Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Na huo
Kahama Unaifahamu!? Au unaisikia!?

Kahama ina makadirio ya Watu laki 300+

Kahama imegeuka kuwa kitovu cha uzalishaji ambapo viwanda vinaendelea kujengwa kila uchwao

Kinaendelea kutengeneza formal jobs kueleka kuwa manispaa

Kumeendelea kuwa kitovu cha biashara za ndani na nje ya nchi.. ambapo wafanya biashara wa Kahama na wengi wa kariakoo wamesogea Kahama kuhudumia soko la kimataifa (Rwanda Burundi na Congo)

Uzalishaji umeendelea kukua huku Kahama ikiwa mzalishaji mkubwa zaidi wa mchele nchini for the past 5years.. na the largest exporter pia.

Soko la huduma Kahama huwezi linganisha na vijiji unavyovitaja.. Kahama inapokea usafiri wa anga mara mbili kwa week, na hii ni kutokana na kukosekana muundombinu bora na watoa huduma wa uhakika... Kuna Maagent wa TKT za Ndege zaidi ya 15 na wanafanya kazi kila siku na mara nyingi watu wanakuwa shuttled to Mwanza kwa huduma hii (shows you people are affluent and can spend)

Shule za Standard ya kitaifa na kimataifa ziko kila kona, (Elimu) vyuo vya upili vya serikali na binafsi, Na sasa Makampuni ya Game and Tours yameanza kujipenyeza kuona kama yanaweza kuset kambi kwa wanaohitaji kufanya uwindaji..

Construction businesses and makampuni ya wazawa kibao yameanzishwa headquartered Kahama ambayo yana parangana kupata regional recognition... Magarage makubwa yanayoservice mpaka Rwanda na Burundi.. na maengineer wengine wengi wameanza tayari ujenzi wa viwanda vidogo vya ndani vya fabrication ya vifaa vya kilimo.

Kahama its waaaaaay ahead of njox na Kagongwa labda ndio uiweke na Mafinga.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na huo ndo uwekezaji endelevu wenye manufaa hata kwa wenyeji sio unasema Mara ofisi za mkoa makao makuu ya kanisa saizi tunaangalia miradi mikubwa ya eneo husika inayoendelea na yenye faida kahama ipo vizuri
 
Na
Tunduma, Makambako, Kahama ndio miji inayokuwa kwa kasi kwa juhudi za wananchi wafanyabishara njombe ni mji mkuu wa mkoa ndio kinaipa sifa ila Makambako ni habari nyingine
Na ndo ukweli miji ya kibiashara hailingani na miji ya wakulima mkulima Hadi akajenge nyumba Lin maana mazao yana yumba Bei sokoni miji ya biashara kila kukicha nyumba zinajengwa na watu wanaongezeka kwa kasi ujue njombe inawapa shida neno makao makuu ya mkoa basi wanaona ndo kuipita miji yote si kweli na kiuhalisia makambako ndo inayowakilisha vizuri mkoa wa njombe kwa maana Ni mji unaounganisha na mataifa mengine na ndio mji unaonekana vizuri kwa wageni wanaotoka nchi mbalimbali na sio njombe Ni sawa na sebule na chumbani yaan makambako ndo sebulen na njombe ndo chumbani
 
Tunduma, Makambako, Kahama ndio miji inayokuwa kwa kasi kwa juhudi za wananchi wafanyabishara njombe ni mji mkuu wa mkoa ndio kinaipa sifa ila Makambako ni habari nyingine
makambako kwa uchawi sasa, weeh! wakinga na wabena kiboko
 
Kabisa alafu unaanza kufananisha na miji inayo sambaa Yan kunawatu wanachekesha na mashaka na walim wao wa Geo Kama aliingia darasan huo ndo ukwel bro mnajiita mji halafu makazi yananyooka barabaran hivi hata mgeni anasema kanitembeze mnanyooka tu road et mjini duh
Ukiondoa DSM, Mwanza, Mbeya, Arusha, Tanga, Dodoma, Morogoro, Iringa, Moshi na Zanzibar hakuna mji nchini unaifikia Kahama! Ngoja kwanza atulie na hiyo!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukiondoa DSM, Mwanza, Mbeya, Arusha, Tanga, Dodoma, Morogoro, Iringa, Moshi na Zanzibar hakuna mji nchini unaifikia Kahama! Ngoja kwanza atulie na hiyo!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Statement yako imethibitishwa na TOYOTA TANZANIA, hatuletee na ya Njombe sasa
1604643325300.png

1604643370700.png
 
Njombe ichuane na bariadi au nzega

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukitaka kujua potentiality ya Kahama na Njombe pitia Ilani ya Chama cha mapinduzi nzuri kama utapata pdf file (search Kahama then Njombe) uangalie serikali imepanga kuwekeza miradi ya trillions ngapi kati ya hizi sehemu mbili Kahama na Njombe ndio hatajua hajui.
 
