Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anaeijua kahama,hawezi kuwa mbishi ,hata uzi huu usingekuwa na ubishani wa kitoto kwa kiasi hiki,Miundo mbinu Kahama ni ZERO,niambieni nikipi kipo kahama kitabaki kuwa kumbukumbu ya Mgodi?_hata Hospital ya wilaya ni kama Zahanati,ukienda Geita,ndo majanga kabisa,Geita inamgodi wa Dhahabu ni wa tatu kwa ukubwa na uzalishaji,ukiacha Afrika kusini na Angola,lakini zote kahama na mwwenzie Geita zimejaa Bar na nyumba za wageni,sitendi zimejaa vumbi tupu,viongozi wa maeneo hayo hawaoni hata aibu..safi sana sana, boss unajibu kwa fact, kahama haifananii na mapato wanayotoa pako ovyo
Pole hujui kitu Mbeya kuna apples,furis,strawberry? Njombe Kuna mpunga? Wewe tulia barabara ikamilike ndio uje kuuliza maana inapita maeneo yenye mandhari kama mbele yaani utalii utanoga sana
Hapo n maeneo ya Kibena tanwat kwenye wanapozalisha playwood na Power plant ya umeme
Ngoja waje watuletee vitega uchumi vyao maana njombe tayari tumevionaKwa anaeijua kahama,hawezi kuwa mbishi ,hata uzi huu usingekuwa na ubishani wa kitoto kwa kiasi hiki,Miundo mbinu Kahama ni ZERO,niambieni nikipi kipo kahama kitabaki kuwa kumbukumbu ya Mgodi?_hata Hospital ya wilaya ni kama Zahanati,ukienda Geita,ndo majanga kabisa,Geita inamgodi wa Dhahabu ni wa tatu kwa ukubwa na uzalishaji,ukiacha Afrika kusini na Angola,lakini zote kahama na mwwenzie Geita zimejaa Bar na nyumba za wageni,sitendi zimejaa vumbi tupu,viongozi wa maeneo hayo hawaoni hata aibu..
Ngoja waje watuletee vitega uchumi vyao maana njombe tayari tumeviona
Hiyo barabara ya Makambako Njombe Songea nilisikia bungeni inaanza kufanyiwa rehabilitation Kama hiyo ya TANZAM sijui wameanza au bado? Wataipanua na kuijenga upya itanoga sana
Those are not conducive liveable towns ni maeneo ya kuchuma na kusepa ndio maana hukuti uwekezaji wa maana coz investors wanajua kwamba siku mashimo yakizingua kutema watapata lifetime losses so wako skeptical sanaKwa anaeijua kahama,hawezi kuwa mbishi ,hata uzi huu usingekuwa na ubishani wa kitoto kwa kiasi hiki,Miundo mbinu Kahama ni ZERO,niambieni nikipi kipo kahama kitabaki kuwa kumbukumbu ya Mgodi?_hata Hospital ya wilaya ni kama Zahanati,ukienda Geita,ndo majanga kabisa,Geita inamgodi wa Dhahabu ni wa tatu kwa ukubwa na uzalishaji,ukiacha Afrika kusini na Angola,lakini zote kahama na mwwenzie Geita zimejaa Bar na nyumba za wageni,sitendi zimejaa vumbi tupu,viongozi wa maeneo hayo hawaoni hata aibu..
Hapo sio Canada kweli? Alisikika manamba fulani kutoka Kahama 😜😜😜😜
Dah umenikumbusha mbali, njiapanda ya kwenda mhaji apo main road chai
Naona wapinzani wanachungulia kmya kmya wasepa hawa komenti tena. Watakua wameitisha kikao cha emergence warudi humu kwa gia ipiHapo sio Canada kweli? Alisikika manamba fulani kutoka Kahama 😜😜😜😜
Good job
Bado walipiga tu x nyumba za kuvunja, naona nguvu nyingi walielekeza kwenye miradi ya road za ludewa, makete na hii ya iringa to mbeya pia mradi mpya wa umeme gridi ya maka to songeaHiyo barabara ya Makambako Njombe Songea nilisikia bungeni inaanza kufanyiwa rehabilitation Kama hiyo ya TANZAM sijui wameanza au bado? Wataipanua na kuijenga upya itanoga sana
Kwa nini uondoe Vyuo? Halafu Hivyo vyuo vyote ukiondoa Mkwawa vimejengwa kwa Jubudi za Wana Iringa,
Halafu iringa ni Miongoni mwa Mikoa minne Tajiri Tz.
Kilimo never disappoint mzee,
Ndio maana Mikoa ya Kusini imepiga hatua sana despite insignificant gov inputs,
Huku kusini watu wanachakarika, madini contributes to only less than 5% of National Income na pesa yake hubaki kwa watu wachache sana.
Sifa za sehemu za migodi huwa ni common kote, yaani watu wengi wanaofanya kazi migodini,
Umaskini wa kutupwa, Pesa chafu knayofanya starehe ziwe nyingi, Ngono zembe, Matukio ya mauaji, Na mwisho uchumi wa maeneo kama hayo siyo sustainable.
Kimsingi starehe za Migodini ni Pombe na Ngono tu.
Hata hivyo kwa sifa hizi mmemwaga humu najipanga kutembelea hapo Kahama, Lazima hiyo pesa ya madini wababe tuinyakue.
Hapo boss umeua, wakija watakwambia mbona umetuletea picha za sri Lanka aseeeee, kumbe ngoma ya lupembe iyo
Lupembe..umenikumbusha haya maisha jaman..!😅😅
hahaha mmeanza kurudi eee? Haya tuletee za kahama maana wew pia ulibisha sanaLupembe..umenikumbusha haya maisha jaman..!😅😅
Jenga la Mzee Kyando