Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Miji mingi duniani imeporomoka baada ya madini kuisha
Wivuu, kahama kuna migodi mingiii na hata Manyoni sio muda itawafunika njombe nasikia ardhi yao yote ni madini matupu
 
jombaa unaipenda dom city 😂😂😂😂😂😂 nakumbuka kuna thread Kenya forum ulinitolea povu... There is NOTHING special about it. Dodoma ni serikali na vyuo na hii move ya serikali kwa sasa iliyo serious kiasi ndio inapafanya pawe palivyo yaani naifananisha na ule muhemko wa Gas city. Dom imeendelea kulinganisha na enzi hizo na the fact kuwa ipo planned .possibly ndio itakuja kuwa the most modern city in Tz kama mipango itaenda sawa

Mwanza ni mji unaokua kwa nguvu zake kwa kiasi kikubwa..yaani ni force ya watu wenyewe kuhamia kwa hiyari yao kutokana na potential ya eneo lenyewe.. Brother Airport ya mwanza ikikamilika, daraja na usafiri wa ziwa victoria ukarudi kama zamani hata bila SGR. Mwanza itarudi katika position yake.
Sasa mzee baba Dom kwa sasa ni unakwenda spidi mia kidogo ni moto wa gas na hauzimiki kesho au sijui lini ndo tayari ushakuwa na incentives.Kujifariji kwamba eti ni vyuo tuu ni dalili za ku sarenda 😆😆😆😆 ko vumilia kutesa kwa zamu.Viwanda and all sorts of bussiness zimeanza kuwekezwa,it gonna be Ajuba of Tzn.Kumbuka Dom iko strategic ni mji uko junction so unakuwa kwa natural growth pia.Hata kabla Magu hajatangaza rasmi kuhamia ulikuwa mji mkubwa kuliko Morogoro,Iringa,Moshi so ujio wa serikali unaifanya Dom iigaragaze Mwanza,Arusha na Mbeya
Na napenda serikali izuie viwanda Dom badala yake wa encourage service sector businesses,financial na conferences, instituitions ili kupunguza manamba mjini
Mkuu kama unadhani Dom haitaipita Mwanza by 2025/30 basi unajidanganya regardless sgr au madaraja ya kuvuka ziwa.Mind you nusu tu ya taasisi ndio zimehamia lakini zikitimba zote nyie wengine mtaisoma namba sana,imagine mwaka huu mapato ya Dom city pekee hadi juni ni bln 50 ambazo ambapo mkoa mzima wa kwanza na halmashauri zake zote ni 30 bln tu afu unasemaje?
 
Sasa mimi nazungumzia maendeleo wewe unaleta pumba za ooh wafupi ooh weusi kwani umelazimishwa kuoa? Umewahi kuona hawaolewi kisa weusi? Kumbe umesema wanaoana wao kwa wao na wewe oana na wakwenu shida iko wapi?
Kwa mawazo hayo sishangai mnaongoza kwa kunuka umaskini ,sasa ukiwa mrefu mwili jumba afu maskini wa akili na mali inakusudia nini zaidi ya kuwa mtumwa na manamba kwa mimi mfupi mwenye akili?
Zaidi ya uchuuzi wa kwenye migodi kuna nini kingine mnacho huko Khm? Rais mwenyewe aliappreciate maendeleo yetu kwanza ukitoka Makambako kwenda Njombe Songea utafikiri uko Vancouver Canada,mashamba makubwa ya kisasa ya miti,mahindi,viazi,chai,matunda nk huku tunatumia umwagiliaji wa kisasa wa sprinklers drop irrigation nk afu poyoyo Kama wewe unaleta hadithi hapa.mtasugua sana vumbi nyie
😂😂😂😂 Mashamba lazima yawepo huko kwenu jua lakutafuta na tochi baridiii ubaridini, alafu Mkuu hapa hatutukani kuniita poyoyo sio haki.
.
Mimi nimesema nyinyi ni wafupiii na weusiii sio weusi ni weusiiii na usafi ni mwiko kwa sababu ya baridi na pia mnaroga mimba, huu ni utani ulio na ukweli ndani yake na wala sio matusi.
.
Watu wafupi wanakosa fursa nyingi sana wewe kama msomi utakuwa unatambua kwanza kuna ubaguzi wa waziwazi na mnajuaaa, endeleeni kulima kahama watu wanashusha mahekalu kama ya Ununio, tutaniane utani mzuri wenye ukweli bila matusi
 
Miji mingi duniani imeporomoka baada ya madini kuisha
Ujumbe huu uwafikie watetezi wa mji wa Kahama
Ni kweli Kahama kwa sasa iko juu ya Njombe kwa mishemishe na uchuuzi mdogo mdogo unaochagizwa na manamba ya migodini lakini kwingineko haina chochote cha kuizidi Njombe mji
Kwa mfano mwaka uliopita Kahama TC ilikuwa na mapato ya ndani 5.5 bln Versus 3.0 bln za Njombe TC lakini kwa uwekezaji mkubwa wa serikali na watu binafsi mjini Njombe ni suala la miaka 5 tu hapo kuipita Kahama
Mwisho mapato ya madini au migodi mara nyingi haiwaendei watu wa kawaida moja kwa moja maana Geita TC ilikuwa na mapato makubwa 6.8 bln kuliko hata Kahama lakini still sio mji wa maana na watu wa huko wako hoi kiuchumi ukilinganisha na watu wa Tunduma yenye mapato 3.9 bln
 
