Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Lazima nikutie mashaka kwa vile umeambiwa ambayo hujapenda kuyasikia ila vumilia mzee zama zimebadilika
Dodoma city mwaka wa fedha uliomalizika wamekusanya bln 50 huku Mwanza city yako plus ilemela manispaa wamekusanya 20 bln kidogo.Yaani hapo kila mwaka Dodoma city wanaweza kujenga 20km asphalt road na wakabaki na 30 bln kuendesha halmashauri wakati Mwanza wakijenga toa 10 bln tu hapo halmashauri inashindwa kulipa salary za watendaji,sasa kweli Mwanza ndio itunishe misuli kwa Dodoma kweli? Huko mko wengi lakini very poor mumejazana mjini kila mtu machinga afu mnaita mishemishe 😆😆😆😆
Ndugu mwanza unataka kuilinganisha na dodoma?
 
barabara ya mawe kitangiri.2.JPG
mwanza_hotel_1.jpg
mwanza.jpg

Nitafutie hotel kama hizi na ka barabara ka mfano kama haka ka mawe Dodoma
 
hahaaaaaaa okey umesahau kuwa kutakuwa na bandari kavu dom ambapo wafanyabiashara watakuwa wanakuja kuchukua mizigo badala ya kwenda direct to Dar. Najua serikali imepania kuingia dom na kwa sasa Dom inaenda speed pengine kuliko mji wowote ule na kuna possibility ya kuikalisha Arusha mapema ila Mwanza si rahisi

Mwanza ndo jiji pekee ambalo lina manispaa zaidi ya moja ukiitoa Dar hadi sasa.. Mwanza kwa sasa inakua taratibu tofauti na miaka mingine kutokana na kukua kwa centres nyingi sana kwa lake zone ambayo imeipunguzia influence yake. Kumbuka kwa sasa manispaa ya ilemela imehamishiwa Buswelu na ni sehemu inayokua sana kwa sasa na sio yenyewe pekee ni kwa barabara zote za airport, buhongwa na musoma zimejaa nyumba za kisasa yaani middle income eaners na kufunguliwa kwa airport, meli zirudi kufanya kazi yake , Daraja na SGR. sidhani kama Dom itaweza kuipita kirahisi.

yaani hii ni kama mihemko ya Gas city kuipiku mwanza ila kwa sasa ipo wapi mkuu ??.. Dom itaipiku mwanza kama mwanza itabakia hivi hivi ilivyo , isiongeze wala isipunguze kitu. 2025 tutakuwepo hapa kama jf itakuwepo 😂😂😂😂😂😂
Kumbe tunakubaliana kwamba Dom Sasa speed yake ni ya light na Rock city ni ya kinyonga sio? Kama ndivyo unadhani kwa nini isiipite Mwanza ikiwa nimekuonyesha sababu ndogo tu ya mapato na wewe ukaongeza dryport ya Ihumwa,suala la mwanza kupitwa sio lazima liwe by 2025 mimi nakadilia 2030 tena itapitwa in terms of GDP na sio idadi ya watu.Kiashiria cha kwanza ni revenues collections 50 bln vs 20 bln
Ishu ya kuwa Kuna manispaa ni factor ya idadi ya watu mjini ndio imepelekea hivyo na miji mingine kadiri inavyokuwa na watu wengi itapata manispaa.Kadiri miji mingine ya ukanda wa ziwa inavyoimarika ndivyo inaathiri ukuaji na ushawishi wa Mwanza sababu mwanza haina shughuli ambazo inajivunia mfano Arusha(utalii na viwanda),Dodoma(gvt sitting),Mbeya(kilimo na biashara za mpakani),Dar(economic hub ya nchi)Kahama(madini,biashara na transport corridor) badala yake inashea na miji mingine ilitakiwa fishing ndio iwe inaongoza ukuaji wa Mwanza lakini wapi
Kwa upande wa Arusha nimeona kwenye ripoti ya umaskini baada ya Dar uwekezaji mwingi wa kigeni uko Arusha so Arusha ita mantain moderate growth yake kwa vile location yake iko strategic,kaskazini kuna Nairobi,mashariki ni Mombasa na Dar,Kusini ni Dodoma na Magharibi ni Mwanza na industry ya utalii haina ushindani kwake
 
