Kwa nini uondoe Vyuo? Halafu Hivyo vyuo vyote ukiondoa Mkwawa vimejengwa kwa Jubudi za Wana Iringa,
Halafu iringa ni Miongoni mwa Mikoa minne Tajiri Tz.
Kilimo never disappoint mzee,
Ndio maana Mikoa ya Kusini imepiga hatua sana despite insignificant gov inputs,
Huku kusini watu wanachakarika, madini contributes to only less than 5% of National Income na pesa yake hubaki kwa watu wachache sana.
Sifa za sehemu za migodi huwa ni common kote, yaani watu wengi wanaofanya kazi migodini,
Umaskini wa kutupwa, Pesa chafu knayofanya starehe ziwe nyingi, Ngono zembe, Matukio ya mauaji, Na mwisho uchumi wa maeneo kama hayo siyo sustainable.
Kimsingi starehe za Migodini ni Pombe na Ngono tu.
Hata hivyo kwa sifa hizi mmemwaga humu najipanga kutembelea hapo Kahama, Lazima hiyo pesa ya madini wababe tuinyakue.