Na huo
Na huo ndo uwekezaji endelevu wenye manufaa hata kwa wenyeji sio unasema Mara ofisi za mkoa makao makuu ya kanisa saizi tunaangalia miradi mikubwa ya eneo husika inayoendelea na yenye faida kahama ipo vizuriKahama Unaifahamu!? Au unaisikia!?
Kahama ina makadirio ya Watu laki 300+
Kahama imegeuka kuwa kitovu cha uzalishaji ambapo viwanda vinaendelea kujengwa kila uchwao
Kinaendelea kutengeneza formal jobs kueleka kuwa manispaa
Kumeendelea kuwa kitovu cha biashara za ndani na nje ya nchi.. ambapo wafanya biashara wa Kahama na wengi wa kariakoo wamesogea Kahama kuhudumia soko la kimataifa (Rwanda Burundi na Congo)
Uzalishaji umeendelea kukua huku Kahama ikiwa mzalishaji mkubwa zaidi wa mchele nchini for the past 5years.. na the largest exporter pia.
Soko la huduma Kahama huwezi linganisha na vijiji unavyovitaja.. Kahama inapokea usafiri wa anga mara mbili kwa week, na hii ni kutokana na kukosekana muundombinu bora na watoa huduma wa uhakika... Kuna Maagent wa TKT za Ndege zaidi ya 15 na wanafanya kazi kila siku na mara nyingi watu wanakuwa shuttled to Mwanza kwa huduma hii (shows you people are affluent and can spend)
Shule za Standard ya kitaifa na kimataifa ziko kila kona, (Elimu) vyuo vya upili vya serikali na binafsi, Na sasa Makampuni ya Game and Tours yameanza kujipenyeza kuona kama yanaweza kuset kambi kwa wanaohitaji kufanya uwindaji..
Construction businesses and makampuni ya wazawa kibao yameanzishwa headquartered Kahama ambayo yana parangana kupata regional recognition... Magarage makubwa yanayoservice mpaka Rwanda na Burundi.. na maengineer wengine wengi wameanza tayari ujenzi wa viwanda vidogo vya ndani vya fabrication ya vifaa vya kilimo.
Kahama its waaaaaay ahead of njox na Kagongwa labda ndio uiweke na Mafinga.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app