Miji yote ina UKIMWI wa hatari

Nimeipenda hii...tehtehtehteh...thanks....inaelekea wewe unaifahamu hii miji....Ni kweli kabisa...Miji hii ina ukimwi wa hatari...dah...Kwa bahati naifahamu miji yote hii...Kahama ni mji mzuri kwa kweli naupenda sana...Una chakula kingi..business ni kubwa...nadhani dhahabu inachangia...Mafinga ni ji unaokua kwa kasi, nadhani sababu ni misitu ya mbao na pia chai na position yake kwani uko kwenye barabara kuu ya kwenda Zambia...Mafinga una wageni wengi mno...Lakini hali ya hewa ya Mafinga ile ya baridi nayo ni nzuri na watu wake ni wachapakazi au wahangaikaji...Njombe pia unakua sababu ya position yake kando ya barabara ya kwenda Songea, hali ya hewa, mazao ya chakula na wananchi wake ambao ni wachapakazi au wahangaikaji....Miji yote ina ukimwi balaa..Mji mwingine wenye ukimwi balaa nadhani ni Karatu kama sijakosea... .
 
Barabara za mawe za nini unakoelekea utauliza nikutafutie boat au ziwa Dodoma
Afu tofautisha kwamba kukua kwa kasi manake bado haijafikia but imeanza kutoa changamoto hata hizo hoteli nyingi bado ziko hatua za ujenzi zilizopo ni za kawaida
Kwaheri nimeshajua nabishana na mtu wa aina gani
 
Hapa naona wengine wanabishana kwa kuangalia makaratasi ya takwimu za serikali....kahama hapafanani na njombe hata kidogo....Kahama pesa ipo yakutosha, mashimo yakitema mbona utafurahi...Mwanza na Dodoma duh....
 
Kumbe tunakubaliana kwamba Dom Sasa speed yake ni ya light na Rock city ni ya kinyonga sio? Kama ndivyo unadhani kwa nini isiipite Mwanza ikiwa nimekuonyesha sababu ndogo tu ya mapato na wewe ukaongeza dryport ya Ihumwa,suala la mwanza kupitwa sio lazima liwe by 2025 mimi nakadilia 2030 tena itapitwa in terms of GDP na sio idadi ya watu.Kiashiria cha kwanza ni revenues collections 50 bln vs 20 bln
Ishu ya kuwa Kuna manispaa ni factor ya idadi ya watu mjini ndio imepelekea hivyo na miji mingine kadiri inavyokuwa na watu wengi itapata manispaa.Kadiri miji mingine ya ukanda wa ziwa inavyoimarika ndivyo inaathiri ukuaji na ushawishi wa Mwanza sababu mwanza haina shughuli ambazo inajivunia mfano Arusha(utalii na viwanda),Dodoma(gvt sitting),Mbeya(kilimo na biashara za mpakani),Dar(economic hub ya nchi)Kahama(madini,biashara na transport corridor) badala yake inashea na miji mingine ilitakiwa fishing ndio iwe inaongoza ukuaji wa Mwanza lakini wapi
Kwa upande wa Arusha nimeona kwenye ripoti ya umaskini baada ya Dar uwekezaji mwingi wa kigeni uko Arusha so Arusha ita mantain moderate growth yake kwa vile location yake iko strategic,kaskazini kuna Nairobi,mashariki ni Mombasa na Dar,Kusini ni Dodoma na Magharibi ni Mwanza na industry ya utalii haina ushindani kwake

Ni kweli, kugawanywa kwa mwanza na ukuaji wa vi-centres umeishusha kwa kiasi flani lakini ongezeko la watu wenye kipato kizuri utaifanya ikue katika service industry na kuacha kutegemea vitu kama kilimo, uvuvi, usafirishaji etc...

