Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe naijua kupita sala ya bab yetu, nimeishi matalawe, mitaa yote naijua kuanzia kibena mpaka mji mwema hunidanganyi, mkuu, acha kujidanganya njombe hakuna mzunguko wa pesa, ni mji wa wakulima, zaidi ya 80% wanategemea kilimo. huwezi fananisha na mji wa biashara kama kahama.

Njombe Ni mji wa wakulima hakuna biashara pale ukifika msimu wa kilimo wote shambani ss analinganisha na miji ya biashara wap na wap hata like soko walilo Jenga meza ndo nyingi zipo 500 na frem 161 ko unaona jinsi gan hata serikali inawafahamu kuwa Ni wakulima t
 
Kuna watu wanaandika hata vitu wasivyo vijua namashaka hata mipaka ya halmashauri yao hawaijui vizur mfano mtu anasema njombe Ina viwanda vingi vpi maana Kama unafananisha na kahama chukua halimashauri ya mji wa njombe sio mkoa maana kama kibena tea ipo wangingombe na lupembe ipo njombe DC ko ongeleeni vya luponde hko tanwat nacha nundu Cha maji na parachichi vinakuwa vimeisha ambapo inakuja kuona huo uwekezaji ni tofauti na miji ya kibiashara mfano makambako saiz kila Kona wanaanzisha viwanda vya sembe vpo zaidi ya kumi mafuta ya alizeti mpunga nguzo za Umeme kiwanda Cha chokaa na gypsum misumari kiwanda Cha bati kiwanda Cha kubangua kahawa nk vinavyojengwa Cha madawa juisi vifungashio na mbolea ko ndo ujue tunavosema njombe mtabaki kuwa wategemezi tu makambako huu ndo mji wenu wa biashara na wawekezaji wanaingia kila siku
 
Mfano bank zilizopo njombe Ni crdb nmb tpb nbc na mkombozi mafinga crdb nmb muccoba na tpb nenda makambako sasa mji wa biashara Kuna nmb crdb nbc tpb benk ya wanawake letshego bank ko ndo ujue miji ya wakulima Ni tofaut na ya kibiashara hata benki zinajua Hilo katika uwekezaji
 
Sio ita,tayari imeshaitangulia zamani sana,sio Njombe tuu bali hata Mafinga ina viwanda vingi kuliko Kahama na ushahidi ndio huo unakuta mji unajengeka na watu wake wako 3 bora ya maisha bora hapa Tzn kiufupi wana pesa unlike kule machimboni na walikojaa wachuuzi na machinga eti ndio maendeleo.
Kahama na miji mingine ya kichuuzi dizaini hii inachekesha hapa ndio kuna kundi la akina Makambako,Tunduma,Katoro,Chalinze nk nk
Angalia hata aina ya viwanda vinavyo anzishwa Ni vya aina gan vingine having impact hata ya maendeleo
 
Mnaweza kuta wote mnaobushana hamuishi maeneo hayo japi ni wazawa, tulio kimya ndio tunaishi huko.Elezeni fursa sio kubishana tu bila maarifa,watu wanataka wakatafute maisha hayo maeneo hawahitaji ubishi.Hiyo ni miji miwili tofauti yenye climate tofauti, hata watu wake lazima wawe tofauti.Mwenye mapenzi ya kuchimba madini aende kwenye madini kahama na mwenye tamaa ya kilimo aende njombe,mengine hayana maana ndugu zetu.JF iwe chachu ya kuchochea uchumi wa vijana na sio vinginevyo.This platform must be a place for connections.
uwe unasoma mada mkuu..ikisha kua Njombe V kahama lazima kuwe na ubishani ukitaka mawazo ziko thread nyingi tu nenda huko ha ha ha
 
Una data za viwanda vilivyoko kwenye hayo maeneo yenye watu weusi kupita maelezo?
Na una data za viwanda vilivyoko Kahama?

Masikini mtu mfupi hujui umuhimu wa network kwenye investments.

Good qn, kama familia tunamiliki mgodi Geita na natarajia kupata maduara mapya Nyakabale uchumi wetu ukiimarika zaidi

Dhahabu moja ya grams 300 ni million 43 na points nikiiuza utalinganisha na mamiti yako ya Cyprus hayo?
Sasa jipe H/W kwa mwaka tunapata kiasi gani kisha jinyonge na ufupi wako huo

Nothing in this world is worth than Gold.
ingekua kweli kanda ya ziwa isingekua hohe hahe kiwango hicho
 
kimakazi kahama haiwezi kuifikia Njombe aisee,hata watu NBS wanajua mkuu.
Ni kweli Njombe ina watu wengi kuzidi Kahama ila makazi ya Kahama ni mazuri kuliko Njombe.

Na kwa kuongezea watu wa Kahama ni wazuri kuliko Njombe wanjombe nyie wafupi weusi tii na mamilima yenu
 
Ni kweli Njombe ina watu wengi kuzidi Kahama ila makazi ya Kahama ni mazuri kuliko Njombe.

Na kwa kuongezea watu wa Kahama ni wazuri kuliko Njombe wanjombe nyie wafupi weusi tii na mamilima yenu
mimi sizungumzii kaya nazungumzia ubora wa makazi mkuu.
 
Njombe utailinganisha na mkoa gani wa kanda ya ziwa?
mkuu hata serikali inajua kua mkoa wanjombe unaizidi miko ya kanda ya ziwa labda jiji la mwanza na uwingi wa watu but in terms of per Capita Income Kanda ya ziwa haifikii njombe,nenda kaone Njombe vijiji huko watu walivyoshusha makazi bora.
 
Kuna watu wanaandika hata vitu wasivyo vijua namashaka hata mipaka ya halmashauri yao hawaijui vizur mfano mtu anasema njombe Ina viwanda vingi vpi maana Kama unafananisha na kahama chukua halimashauri ya mji wa njombe sio mkoa maana kama kibena tea ipo wangingombe na lupembe ipo njombe DC ko ongeleeni vya luponde hko tanwat nacha nundu Cha maji na parachichi vinakuwa vimeisha ambapo inakuja kuona huo uwekezaji ni tofauti na miji ya kibiashara mfano makambako saiz kila Kona wanaanzisha viwanda vya sembe vpo zaidi ya kumi mafuta ya alizeti mpunga nguzo za Umeme kiwanda Cha chokaa na gypsum misumari kiwanda Cha bati kiwanda Cha kubangua kahawa nk vinavyojengwa Cha madawa juisi vifungashio na mbolea ko ndo ujue tunavosema njombe mtabaki kuwa wategemezi tu makambako huu ndo mji wenu wa biashara na wawekezaji wanaingia kila siku
Koma,fullstop hakuna.F ya kiswahili ulipata were o level
 
Koma,fullstop hakuna.F ya kiswahili ulipata were o level
Uniwezekana cjui ulie faulu upo kitengo gan me nacho angalia umeelewa Kama umepata ujumbe Ni sawa ila na Masters cjui we unae hangaika na kukosoa typing error alafu angalia na wewe ulicho kiandika usitupotezee muda
 
FB_IMG_16050808066354062.jpg
 
Back
Top Bottom