Wivuu, kahama kuna migodi mingiii na hata Manyoni sio muda itawafunika njombe nasikia ardhi yao yote ni madini matupu
Wivu wa nini mzee baba hakuna sustainability hapo,future ya Kahama ni giza tororo
Huko Manyoni kungekuwa na madini ungeshawaona manamba wamejaa kama walivyoo jaa huko kwenu,mind u ndo mnaongoza kwa ufukara how comes Njombe isiongoze kwa ufukara kama hakuna kitu?
 
Ni wivu tuu, hivi unadhani dhahabu ilivyotapakaa kahama itaisha leo au kesho?
Dhahabu haipo kahama mjini tu yani kahama kwenda Geita kuja Lunzewe ni dhahabu tupu
.
Njombe ufukara ni mdogo kwa kuwa hakuna muingiliano mkubwa wa watu yani ni nyie kwa nyie tu tukija mnaturoga hatupati lolote sasa tuje tufanye nini?
 
😂😂😂😂 Mashamba lazima yawepo huko kwenu jua lakutafuta na tochi baridiii ubaridini, alafu Mkuu hapa hatutukani kuniita poyoyo sio haki.
.
Mimi nimesema nyinyi ni wafupiii na weusiii sio weusi ni weusiiii na usafi ni mwiko kwa sababu ya baridi na pia mnaroga mimba, huu ni utani ulio na ukweli ndani yake na wala sio matusi.
.
Watu wafupi wanakosa fursa nyingi sana wewe kama msomi utakuwa unatambua kwanza kuna ubaguzi wa waziwazi na mnajuaaa, endeleeni kulima kahama watu wanashusha mahekalu kama ya Ununio, tutaniane utani mzuri wenye ukweli bila matusi
Mzee mada hii iko hot tena serious wewe unaleta mzaha.Sasa unataka tuwe warefu na weupe ndio tutapata maendeleo? Mbona nyie warefu na weupe ni maskini mnalamba tope tu huko?😲😲😲😲
Nyuma ya Dar ni Njombe kwa maendeleo huku nyie mnabadilishana kuchamba,mara Geita,Shinyanga,mwanza,kagera na Rukwa na ndo mnadai mna madini nyie
 
Mwanza kuna upanuzi mkubwa sana wa airport uwe sawa na wa JKNIA upo nje ya nchi nini?
😆😆😆😆 Sawa na wapi? Hata Chato kuna upanuzi mkubwa labda bundi ndio watakuwa wanatumia hivyo viwanja
Dom airport itakuwa busy ndani na nje kwa vile ni government HQ
Uwanja mpya wa Dom tuu ndio utakuwa na standards za airport ya Dar hao akina Mwanza ni kama zenj airport songwe ikijitahidi labda iwe kama KIA
 
Mzee mada hii iko hot tena serious wewe unaleta mzaha.Sasa unataka tuwe warefu na weupe ndio tutapata maendeleo? Mbona nyie warefu na weupe ni maskini mnalamba tope tu huko?😲😲😲😲
Nyuma ya Dar ni Njombe kwa maendeleo huku nyie mnabadilishana kuchamba,mara Geita,Shinyanga,mwanza,kagera na Rukwa na ndo mnadai mna madini nyie
Hizo ni takwimu tu, tulete picha za kahama na Njombe mji, habari za Shinyanga, Mwanza, Geita na Kagera ni kubwa mno kwa Njombe hii miji iache.
.
Unataka usiriasi eee sasa tuweke picha za Njombe mji na kahama DC tuone ipi ni nzuri
 
😆😆😆😆 Sawa na wapi? Hata Chato kuna upanuzi mkubwa labda bundi ndio watakuwa wanatumia hivyo viwanja
Dom airport itakuwa busy ndani na nje kwa vile ni government HQ
Uwanja mpya wa Dom tuu ndio utakuwa na standards za airport ya Dar hao akina Mwanza ni kama zenj airport songwe ikijitahidi labda iwe kama KIA
Wewe jamaa mbona unanitia mashaka dhidi ya IQ yako yani unasema?
 
