Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Wivuu, kahama kuna migodi mingiii na hata Manyoni sio muda itawafunika njombe nasikia ardhi yao yote ni madini matupuMiji mingi duniani imeporomoka baada ya madini kuisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivuu, kahama kuna migodi mingiii na hata Manyoni sio muda itawafunika njombe nasikia ardhi yao yote ni madini matupuMiji mingi duniani imeporomoka baada ya madini kuisha
Sasa mzee baba Dom kwa sasa ni unakwenda spidi mia kidogo ni moto wa gas na hauzimiki kesho au sijui lini ndo tayari ushakuwa na incentives.Kujifariji kwamba eti ni vyuo tuu ni dalili za ku sarenda 😆😆😆😆 ko vumilia kutesa kwa zamu.Viwanda and all sorts of bussiness zimeanza kuwekezwa,it gonna be Ajuba of Tzn.Kumbuka Dom iko strategic ni mji uko junction so unakuwa kwa natural growth pia.Hata kabla Magu hajatangaza rasmi kuhamia ulikuwa mji mkubwa kuliko Morogoro,Iringa,Moshi so ujio wa serikali unaifanya Dom iigaragaze Mwanza,Arusha na Mbeyajombaa unaipenda dom city 😂😂😂😂😂😂 nakumbuka kuna thread Kenya forum ulinitolea povu... There is NOTHING special about it. Dodoma ni serikali na vyuo na hii move ya serikali kwa sasa iliyo serious kiasi ndio inapafanya pawe palivyo yaani naifananisha na ule muhemko wa Gas city. Dom imeendelea kulinganisha na enzi hizo na the fact kuwa ipo planned .possibly ndio itakuja kuwa the most modern city in Tz kama mipango itaenda sawa
Mwanza ni mji unaokua kwa nguvu zake kwa kiasi kikubwa..yaani ni force ya watu wenyewe kuhamia kwa hiyari yao kutokana na potential ya eneo lenyewe.. Brother Airport ya mwanza ikikamilika, daraja na usafiri wa ziwa victoria ukarudi kama zamani hata bila SGR. Mwanza itarudi katika position yake.
Fitofu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyongise miyanguKwa picha ni kwel njombe kuko poa...ww toa huo ueden endeleeni kulima "fitofu"
😂😂😂😂 Mashamba lazima yawepo huko kwenu jua lakutafuta na tochi baridiii ubaridini, alafu Mkuu hapa hatutukani kuniita poyoyo sio haki.Sasa mimi nazungumzia maendeleo wewe unaleta pumba za ooh wafupi ooh weusi kwani umelazimishwa kuoa? Umewahi kuona hawaolewi kisa weusi? Kumbe umesema wanaoana wao kwa wao na wewe oana na wakwenu shida iko wapi?
Kwa mawazo hayo sishangai mnaongoza kwa kunuka umaskini ,sasa ukiwa mrefu mwili jumba afu maskini wa akili na mali inakusudia nini zaidi ya kuwa mtumwa na manamba kwa mimi mfupi mwenye akili?
Zaidi ya uchuuzi wa kwenye migodi kuna nini kingine mnacho huko Khm? Rais mwenyewe aliappreciate maendeleo yetu kwanza ukitoka Makambako kwenda Njombe Songea utafikiri uko Vancouver Canada,mashamba makubwa ya kisasa ya miti,mahindi,viazi,chai,matunda nk huku tunatumia umwagiliaji wa kisasa wa sprinklers drop irrigation nk afu poyoyo Kama wewe unaleta hadithi hapa.mtasugua sana vumbi nyie
Ujumbe huu uwafikie watetezi wa mji wa KahamaMiji mingi duniani imeporomoka baada ya madini kuisha
Wivu wa nini mzee baba hakuna sustainability hapo,future ya Kahama ni giza tororoWivuu, kahama kuna migodi mingiii na hata Manyoni sio muda itawafunika njombe nasikia ardhi yao yote ni madini matupu
Mwanza kuna upanuzi mkubwa sana wa airport uwe sawa na wa JKNIA upo nje ya nchi nini?Airport gani inayojengwa mwanza?
Ni wivu tuu, hivi unadhani dhahabu ilivyotapakaa kahama itaisha leo au kesho?Wivu wa nini mzee baba hakuna sustainability hapo,future ya Kahama ni giza tororo
Huko Manyoni kungekuwa na madini ungeshawaona manamba wamejaa kama walivyoo jaa huko kwenu,mind u ndo mnaongoza kwa ufukara how comes Njombe isiongoze kwa ufukara kama hakuna kitu?
Mzee mada hii iko hot tena serious wewe unaleta mzaha.Sasa unataka tuwe warefu na weupe ndio tutapata maendeleo? Mbona nyie warefu na weupe ni maskini mnalamba tope tu huko?😲😲😲😲😂😂😂😂 Mashamba lazima yawepo huko kwenu jua lakutafuta na tochi baridiii ubaridini, alafu Mkuu hapa hatutukani kuniita poyoyo sio haki.
.