Ujue vingine Ni vituko hata kufananisha maana mafinga inakadiliwa kuwa na watu 84000 na kata 9 na kahama Ina watu Zaid 300000 na kata 20 ambapo tayari Hadi kigezo Cha manispaa imepitiliza ipo kigezo Cha jiji
Niliisha wahi kumwambia huko nyuma Kahama inakuwa Municipal mapema kabla ya Njjombe na ni rahisi Kahama kupata hadhi ya Jiji kabla ya Njombe bado akabisha. Hata kwa Kanda ya Ziwa jiji la pili inaweza kuwa Kahama baada ya Mwanza.
 
Kahama ni habari nyingine kama siyo ukritimba kahama ingekuwa jiji.
 
Niliisha wahi kumwambia huko nyuma Kahama inakuwa Municipal mapema kabla ya Njjombe na ni rahisi Kahama kupata hadhi ya Jiji kabla ya Njombe bado akabisha. Hata kwa Kanda ya Ziwa jiji la pili inaweza kuwa Kahama baada ya Mwanza.
Kahama ndio mji wa pili kwa ukubwa kanda ya ziwa
Mwanza[emoji3581]
Shinyanga [emoji777]
Geita [emoji777]
Bukoba [emoji3582]
Msoma[emoji777]
Bariadi[emoji777]
Kahama [emoji3581]
 
Kahama ndio mji wa pili kwa ukubwa kanda ya ziwa
Mwanza[emoji3581]
Shinyanga [emoji777]
Geita [emoji777]
Bukoba [emoji3582]
Msoma[emoji777]
Bariadi[emoji777]
Kahama [emoji3581]
Lipo wazi kitambo kwa Kanda ya ziwa inaanza Mwanza Jiji>Kahama>Musoma>Geita>Shinyanga>Bukoba>Simiyu. Hiyo Kahama sasa sio hata Makao makuu ya Mkoa lakini kuna wilaya ambazo ni makao makuu ya Mkoa tokea nchi hii inapata uhuru bado haziwezi ifikia Kahama.
 
Kabisa maana vigezo vya population vinasema halmashauri ya mji inaanzia idadi ya watu 50000 manispaa 100000 na jiji 300000 sasa hyo mnayosema itakuwa manispaa ya mafinga ya watu 84000 sijui Kama imekidhi inatakiwa muwe wapole bdo Ni watoto
 
Shida watu Ni ufinyu wa kufuatilia Mambo wao wanajua kuwa makao makuu ya mkoa ndo kukua na kilicho tokea hko kahama na shinyanga ndo kimetokea kati ya makambako na njombe Hadi wageni wanaanza kusema kwanini wamejenga makao makuu ya mkoa kule kwanini yasingekuwa hapa jinsi miji ilivyokuwa na kuchangamka pia ipo tunduma na mbozi pia
 
Kabisa maana vigezo vya population vinasema halmashauri ya mji inaanzia idadi ya watu 50000 manispaa 100000 na jiji 300000 sasa hyo mnayosema itakuwa manispaa ya mafinga ya watu 84000 sijui Kama imekidhi inatakiwa muwe wapole bdo Ni watoto
Nakumbuka sensa ya 2012 Kahama mji ilikuwa ina population ya 242,000
 
Nakumbuka sensa ya 2012 Kahama mji ilikuwa ina population ya 242,000
Ukiweka growth rate kitaifa ambayo ni 3.0 Kahama inakuwa na jumla ya Watu kufikia
2013......249260
2014......256737
2015......264440
2016......272373
2017......280544
2018......288960
2019......297629
2020......306558

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukiweka growth rate kitaifa ambayo ni 3.0 Kahama inakuwa na jumla ya Watu kufikia
2013......249260
2014......256737
2015......264440
2016......272373
2017......280544
2018......288960
2019......297629
2020......306558

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaani Kahama kilichobaki ni kuboresha infrastructure za ndani na kukuza vyanzo vya mapato tu, kigezo cha Population sio kikwazo tena yaani kabla ya 2035 inaweza pewa hadhi ya jiji.
 
Back
Top Bottom