Mwanza ina strategic position kwa ukanda wa Afrka mashariki na lake zone kuliko Chugga na kingine uwanja wa ndege ukikamilika, possibility ya watu kupitia mwanza ili waende Serengeti ni mkubwa zaidi na meli ikikamilika, zile biashara za maziwa makuu haswa Kagera na UG zitarudi kwa ukubwa pia. Mwanza uchumi wako upo diverse (ukiondoa uwepo mdogo wa taasisi kubwa) kitu ambacho ni kizuri katika kuvutia watu mbalimbali tofauti na Dodoma ambayo inapigwa push tu na serikali kwa kuwa ni political city.. ubaya mwingine Dom imezungukwa na Rivals kama moro na Iringa ambazo zinaweza kufaidika zaidi na movement ya serikali kuliko yenyewe kutokana na potential ndogo iliyonayo na hii itachangia isiwe na supremacy kubwa kama majiji yaliyopo kwa sasa..
 
Sababu ulizozitoa kuhusu Mwanza nakubaliana nazo lakini kuhusu Dodoma hapana kwa sababu Dodoma ni mji ulikuwepo toka kitambo serikali imeukuta tofauti na Abuja etc kwa hiyo natural growth itakuwepo maana ni junction City.Pili kwamba moro na Iringa zinatoa ushindani kwa Dodoma hapana kwa sababu Dodoma inategenea political activities na service industry tofauti na Moro(kilimo na viwanda) wakati Iringa(utalii,kilimo na viwanda)
Arusha imeshajiconsolidate kwa viwanda,service industry,utalii sio rahisi sana kwa sekta hizo Arusha kupokwa labda kugawana na Mwanza so itaendelea ku mantain moderate growth
Mbeya yenyewe itakuwa inajitahidi tu ku consolidate position yake kama economic centre ya Nyanda za juu kusini lakini sitegemei kuwa mshindani wa miji hiyo mikubwa
 
Hapa naona wengine wanabishana kwa kuangalia makaratasi ya takwimu za serikali....kahama hapafanani na njombe hata kidogo....Kahama pesa ipo yakutosha, mashimo yakitema mbona utafurahi...Mwanza na Dodoma duh....
Bila makaratasi utapata wapi grounds za kuanzia kujenga hoja au kufanya maamuzi?
Tuwe tu wakweli Njombe town inaipa changamoto Kahama halikadhalika Dodoma inatishia nafasi ya Mwanza
 
Sababu ulizozitoa kuhusu Mwanza nakubaliana nazo lakini kuhusu Dodoma hapana kwa sababu Dodoma ni mji ulikuwepo toka kitambo serikali imeukuta tofauti na Abuja etc kwa hiyo natural growth itakuwepo maana ni junction City.Pili kwamba moro na Iringa zinatoa ushindani kwa Dodoma hapana kwa sababu Dodoma inategenea political activities na service industry tofauti na Moro(kilimo na viwanda) wakati Iringa(utalii,kilimo na viwanda)
Arusha imeshajiconsolidate kwa viwanda,service industry,utalii sio rahisi sana kwa sekta hizo Arusha kupokwa labda kugawana na Mwanza so itaendelea ku mantain moderate growth
Mbeya yenyewe itakuwa inajitahidi tu ku consolidate position yake kama economic centre ya Nyanda za juu kusini lakini sitegemei kuwa mshindani wa miji hiyo mikubwa

kweli mkuu ila Dom kuwa na influence kubwa ni kawaida maana itakuwa mji wa kiserikali na balozi zote zitakuwa hapo ila kuwa na influence kama iliyokuwa nayo Dar, Mwanza, Arusha na mbeya si rahisi maana hata naturally haina iyo advantage. Kukua itakuwa kubwa maana kwa sasa ina vitu vingi tu lakini ile kuwa na influence kubwa kiuchumi si rahisi..

