Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Iringa town wakikaa bila kujipanga itabaki old town maana Mafinga inatembea speed hatari japo sio leo au kesho si unajua mtu akitangulia

weka mbali na Iringa..nimepita last yr kuja kuiona Kinyanambo nikawa nasema Eh Yesu wa nazareth! Kinyanambo ya miaka ya 2010 sio ya sasa ..hatari tupu sheikh wangu (in sheikh kipoozeo voice)
 
Iringa town wakikaa bila kujipanga itabaki old town maana Mafinga inatembea speed hatari japo sio leo au kesho si unajua mtu akitangulia
yah mafinga soko la mbao ndo home, wakenya na wachaga wamejaa sana pale, na spid ya mji kukua si ya kitoto. Kwa iringa town kutapooza sana na vile wapo pembezoni na main road ya mby to dsm ndo kabisaa
 
I
Iringa Ni zaidi ya Njombe na Kahama .Inalingana na Moshi tu
Of course business district ya Iringa huwa inapendeza maana majengo marefu yamejikusanya town Kati yanapendeza na kuipa heshima kuliko kama yalivyotawanyika Mbeya au Dodoma.Ni miji michache Tzn yenye iko kama Iringa moshi ikiwamo
 
Ila na ww usijidai kisa kilolo mna kilimo cha imwagiliaji..nidanganye kwingine sio hiyo sekta..! mtu unajipinda kulima nyanya then unakuja uza tenga kwa 3000??[emoji57][emoji57] yaan kafaida kanakuwa kadoogoo ...hapana aisee..nyie limeni tu kwakwel na vifaida vya laki 6 miez 3[emoji57][emoji57]!

^
huku bwana unalal.maskn unaamka.tajiri[emoji23][emoji23]..unalala.tajiri after a short tym u akuwa maskini! sasa huku wenye akili kama kina Manengelo lazima tutusue tu..starehe zinakaa kando na kusoma mchezo kwa ustadi mkubwa! endelen kulima fingamba be!

So far, Kilimo ni reliable kuliko madini,
Nimeenda Migodini na na nimechimba, naijua dhahabu, in and out,
I am telling you ule msoto wa kutafuta dhahabu watu tunakunywa na kupikia dona na dagaa kwa maji ya madimbwi, kulala kwenye vihema vya Mifuko ya cement, hapo unakuta msoto ni wa wiki tatu hadi mnapata mawe na kwenda kusaga, na mwisho wa siku mnaweza kuporora, au mnajikuta na gramu 8, hapo tupo watano,
Ukilipa madeni hapo na mgao wa mwenye crem basi mnayobakiwa nayo yote mnanywea pombe usiku huohuo na kesho asubuhi shimoni tena,
Uzoefu wangu unaonesha wanaofanikiwa kwenye madini ni wafanyabiashara pekee, ambao ni wachache sana na sio wachimbaji ambao ndio rundo,
Na maeneo ya migodini hapa bongo hakuna mtu anafikiria elimu, wala Afya, Wala miundombinu, The priority is money, money, money. watoto hawasomi shule wanafikiria kuchimba, ndio maana ni vigumu sana haya maeneo kupiga hatua, Nenda sehemu cha Makongirosi, Sangambi au hata Rukwa huko utakubaliana na mimi,
Contrary, kwa Kilimo kila anaejihusisha nacho atapata pesa hata kama si nyingi ila ataipata,
Pesa ya kilimo inakuwa kwenye mikono ya wengi zaidi na so long as mtu haipati overnight basi haifujwi, ndio maana ni rahisi sana watu wengi kujikwamua kwenye umaskini kwa njia ya Kilimo kuliko Madini.
Pia kilolo hatulimi nyanya tu, sasa tunalima mashamba ya Matunda, (parachichi n.k), Viazi, Mahindi, Misitu ya mbao ya Kutosha, Chai, Maharage, Njegere, Mbogamboga nk
 
