pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
Hawawezi kurudi hao, kwa evidence ulizoweka noma. Wamekimbia jukwaaNjombe n zaidi ya Kahama wakibisha tunaweka ushahidi zaidi na wao waweke wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kurudi hao, kwa evidence ulizoweka noma. Wamekimbia jukwaaNjombe n zaidi ya Kahama wakibisha tunaweka ushahidi zaidi na wao waweke wao
Acha ushamba wa kwenye mitandao,uliza waliotembea,ukitoka Dar,mji wa pili ni Mza,Ar,Mby na Ta.😄😄😄😄 Mzee Baba nyie ni wengi tuu kama simbilisi ila njaa tupu huko ndo maana mna mark time tuu
Ukiitoa Dar next ni Dom,Arusha then Mwanza in terms of cash
Hawawezi kurudi hao, kwa evidence ulizoweka noma. Wamekimbia jukwaa
Wanachozalisha vs idadi ya watu hakuna uwiano lakini pia kanda hiyo yote inategemea madini zaidi ambayo huwa kwa wachacheHivi kwanini mwanza ni jiji lkn ni miongoni mwa mikoa masikini sana tz, pia shy wanaumaskini wa kutupwa unafuu wao wa kuwa na madini na ngombe nyingi unawasaidiaje
Ni jiji la pili kwa maskini wengi ila sio kwa cash kwani ukitembea ndio unaona pesa au tunaangalia makusanyo yenu ya ndaniAcha ushamba wa kwenye mitandao,uliza waliotembea,ukitoka Dar,mji wa pili ni Mza,Ar,Mby na Ta.
Slave mentality. Hata Sourthern USA waliamini hakuna maisha bila watumwa. Mhindi na Mwarabu hawezi kushindana na Mkinga hata siku moja. Hata Moshi wamekimbia kwa sababu biashara walizokuwa wakizifanya wenyeji wanazifanya tena kwa umakini mkubwa. Arusha napo wanakimbia. Mtajazana nao Kariakoo japo nako Wakinga na Wachagga kama kawaida wanakimbiza sana.Ukiona mji hauna mwarabu wala muhindi hapa duniani usiishi hata kama ni weusi wenzio.Njombe haina hao watu.
Mkuu unaua wameshapoteana,afu muwaambie mabosi wa kununua dhahabu ni sisi watu wa Njombe ndio tunajua soko wao walishafukua wanarudi kunusu nanihii za ng'ombe zao na mikia inawasambazia vizuri harufu za mishuzi ili wasiwe na akili,🤭🤭🤭🤭
hawarudi ng,o humuMkuu Ngapulila unaua wameshapoteana,afu muwaambie mabosi wa kununua dhahabu ni sisi watu wa Njombe ndio tunajua soko wao walishafukua wanarudi kunusu nanihii za ng'ombe zao na mikia inawasambazia vizuri harufu za mishuzi ili wasiwe na akili,🤭🤭🤭🤭
Watupie na kiwanda cha maji,tena washukuru niko nje na Njombe disemba nikirudi ntapiga picha kama zote tuwazodoe manamba wa Kahama
Mafinga pako poa sana,juzi tu nilikuwa hapo kwa siku kadhaaKaribuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
mkuu punguza spid hawajarudi humu ujue hao wazee wa madini. harafu hawajui wanaonunua madini ni wakinga pia wengi
dah hata mimi mimi nipo mbali, ningewapigia mafoto kama yote. But kamanda ngapulila kawakilisha vzrWatupie na kiwanda cha maji,tena washukuru niko nje na Njombe disemba nikirudi ntapiga picha kama zote tuwazodoe manamba wa Kahama
Msukuma wao mwenyewe ali appreciate alichokiona Njombe sasa hawa manamba sijui wanasemaje labda nyie mnawaelewa wanachosema humu ndaniMamamamaaa ayaaaa utawaua kwa presha taratibu ndugu. Bado hatujaanza kutupia mapicha ya viwanda km tanwat kibena tea luponde lupembe lwangu alikozindua msukuma wao juz kati lazma wakae
hawarudi ng,o humu
Atupie na picha zile mashine za chai washangae jinsi zinavyochuma chai, pia mitambo ya umwagiliaji chai tuwatoe tongotongoMsukuma wao mwenyewe ali appreciate alichokiona Njombe sasa hawa manamba sijui wanasemaje labda nyie mnawaelewa wanachosema humu ndani
Mwenye picha ya lile mall la kuzidi pale Mafinga na yale magorofa atupie yote ile ni akili na mikono ya wananjombe