Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

That dude ni mbishi sana na hii ni nature ya watu wa huko nadhani inapelekewa na height yao.

Kule kuna milima ya ajabu na ndiko wanakoishi hawa viumbe muda wote wamevaa mizura/makofia, makoti na wameinama wakipandisha na kushusha vilima vyao.
Huna hoja wewe kiazi maskini ,urefu ungekuwa ni dili maskini mungepungua huko kajambaa town sasa mnaishi kama Ng'ombe zizini bure kabisa nyie,saizi mnategemea hisani ya diktetea uchwara
 
kuifananisha njombe na kahama ni kuionea njombe, njombe ni mji wa wakulima, kahama ni mji wa biashara, njombe inatakiwa ilinganishwe na Tukuyu, na kahama ilinganishwe na Tunduma.
 
Hiyo miji uliyoitaja unaifahamu au umesoma thread tu na kuja na hitimisho la kiutopolo?
 
Njombe naijua kupita sala ya bab yetu, nimeishi matalawe, mitaa yote naijua kuanzia kibena mpaka mji mwema hunidanganyi, mkuu, acha kujidanganya njombe hakuna mzunguko wa pesa, ni mji wa wakulima, zaidi ya 80% wanategemea kilimo. huwezi fananisha na mji wa biashara kama kahama.
 
wewe unaijua Njombe ya miaka gani? haya tufanye unaijua sasa inatakiwa ujue pia kwamba Njombe kuna maskini wachache na maisha mazuri kuliko Kahama.
Unatakiwa ujue kwamba Njombe kuna viwanda vingi kuliko Kahama
Unatakiwa ujue pia kwamba Njombe ni kati ya mikoa 3 ya Tzn ambayo wananchi wake wana kipato na maisha mazuri na ya uhakika,kiufupi hakuna maskini wengi kama Kahama.
Lakini pia unatakiwa ujue kwamba Kahama ni mji wa kichuuzi na wachimba migodi ambao kimsingi wengi wao ni maskini wa kutupwa,yaani kumejaa machinga.
Mwisho unajua kwa nini Njombe kuna mahoteli mengi tena ya magorofa marefu kuliko Kahama? jibu ni moja huku watu wana pesa unlike huko walikojaa wachuuzi na machinga maana wako gulioni..Usichezee green gold mkuu
 
Na unatakiwa ujue kuna Masikini na Mafukara wengi China, USA na Japan kuliko Tanzania haimaanishi Tanzania ni Tajiri kuliko sisi...

Na masikini huenda penye utajiri..pia.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
gold paradox,mineral curse hizo sekta zimelaaniwa mtazikwa maskini kwa kujipa matumaini tu,sekta pekee ya kumtoa maskini ni kilimo hizo zingine wanachimba watu buku anatoka 1 huu ni ujinga,,huku kwenye kilimo mnaweza jaribu 1000 mkatoka hata 150 sasa hapo akili kichwani
 
kilimo sio biashara?
Mueleze huyo,kuna mwenzie nimemwambia kwamba kilimo huku Njombe kiko mechanised kunzia chai,miti,viazi hadi maparachichi sasa anajua umachinga wa mitumba ndio biashara wakati wenzio tunaweza weka gunia 300 za ulezi kwa mfano nikakaa nazo miaka 3 kama soko linazingua then nikija kuuza soko likisoma wewe mwenye vimitumba vyako sijui belo 4 utaishia hivyo hivyo hadi tunafukia na kujisifia ujinga.
 
Watu wangapi wameajiriwa na mining?
 
Huna hoja wewe kiazi maskini ,urefu ungekuwa ni dili maskini mungepungua huko kajambaa town sasa mnaishi kama Ng'ombe zizini bure kabisa nyie,saizi mnategemea hisani ya diktetea uchwara
Dikteta uchwara ni nani?
Unaweza kulinganisha makazi ya Kahama na ya milimani huko Njombe?
 
Mueleze huyo,kuna mwenzie nimemwambia kwamba kilimo huku Njombe kiko mechanised kunzia chai,miti,viazi hadi maparachichi sasa anajua umachinga wa mitumba ndio biashara wakati wenzio tunaweza weka gunia 300 za ulezi kwa mfano nikakaa nazo miaka 3 kama soko linazingua then nikija kuuza soko likisoma wewe mwenye vimitumba vyako sijui belo 4 utaishia hivyo hivyo hadi tunafukia na kujisifia ujinga.
Mnaweza kuta wote mnaobushana hamuishi maeneo hayo japi ni wazawa, tulio kimya ndio tunaishi huko.Elezeni fursa sio kubishana tu bila maarifa,watu wanataka wakatafute maisha hayo maeneo hawahitaji ubishi.Hiyo ni miji miwili tofauti yenye climate tofauti, hata watu wake lazima wawe tofauti.Mwenye mapenzi ya kuchimba madini aende kwenye madini kahama na mwenye tamaa ya kilimo aende njombe,mengine hayana maana ndugu zetu.JF iwe chachu ya kuchochea uchumi wa vijana na sio vinginevyo.This platform must be a place for connections.
 
