ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #1,521
Hili gazeti limejaa mahaba zaidi kuliko uhalisia,Kama miji hiyo Ina sifa unazozitaja kwa nini hakuna hotel kali na nyingi si unadai Kuna pesa huko?Yani hi miji usipoitembelea ukaijua vizuri ukaishia kusoma komet una fail sana mfano mji wa njombe Ni very narrow mwembamba umefuata barabara kulingana na jiografia yake mafinga imejengeka upande mmoja kuelekea isalavanu na ukitoka changalawe Hadi makwawa Ni km 15 tu ndo pamejengeka alafu nashangaa makambako na tunduma et wanasema miji ya wachuuzi hahaha Yani kwa sasa makambako kila Kona inajengeka toka idofi Hadi ikelu kunajengwa tu km 30 na tunduma nayo inaungana na ihanda mlowo na vwawa alafu et mafinga na njombe ndo panajengeka danganyeni wasio kujua alafu picha sio za mafinga mjini Ni za mufindi dc afu mapato toeni ya mafinga tc yenye kata 9 sio kuchanganya na dc alafu unakuja kulinganisha na miji ya kibiashara mnafeli na hoteli mafinga Ni Merlin zingine ovyo ko na walivyo Jenga gorofa la cf plaza basi mafinga mnaona Kama mmeizidi miji mingine kumbe bdo mnasafari ndefu na mf kuna shell 13 wakati makambako shell zpo 15 Hadi zinazojengwa kwa sasa njombe zipo shell 11 na bank mafinga 4crdb nmb muccoba na tpb wakati makambako kuna nmb crdb nbc benk ya wanawake letshego bank tpb bank nk ko usipo tembelea kwa makini hi miji ukawasikiliza watu wanapotosha ukweli hata mizigo ya madukan wengi mafinga na njombe wanachukulia makambako na tunduma alafu et miji ya wchuuzi
Mkuu hiyo miji umeitaja ndio sampuli ya Kahama yaani imejaa wachuuzi Kama gulioni,mambo ya idadi ya sheli sijui nini sio kigezo,,kwa mfano tufanye Makambako ina vituo vingi vya mafuta(sheli) kuliko Sumbawanga sasa nijibu je Makambako au Tunduma inaizidi Sumbawanga kwa kipi? Usilinganishe miji ya Njombe na Mafinga yenye Uchumi stable na ya wastaarabu Kama hayo magulio yakiongizwa na Kahama
Miji inajengwa kulingana na jiografia ya mji ulipo kwa mfano Mafinga inaambaa kulingana na barabara kuu,Njombe inajengwa kufuata barabara kubwa zote Ila huoni kwa sababu jiografia yake ni mabonde na milima na iko covered na uoto wa miti tofauti na Makambako ambayo ni tambarare na imejaa kipara,typical uchuuzi towns