Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

😄😄😄😄 Mzee Baba nyie ni wengi tuu kama simbilisi ila njaa tupu huko ndo maana mna mark time tuu
Ukiitoa Dar next ni Dom,Arusha then Mwanza in terms of cash
Acha ushamba wa kwenye mitandao,uliza waliotembea,ukitoka Dar,mji wa pili ni Mza,Ar,Mby na Ta.
 
Hawawezi kurudi hao, kwa evidence ulizoweka noma. Wamekimbia jukwaa
images (9).jpeg
IMG_20160527_133847.jpg
DSC_1281.JPG
images (10).jpeg
IMG_20160527_133847.jpg
DSC_1281.JPG
images (10).jpeg
images (9).jpeg
images (9).jpeg
 
Hivi kwanini mwanza ni jiji lkn ni miongoni mwa mikoa masikini sana tz, pia shy wanaumaskini wa kutupwa unafuu wao wa kuwa na madini na ngombe nyingi unawasaidiaje
Wanachozalisha vs idadi ya watu hakuna uwiano lakini pia kanda hiyo yote inategemea madini zaidi ambayo huwa kwa wachache
Mvua sio za uhakika wakiotesha mazao ni pata au kosa sasa kwa hali hiyo hawawezi kuwa na ustawi mzuri mbaya zaidi wanazaana hovyo yaani kutiana wamekupa kipaombele kuliko kusaka mali
 
Acha ushamba wa kwenye mitandao,uliza waliotembea,ukitoka Dar,mji wa pili ni Mza,Ar,Mby na Ta.
Ni jiji la pili kwa maskini wengi ila sio kwa cash kwani ukitembea ndio unaona pesa au tunaangalia makusanyo yenu ya ndani
Hujui kitu kaa kimya zama zimrbadilika na maisha yanakwenda kasi sana 💉💉💉
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    15.4 KB · Views: 31
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    7.7 KB · Views: 31
  • 2016-04-20.jpg
    2016-04-20.jpg
    11.9 KB · Views: 32
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    32.5 KB · Views: 36
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    31.8 KB · Views: 33
  • 2018-07-03.jpg
    2018-07-03.jpg
    12.4 KB · Views: 34
  • 2017-03-15.jpg
    2017-03-15.jpg
    12.4 KB · Views: 30
  • images.jpeg
    images.jpeg
    35.9 KB · Views: 34
  • information_items_1618931.jpg
    information_items_1618931.jpg
    19.9 KB · Views: 31
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    23.6 KB · Views: 34
Mkuu Ngapulila unaua wameshapoteana,afu muwaambie mabosi wa kununua dhahabu ni sisi watu wa Njombe ndio tunajua soko wao walishafukua wanarudi kunusu nanihii za ng'ombe zao na mikia inawasambazia vizuri harufu za mishuzi ili wasiwe na akili,🤭🤭🤭🤭
 
Mamamamaaa ayaaaa utawaua kwa presha taratibu ndugu. Bado hatujaanza kutupia mapicha ya viwanda km tanwat kibena tea luponde lupembe lwangu alikozindua msukuma wao juz kati lazma wakae
 
Ukiona mji hauna mwarabu wala muhindi hapa duniani usiishi hata kama ni weusi wenzio.Njombe haina hao watu.
Slave mentality. Hata Sourthern USA waliamini hakuna maisha bila watumwa. Mhindi na Mwarabu hawezi kushindana na Mkinga hata siku moja. Hata Moshi wamekimbia kwa sababu biashara walizokuwa wakizifanya wenyeji wanazifanya tena kwa umakini mkubwa. Arusha napo wanakimbia. Mtajazana nao Kariakoo japo nako Wakinga na Wachagga kama kawaida wanakimbiza sana.
 
Mkuu Ngapulila unaua wameshapoteana,afu muwaambie mabosi wa kununua dhahabu ni sisi watu wa Njombe ndio tunajua soko wao walishafukua wanarudi kunusu nanihii za ng'ombe zao na mikia inawasambazia vizuri harufu za mishuzi ili wasiwe na akili,🤭🤭🤭🤭
hawarudi ng,o humu
 
Mamamamaaa ayaaaa utawaua kwa presha taratibu ndugu. Bado hatujaanza kutupia mapicha ya viwanda km tanwat kibena tea luponde lupembe lwangu alikozindua msukuma wao juz kati lazma wakae
Msukuma wao mwenyewe ali appreciate alichokiona Njombe sasa hawa manamba sijui wanasemaje labda nyie mnawaelewa wanachosema humu ndani
Mwenye picha ya lile mall la kuzidi pale Mafinga na yale magorofa atupie yote ile ni akili na mikono ya wananjombe
 
Atupie na picha zile mashine za chai washangae jinsi zinavyochuma chai, pia mitambo ya umwagiliaji chai tuwatoe tongotongo
 
Back
Top Bottom