Lazima nikutie mashaka kwa vile umeambiwa ambayo hujapenda kuyasikia ila vumilia mzee zama zimebadilika
Dodoma city mwaka wa fedha uliomalizika wamekusanya bln 50 huku Mwanza city yako plus ilemela manispaa wamekusanya 20 bln kidogo.Yaani hapo kila mwaka Dodoma city wanaweza kujenga 20km asphalt road na wakabaki na 30 bln kuendesha halmashauri wakati Mwanza wakijenga toa 10 bln tu hapo halmashauri inashindwa kulipa salary za watendaji,sasa kweli Mwanza ndio itunishe misuli kwa Dodoma kweli? Huko mko wengi lakini very poor mumejazana mjini kila mtu machinga afu mnaita mishemishe 😆😆😆😆
 
L
Hizo ni takwimu tu, tulete picha za kahama na Njombe mji, habari za Shinyanga, Mwanza, Geita na Kagera ni kubwa mno kwa Njombe hii miji iache.
.
Unataka usiriasi eee sasa tuweke picha za Njombe mji na kahama DC tuone ipi ni nzuri
Itakuwa vizuri muaibike,Njombe kuna hotel ya ghorofa 8 kama Kahama kuna jengo la ukubwa huo sio lazima hotel tofauti na vi Gest house unitag
 
Ni wivu tuu, hivi unadhani dhahabu ilivyotapakaa kahama itaisha leo au kesho?
Dhahabu haipo kahama mjini tu yani kahama kwenda Geita kuja Lunzewe ni dhahabu tupu
.
Njombe ufukara ni mdogo kwa kuwa hakuna muingiliano mkubwa wa watu yani ni nyie kwa nyie tu tukija mnaturoga hatupati lolote sasa tuje tufanye nini?
Huna mtaji wa kushindana nani akuroge acha kubwabwaja.
Kuna watu wengi sana wasio wazawa wana mashamba ya miti nk huko afu unazingua hapa.Kuna mwananzengo mwenzio hapo amesema anaishi Kahama analia Njombe mbona hajarogwa? Sema sina mtaji wa kutosha utaeleweka,watu wa Njombe wanakuja kwenye madini huko wanatusua na wanajenga na kuwekeza nyumbani mbona hawalii lii kama wewe
 
Itakuwa vizuri muaibike,Njombe kuna hotel ya ghorofa 8 kama Kahama kuna jengo la ukubwa huo sio lazima hotel tofauti na vi Gest house unitag
37390706_1798663126894497_3281209440522469376_o.jpg
13094116_992854400768896_6682380013568489263_n.jpg
13094116_992854400768896_6682380013568489263_n.jpg
 
Sasa mzee baba Dom kwa sasa ni unakwenda spidi mia kidogo ni moto wa gas na hauzimiki kesho au sijui lini ndo tayari ushakuwa na incentives.Kujifariji kwamba eti ni vyuo tuu ni dalili za ku sarenda 😆😆😆😆 ko vumilia kutesa kwa zamu.Viwanda and all sorts of bussiness zimeanza kuwekezwa,it gonna be Ajuba of Tzn.Kumbuka Dom iko strategic ni mji uko junction so unakuwa kwa natural growth pia.Hata kabla Magu hajatangaza rasmi kuhamia ulikuwa mji mkubwa kuliko Morogoro,Iringa,Moshi so ujio wa serikali unaifanya Dom iigaragaze Mwanza,Arusha na Mbeya
Na napenda serikali izuie viwanda Dom badala yake wa encourage service sector businesses,financial na conferences, instituitions ili kupunguza manamba mjini
Mkuu kama unadhani Dom haitaipita Mwanza by 2025/30 basi unajidanganya regardless sgr au madaraja ya kuvuka ziwa.Mind you nusu tu ya taasisi ndio zimehamia lakini zikitimba zote nyie wengine mtaisoma namba sana,imagine mwaka huu mapato ya Dom city pekee hadi juni ni bln 50 ambazo ambapo mkoa mzima wa kwanza na halmashauri zake zote ni 30 bln tu afu unasemaje?

hahaaaaaaa okey umesahau kuwa kutakuwa na bandari kavu dom ambapo wafanyabiashara watakuwa wanakuja kuchukua mizigo badala ya kwenda direct to Dar. Najua serikali imepania kuingia dom na kwa sasa Dom inaenda speed pengine kuliko mji wowote ule na kuna possibility ya kuikalisha Arusha mapema ila Mwanza si rahisi

Mwanza ndo jiji pekee ambalo lina manispaa zaidi ya moja ukiitoa Dar hadi sasa.. Mwanza kwa sasa inakua taratibu tofauti na miaka mingine kutokana na kukua kwa centres nyingi sana kwa lake zone ambayo imeipunguzia influence yake. Kumbuka kwa sasa manispaa ya ilemela imehamishiwa Buswelu na ni sehemu inayokua sana kwa sasa na sio yenyewe pekee ni kwa barabara zote za airport, buhongwa na musoma zimejaa nyumba za kisasa yaani middle income eaners na kufunguliwa kwa airport, meli zirudi kufanya kazi yake , Daraja na SGR. sidhani kama Dom itaweza kuipita kirahisi.

yaani hii ni kama mihemko ya Gas city kuipiku mwanza ila kwa sasa ipo wapi mkuu ??.. Dom itaipiku mwanza kama mwanza itabakia hivi hivi ilivyo , isiongeze wala isipunguze kitu. 2025 tutakuwepo hapa kama jf itakuwepo 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom