bottom