Mimi nimesema nyinyi ni wafupiii na weusiii sio weusi ni weusiiii na usafi ni mwiko kwa sababu ya baridi na pia mnaroga mimba, huu ni utani ulio na ukweli ndani yake na wala sio matusi.
.
Watu wafupi wanakosa fursa nyingi sana wewe kama msomi utakuwa unatambua kwanza kuna ubaguzi wa waziwazi na mnajuaaa, endeleeni kulima kahama watu wanashusha mahekalu kama ya Ununio, tutaniane utani mzuri wenye ukweli bila matusi
Utasema sana ila unajua nilichomaanisha Magufuli kazaaaaSasa Magu akaze nini? Na amnyoshe nani? Huoni bado ni mshamba na masikini kifkra?
😆😆😆😆 Sawa na wapi? Hata Chato kuna upanuzi mkubwa labda bundi ndio watakuwa wanatumia hivyo viwanjaMwanza kuna upanuzi mkubwa sana wa airport uwe sawa na wa JKNIA upo nje ya nchi nini?
Hizo ni takwimu tu, tulete picha za kahama na Njombe mji, habari za Shinyanga, Mwanza, Geita na Kagera ni kubwa mno kwa Njombe hii miji iache.Mzee mada hii iko hot tena serious wewe unaleta mzaha.Sasa unataka tuwe warefu na weupe ndio tutapata maendeleo? Mbona nyie warefu na weupe ni maskini mnalamba tope tu huko?😲😲😲😲
Nyuma ya Dar ni Njombe kwa maendeleo huku nyie mnabadilishana kuchamba,mara Geita,Shinyanga,mwanza,kagera na Rukwa na ndo mnadai mna madini nyie
Wewe jamaa mbona unanitia mashaka dhidi ya IQ yako yani unasema?😆😆😆😆 Sawa na wapi? Hata Chato kuna upanuzi mkubwa labda bundi ndio watakuwa wanatumia hivyo viwanja
Dom airport itakuwa busy ndani na nje kwa vile ni government HQ
Uwanja mpya wa Dom tuu ndio utakuwa na standards za airport ya Dar hao akina Mwanza ni kama zenj airport songwe ikijitahidi labda iwe kama KIA
Lazima nikutie mashaka kwa vile umeambiwa ambayo hujapenda kuyasikia ila vumilia mzee zama zimebadilikaWewe jamaa mbona unanitia mashaka dhidi ya IQ yako yani unasema?
Itakuwa vizuri muaibike,Njombe kuna hotel ya ghorofa 8 kama Kahama kuna jengo la ukubwa huo sio lazima hotel tofauti na vi Gest house unitagHizo ni takwimu tu, tulete picha za kahama na Njombe mji, habari za Shinyanga, Mwanza, Geita na Kagera ni kubwa mno kwa Njombe hii miji iache.
.
Unataka usiriasi eee sasa tuweke picha za Njombe mji na kahama DC tuone ipi ni nzuri
Huna mtaji wa kushindana nani akuroge acha kubwabwaja.Ni wivu tuu, hivi unadhani dhahabu ilivyotapakaa kahama itaisha leo au kesho?
Dhahabu haipo kahama mjini tu yani kahama kwenda Geita kuja Lunzewe ni dhahabu tupu
.
Njombe ufukara ni mdogo kwa kuwa hakuna muingiliano mkubwa wa watu yani ni nyie kwa nyie tu tukija mnaturoga hatupati lolote sasa tuje tufanye nini?
Itakuwa vizuri muaibike,Njombe kuna hotel ya ghorofa 8 kama Kahama kuna jengo la ukubwa huo sio lazima hotel tofauti na vi Gest house unitag
Sasa mzee baba Dom kwa sasa ni unakwenda spidi mia kidogo ni moto wa gas na hauzimiki kesho au sijui lini ndo tayari ushakuwa na incentives.Kujifariji kwamba eti ni vyuo tuu ni dalili za ku sarenda 😆😆😆😆 ko vumilia kutesa kwa zamu.Viwanda and all sorts of bussiness zimeanza kuwekezwa,it gonna be Ajuba of Tzn.Kumbuka Dom iko strategic ni mji uko junction so unakuwa kwa natural growth pia.Hata kabla Magu hajatangaza rasmi kuhamia ulikuwa mji mkubwa kuliko Morogoro,Iringa,Moshi so ujio wa serikali unaifanya Dom iigaragaze Mwanza,Arusha na Mbeya
Na napenda serikali izuie viwanda Dom badala yake wa encourage service sector businesses,financial na conferences, instituitions ili kupunguza manamba mjini
Mkuu kama unadhani Dom haitaipita Mwanza by 2025/30 basi unajidanganya regardless sgr au madaraja ya kuvuka ziwa.Mind you nusu tu ya taasisi ndio zimehamia lakini zikitimba zote nyie wengine mtaisoma namba sana,imagine mwaka huu mapato ya Dom city pekee hadi juni ni bln 50 ambazo ambapo mkoa mzima wa kwanza na halmashauri zake zote ni 30 bln tu afu unasemaje?