So far, Kilimo ni reliable kuliko madini,
Nimeenda Migodini na na nimechimba, naijua dhahabu, in and out,
I am telling you ule msoto wa kutafuta dhahabu watu tunakunywa na kupikia maji ya madimbwi, kulala kwenye vihema vya Mifuko ya cement, hapo unakuta msoto ni wa wiki tatu hadi mnapata mawe na kwenda kusaga, na mwisho wa siku mnaweza kuporora, au mnajikuta na gramu 8, hapo tupo watano,
Ukilipa madeni hapo na mgao wa mwenye crem basi mnayobakiwa nayo yote mnanywea pombe usiku huohuo na kesho asubuhi shimoni tena,
Uzoefu wangu unaonesha wanaofanikiwa kwenye madini ni wafanyabiashara pekee, ambao ni wachache sana na sio wachimbaji ambao ndio rundo,
Na maeneo ya migodini hapa bongo hakuna mtu anafikiria elimu, wala Afya, Wala miundombinu, The priority is money, money, money. watoto hawasomi shule wanafikiria kuchimba, ndio maana ni vigumu sana haya maeneo kupiga hatua, Nenda sehemu cha Makongirosi, Sangambi au hata Rukwa huko utakubaliana na mimi,
Contrary, kwa Kilimo kila anaejihusisha nacho atapata pesa hata kama si nyingi ila ataipata,
Pesa ya kilimo inakuwa kwenye mikono ya wengi zaidi na so long as mtu haipati overnight basi haifujwi, ndio maana ni rahisi sana watu wengi kujikwamua kwenye umaskini kwa njia ya Kilimo kuliko Madini.
Pia kilolo hatulimi nyanya tu, sasa tunalima mashamba ya Matunda, (parachichi n.k), Viazi, Mahindi, Misitu ya mbao ya Kutosha, Chai, Maharage, Njegere, Mbogamboga nk

Mie nimelelewa kwenye familia za wanaopend kulima mkuu...! sema hv..mnalima kukidhi njaa za siku 1..means ule usilale njaa na vitoto vipate school fees!
mtu analeta njegere dar faida anayopata mie nikiamua kukaza naipata kwa siku 3..inahu?..

huku wengi maboya sana wa kunywa pombe km ww ulivyosema..mnawaza kugawana mawe ya mgao mkalewe na kuchukua wanawake .
.
Basi ww endelea kulima njegere tupeane mkakati maalumu kbs wa mwaka m1 .kila mtu aoneshe amepiga hatua zipi..ww lima uyoga sijui mahindi mabichi uuze 200@ shambani...tena kwenye mbao kadri tunavyozidi kuishi mbao zitakosa soko..mayb mininga ila sio hizi pines zenu au caltus!

Labda uniambie upate soko la nje..ila eti ulime ukauzie dar kwakwel mie wala sishtuki kbs!
 
anazungumzia kwa badae mafinga itaipiku iringa town. Kwa sasa bado iringa ipo juu
Tofauti kubwa ya mikoa ya kanda ya ziwa na huko ni 1!.
Huku umaskini umetaradadi..huku nyumba za tembe kawaida sana kuziona...ila Iringa vijijini hukuti tembe ya huku..huko unakuta nyumba ya tofali za kuchomwa na sola juu au umeme kbs!
Ila huku matajiri ni wengi..huko matajiri sio wengi..ila wakaaz wa huko wametupga gape kubwa sana kwenye makazi!
Mikoa hyo (Ir.Mby Njmbe) ni ngumu kulala bila kula kisa huna chakula..huku kawaida tu!
Kanda ya ziwa itoe Bukoba.

Bukoba vijijini pazuri zaidi kuliko mjini.
 