unaweweseka tu hapa na akili yako haina ushirikiano,hoja ni Njombe na Mafinga kuna viwanda vingi kuliko Kahama,
Una data za viwanda vilivyoko kwenye hayo maeneo yenye watu weusi kupita maelezo?
Na una data za viwanda vilivyoko Kahama?
mambo ya network sijui na such upuuzi anzisha thread otherwise huna hoja peleka upumbavu huko kwenye vijiwe vya wachuuzi wenzio wa Kahama.
Masikini mtu mfupi hujui umuhimu wa network kwenye investments.
Wewe mwenye akili timamu una migodi mingapi maana mimi nina msitu wa miti au unauza duka afu unapayuka
Good qn, kama familia tunamiliki mgodi Geita na natarajia kupata maduara mapya Nyakabale uchumi wetu ukiimarika zaidi

Dhahabu moja ya grams 300 ni million 43 na points nikiiuza utalinganisha na mamiti yako ya Cyprus hayo?
Sasa jipe H/W kwa mwaka tunapata kiasi gani kisha jinyonge na ufupi wako huo

Nothing in this world is worth than Gold.
 
gold paradox,mineral curse hizo sekta zimelaaniwa mtazikwa maskini kwa kujipa matumaini tu,sekta pekee ya kumtoa maskini ni kilimo hizo zingine wanachimba watu buku anatoka 1 huu ni ujinga,,huku kwenye kilimo mnaweza jaribu 1000 mkatoka hata 150 sasa hapo akili kichwani
Mueleze huyo,kuna mwenzie nimemwambia kwamba kilimo huku Njombe kiko mechanised kunzia chai,miti,viazi hadi maparachichi sasa anajua umachinga wa mitumba ndio biashara wakati wenzio tunaweza weka gunia 300 za ulezi kwa mfano nikakaa nazo miaka 3 kama soko linazingua then nikija kuuza soko likisoma wewe mwenye vimitumba vyako sijui belo 4 utaishia hivyo hivyo hadi tunafukia na kujisifia ujinga.
sasa kwa nini vijijini kwenye wakulima ndio kunaongoza kwa umasikini? kwa nini kahama kuna benki nyingi zaidi ya njombe?
 
Mnaweza kuta wote mnaobushana hamuishi maeneo hayo japi ni wazawa, tulio kimya ndio tunaishi huko.Elezeni fursa sio kubishana tu bila maarifa,watu wanataka wakatafute maisha hayo maeneo hawahitaji ubishi.Hiyo ni miji miwili tofauti yenye climate tofauti, hata watu wake lazima wawe tofauti.Mwenye mapenzi ya kuchimba madini aende kwenye madini kahama na mwenye tamaa ya kilimo aende njombe,mengine hayana maana ndugu zetu.JF iwe chachu ya kuchochea uchumi wa vijana na sio vinginevyo.This platform must be a place for connections.
Nipe connection Mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mueleze huyo,kuna mwenzie nimemwambia kwamba kilimo huku Njombe kiko mechanised kunzia chai,miti,viazi hadi maparachichi sasa anajua umachinga wa mitumba ndio biashara wakati wenzio tunaweza weka gunia 300 za ulezi kwa mfano nikakaa nazo miaka 3 kama soko linazingua then nikija kuuza soko likisoma wewe mwenye vimitumba vyako sijui belo 4 utaishia hivyo hivyo hadi tunafukia na kujisifia ujinga.
Hali ya hewa Kagera na Njombe ni sawa tu ( Mbao, Chai, Parachichi, Kahawa, viazi chips, maharagwe, nanasi, ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa) sema Kagera wamewazidi ndizi na uvuvi wa Samaki. Ni vizuri hii league tuitoe Kahama iwe Njombe na Kagera tu. Kwa sababu hata wilaya dume ya Kagera yaani Bukoba haiwezi simama na Kahama.

1605030496400.png

1605030733200.png

Yaani Njombe 2012 Maize milling mnazo tatu tu na mnajisifu ni viwanda vikubwa? Kwa waliofika Kahama tumwambie au tumuache tu huyu mtu mweusi? Hizo maize milling zao tunaziba na cotton Ginery nne tu Fresho, Kahama Cotton Company ltd, Kahama Oil Mills na Nida Textile. Hizo tea processing zao saba tunamtupa Kagongwa kwenye Paddy milling achilia mbali Malunga Kahama mjini. Bado kuna kiwanda cha bati, Kiwanda kipya cha vinywaji estimated investiment ya (10million USD) bado hujagusa mining industry.
1605032255900.png
 
Njombe TC has been there since time ago kabla ya hizo blaa blaa za ULGSP,kumbuka kule kuna green gold,misitu na mazao ya misitu plus kilimo in general ndio driving force ya uchumi na hata viwanda vingi viko kwenye sekta hizo.Na kwa taarifa yako mkuu kuna mradi mwingine unakuja wa TACTIC plus barabara zote kuu za kutoka/kuingia Njombe zinajengwa ko itabadili sura nzima ya Njombe,nyie huko kwingine mtaendelea kupauka na uchuuzi wenu.
Endelea kujitekenya centre ya biashara hailingan na sehemu za kilimo
 
Viwanda vingi viko Shinyanga acha sifa wewe huko labda vya cherehani

Construction ipi hiyo maana tumesema onyesheni mijengo mikali kama hoteli nk mnaleta vi guests house vya kulala wachuuzi kwani hamuoni migorofa ya huko Njombe au Mafinga? wachuuzi huwa hamna pesa ndio tatizo
Gorofa ndefu zpo nne njombe kelele tu mafinga ndefu 1
 
Back
Top Bottom