ulichosema ni kizuri, Dodoma inatakiwa iangaliwe zaidi katika service industry ambayo ni bora kwa asili yake na itaipa positioning nzuri kwa majiji Tz
 
Mzee baba pitia hapa gold valley upate juice baridiiiiii, umeleta picha ya subamarine hotel....wabheja sana.
Ukimkuta mdada mweusi tiiii anaogelea ndio Mimi....
Nahene mayu😂
 
Kuna mtu alizungumzia Iringa kwa Taarifa yako Iringa ukitoa vyuo vikuu na vyuo vya kawaida yaani uitoe RuCU, Iringa University Zamani Tumaini, Na uitoe Mkwawa Iringa haina lolote inaachwa na Mafinga maana vyuo ndio vinaongeza population zaidi ya hapo na zaidi ukute vyuo vimefungwa utaanzia ipogoro, miyomboni, kihesa au hadi mwangata watu ni wakuhesabu tu
Mkuu hapa nadhani kuna ka ukweli fulani bila hivi vyuo Iringa inayumba aisee
 
Yaani nikichekesho kufananisha mkoa wa Njombe na Kahama,

Uzuri nimeishi kote kote

Kumbuka

Ukitaja mikoa sita inayo ilisha africa mashariki Njombe imo

Ukitaja mikoa mitano kwa shule nyingi njombe ipo na kwa kafausisha sana njombe ipo

Ukitaja mikoa kumi kwa usafi Tanzania Njimbe ipo

Nyongeza njombe kumwona nzi au mbu nikwanadra sana...
 
Watu wa Kahama wanalingia uchuuzi na kushinda kwenye mashimo ya migodi uchwara kufanya kazi za manamba za kutumia nguvu bila akili,😆😆😆😆 si ajabu wananuka umaskini
 
Kuna mtu alizungumzia Iringa kwa Taarifa yako Iringa ukitoa vyuo vikuu na vyuo vya kawaida yaani uitoe RuCU, Iringa University Zamani Tumaini, Na uitoe Mkwawa Iringa haina lolote inaachwa na Mafinga maana vyuo ndio vinaongeza population zaidi ya hapo na zaidi ukute vyuo vimefungwa utaanzia ipogoro, miyomboni, kihesa au hadi mwangata watu ni wakuhesabu tu

Kwa nini uondoe Vyuo? Halafu Hivyo vyuo vyote ukiondoa Mkwawa vimejengwa kwa Jubudi za Wana Iringa,
Halafu iringa ni Miongoni mwa Mikoa minne Tajiri Tz.
Kilimo never disappoint mzee,
Ndio maana Mikoa ya Kusini imepiga hatua sana despite insignificant gov inputs,
Huku kusini watu wanachakarika, madini contributes to only less than 5% of National Income na pesa yake hubaki kwa watu wachache sana.
Sifa za sehemu za migodi huwa ni common kote, yaani watu wengi wanaofanya kazi migodini,
Umaskini wa kutupwa, Pesa chafu knayofanya starehe ziwe nyingi, Ngono zembe, Matukio ya mauaji, Na mwisho uchumi wa maeneo kama hayo siyo sustainable.
Kimsingi starehe za Migodini ni Pombe na Ngono tu.
Hata hivyo kwa sifa hizi mmemwaga humu najipanga kutembelea hapo Kahama, Lazima hiyo pesa ya madini wababe tuinyakue.
 
Kamata fursa mkuu ukiacha majigambo na tambo za muamba ngoma kuvutia kwake lengo la hizi mada ni kuibua fursa
Mimi pia nitakuja Kahama kufuatilia aina ya fursa niliyoidukua by end of the year
 
Back
Top Bottom