Sasa mimi nikae usagara polini uswahilini kule? Kwa taarifa yako na kufahamu hiyo pande my bro ni staff huko na kujenga usagara ila huko uswahilini hadi Busisi siwezi kuishi nabaki Isyesye imepangwa kimipango miji mkuu
Sgr ikifika mwanza,daraja la kigongo Busisi likikamilika(japo upande ule wa sengerema hamna kitu) na airport ikikamilika hakuna jipya jingine mwanza wakati wenzenu huku ndio kuna kucha
Saizi kuna mpango wa kujenga barabara ya njia nne kuanzia Mbeya hadi Tunduma ili ku accommodate traffic kubwa ya eneo hilo huku bypass ya uyole mbalizi inaanza kujengwa mwaka ujao
Barabara ya mbeya chunya makongolosi tabora/singida ikikamilika tu itaboost sana Mbeya na tutawalisha nyie waganga njaa huko Ziwani
Usagala siyo polin siku hizi sh.600 mpaka mjin.na watu ni wengi Sana usafiri masaa yote
 
Mie nimelelewa kwenye familia za wanaopend kulima mkuu...! sema hv..mnalima kukidhi njaa za siku 1..means ule usilale njaa na vitoto vipate school fees!
mtu analeta njegere dar faida anayopata mie nikiamua kukaza naipata kwa siku 3..inahu?..

huku wengi maboya sana wa kunywa pombe km ww ulivyosema..mnawaza kugawana mawe ya mgao mkalewe na kuchukua wanawake .
.
Basi ww endelea kulima njegere tupeane mkakati maalumu kbs wa mwaka m1 .kila mtu aoneshe amepiga hatua zipi..ww lima uyoga sijui mahindi mabichi uuze 200@ shambani...tena kwenye mbao kadri tunavyozidi kuishi mbao zitakosa soko..mayb mininga ila sio hizi pines zenu au caltus!

Labda uniambie upate soko la nje..ila eti ulime ukauzie dar kwakwel mie wala sishtuki kbs!

Inawezekana upo sahihi, Ila ukiangalia hizi sekta mbili kwa upana lazima utakubaliana na mimi, Still Agriculture stands off, Angalia pyramid ilivyokaa halafu uangalie which sector suits better to the bottom of pyramid,
Suala la kulima njegere nilishatoka huko, ila nikipata nafasi ya kumshauri kijana anaetaka kujihusisha kwenye hizi sekta mbili pasi ya makandokando sitamshauri achague kuchimba madini kabla ya Kilimo, nikisema kilimo haimaanishi ni lazima yeye aingie shambani akalime, kuna namna tofauti ya kutengeneza hela kupitia kilimo, kuanzia kusafirisba mazao au Kusindika
However, Naijua Pesa ya Madini ni tamu, Bulky, na ukiwa na mzigo unauza leo leo wote kwa pamoja na mshiko wote unaunyakua, Ndio maana tija yake ni kwa wafanyabiashara wachache sana, Ambapo mimi natakiwa kuwa miongoni mwa hawa Wachache.
 
mie hizo chocho zote bahat nzuri nilipita labda uniambie ww unawaza kusafirisha kilo 300 za maharage kuja dar kama unamaanisha hvyo well n good sasa ww gusa kupata vibali vya kusafirisha asali walau iende Malaysia àu kuexport🍓Uond mzunguko wake ulivyo...utasumbuka wee mwisho wa siku wanaoexport hizi ishu ni watoto wa vibosile wenye connections zao hapa mjini..mie kusafisha mazao kutoka mkoa m1 kwenda mwingine sitak..! ! sijui lakini..!

Wenzetu +254 wanaexport had cabbage..mikabeji ya huko kwenu inaoezeana tu!
Na mm nataka kwa hali na mali nifike kwa hao wachche unaowasema ww!
Endeleeni kujidanganya kwamba kilimo ni uti wa mgongo! labda!
 
Karibu kahama
Kahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.
.
Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama kahama?
.
Una bahati mbaya nakujua njombe [emoji23][emoji23][emoji23] kahama iko juu
 
Shinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa njombe una matatizo
.
Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 utazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?
.
Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
Kwahiyo hao watu wa Lindi ndo watakuwa wamelala? Kwamba hawatazaliana, hawatafanya biashara, hawatawekeza?
 
Back
Top Bottom