Tunaongelea miji. Mjini hawalimiKwa Njombe katika kilimo kuna fursa kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongelea miji. Mjini hawalimiKwa Njombe katika kilimo kuna fursa kubwa sana
Wewe jamaa sijui kwa nini huwa nakuona una chuki fulani na Kanda yetu, Kanda ya ziwa.Kuna siku nilikusoma huko Kenyan forum unaipondea kweli.N
Nilikuwa nachangamsha jukwaa tu boss,Mwanza ni kubwa twice ya Mbeya na pia Dom iko mbali sana kwa Mbeya ila nilikuwa najaribu kuonesha kwamba iko kwenye right traki tofauti na zamani pesa ilikuwa ya msimu pale mbeya
Chuki za nini nasema ukweli,msema kweli ni mpenzi wa mungu mbona hujanukuu hizo chuki ulizozitaja?Wewe jamaa sijui kwa nini huwa nakuona una chuki fulani na Kanda yetu, Kanda ya ziwa.Kuna siku nilikusoma huko Kenyan forum unaipondea kweli.
Halafu naomba uiheshimu Mbeya acha kuifananisha na Dom.Mwanza na Mbeya ni damu zangu
Hivi Kati ya Tunduma na Kahama wapi zaidi?
Kuna nini cha ajabu hapo Dom kupashinda Mbeya.Chuki za nini nasema ukweli,msema kweli ni mpenzi wa mungu mbona hujanukuu hizo chuki ulizozitaja?
Maeneo tajwa kuwa damu yako haizuii kuonyesha mazaifu yake.Mbeya jiji haina ubavu wa kuisogelea Dodoma city kwa kila kitu,acha porojo kipi Mbeya inazidi Dodoma na mimi nikuwekee mambo ambayo Dom inaichakaza Mbeya
Kahama iko juu kidogo ya Tunduma japo kwenye umuhimu wa kistrategic Tunduma inategemewa zaidi na mkoa wa Songwe na TRA kwenye mapato ingawa miji yote iko busy kibiashara
Unajua maana ¥a fursa? Angalia uzi wa mleta mada kama katoa limit ¥a mjini au kijijiniTunaongelea miji. Mjini hawalimi
Soon ntafungua uzi ila unazungumzia Mbeya kama mkoa au Mbeya jiji? By the way kila mkoa una fursa tofauti.Dodoma kuna uranium na zabibu huko ziko?Kuna nini cha ajabu hapo Dom kupashinda Mbeya.
1.Mbeya ina fursa za kiuchumi kushinda Dom.
2.Population ya Mbeya kubwa kushinda Dom.
3.Kibiashara Mbeya iko hot kuliko Dom
4.Mji wa Mbeya ni mkubwa na mzuri kushinda Dom.
5.Hali ya hewa Mbeya iko safi kuliko Dom.
6.Miundombinu ndo usiseme
Ati nini?Unajua maana ¥a fursa? Angalia uzi wa mleta mada kama katoa limit ¥a mjini au kijijini
kahama hawana mkombozi bankKama ni banks zipo za kutosha kila mji
Hii ipo kwenye sehemu zenye wakatoliki wengi kama Bukoba,moshi ,dar nkkahama hawana mkombozi bank
sasa kitendo cha kusema ni machimboni maana yake kuna mashimo, vumbi, tope na vifusi vya kutosha so hapawez kuwa pa ukweliKahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.
.
Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama kahama?
.
Una bahati mbaya nakujua njombe [emoji23][emoji23][emoji23] kahama iko juu
Nipe hizo takwimu za kiwilaya na mimi nisome isijekuwa unaota mkuuKahama ipo juu sana kupita maelezo, ukianza na biashara za mazao,uchimbaji wa madini, mzunguko wa pesa ni mkubwa sana,usafiri wa kutosha. Mji wa kahama unakua kwa kasi sana.maendeleo yapo sana na ndo wilaya inashika nafasi ya tatu kwa kuingizia taifa pato kubwa .bila kusahau warembo wa kisukuma.
Hatushindani boss tunapeana taarifa muhimu kuhusu nchi yetuChoiceVariable nimekushinda mkuu naona umeinua mikono juu
Za kuambiwa changanya na zako mkuu.Hakuna mji ambao hakuna night club na malaya,Njombe pesa ni mingi sana ndio maana huku maskini ni wa kutafuta ukilinganisha na huko machimboniKahama pako fresh kwa sababu nlikaa pale siku moja nashinda kula bata baada ya kutoka msibani,usiku nikakesha club na Malaya toka Rwanda na Uganda,Kahama pana hela na pamechangamka sana ,Kuhusu Njombe sijawahi fika naskia kuna utajiri wa UKIMWI na baridi tu
Njombe ni level nyingine,usifananishe kabisa na hizo sehemu mbili.Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Njombe ni baridiiii watu weusiiii, kule mabinti warembo 100% wanatoka Singida 😂😂😂 ndo wafanya kazi za mabar ni wauza uchi n.ksasa kitendo cha kusema ni machimboni maana yake kuna mashimo, vumbi, tope na vifusi vya kutosha so hapawez kuwa pa ukweli
Unaijua kahama huijui Njombe huwezikutoa fair comparisonHahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani