Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Drone footage ya Kahama kwa sasa hakuna, lakini hata ukitumia Google Earth details za majengo na miundo mbinu inaonekana Kahama is far away from Nyombe Mji [emoji13][emoji13][emoji13]
achaneni na maneno matupu lete video tuone maneno tumeshamaliza tuje kwenye uhalisia sasa.
 
Hi maada inachanganywa inayolinganishwa Ni miji so mkoa wala wilaya mfano wilaya ya njombe Ina halmashauri tatu njombe tc makambako tc na njombedc zote mkuu wa wilaya Ni mmoja ko ukiananza ku compare hapa sasa inatakiwa uchukue wilaya ya njombe na wilaya ya kahama kimkoa inatakiwa iwe shinyanga na mkoa wa njombe hapo sasa patakuwa patamu ndo tutaenda kwenye takwimu ya kitaifa hapo njombe Ni ya tatu kwa utajiri Tanzania ikianza dsm yapili Kilimanjaro 3 njombe 4 moro 5 songwe
Nachojua kanda ya ziwa kuna matajiri wengi zaidi kuliko nyanda za juu kusini.Ng'ana na dhahabu ni habari nyingine inatoa utajiri unaoeleweka.Mtu kugonga milioni 500 kitu cha kawaida.Njombe sijui ulime heka ngapi uje upige milioni 500.Njombe,mbeya ni miji ya watu wenye maisha ya hali ya chini wenye uhakika na ugali wa mchana na viazi mviringo. Mbeya,Nombe kila MTU analima, hivyo viwanda vya unga havilipi.Shy watu walizoea kununua unga tangu miaka ya 90+ hivi ilikuza viwanda vidogo vya unga.
 
Ni kweli Njombe ina watu wengi kuzidi Kahama ila makazi ya Kahama ni mazuri kuliko Njombe.

Na kwa kuongezea watu wa Kahama ni wazuri kuliko Njombe wanjombe nyie wafupi weusi tii na mamilima yenu
Labda kama unaongea kinyume chake utaeleweka lakini huwezi linganisha watu mna vichwa vya kona kona kama burnt bricks na irregular shape afu ukajiita mzuri,kiukweli kimuonekano wasukuma nyie wengi ni wabaya na ushamba na umaskini ndio makao makuu huko
 
Njombe Ni mji wa wakulima hakuna biashara pale ukifika msimu wa kilimo wote shambani ss analinganisha na miji ya biashara wap na wap hata like soko walilo Jenga meza ndo nyingi zipo 500 na frem 161 ko unaona jinsi gan hata serikali inawafahamu kuwa Ni wakulima t
usiwe mjinga mkuu,get to know the so called kilimo biashara..Biashara sio kuzurura na mitumba na uchuuzi mwingine wa huko kahama ndio maana mnaishia kuongoza kwa umaskini tu
 
compare na njombe

Achana nao wajinga hao,picha zote since day 1 ya hii thread zimeipa Njombe credit over Kahama lakini hawaelewi,ukiwaambia lete picha wanaishia kuleta blaa blaa za sijui madini mara biashara na upuuzi kama huo.Nimewaambia toka mwanzo kwamba Kahama ni mji wa kichuuzi na gulio kubwa huko kanda ya ziwa ndio maana maskini wamelundikana na hakuna chochote cha maana when it comes to quality of life,wachuuzi wa mitumba na makinikia watapta wapi pesa ya kujengea kwa mfano vitu vikali kama hivi vya Njombe?
 
usiwe mjinga mkuu,get to know the so called kilimo biashara..Biashara sio kuzurura na mitumba na uchuuzi mwingine wa huko kahama ndio maana mnaishia kuongoza kwa umaskini tu
Mjini ni mahali wanapoishikwa kufanya kazi nyingine mbali na kilimo.

Kijijini ni wanakoishi predominantly kwa kutegemea kilimo.

Ukikuta sehemu formal jobs ni Huduma kama elimu, afya na utawala wengine wote shambani.. hapo bado ni bush

Ukikuta sehemu ajira katika sekta kama huduma, viwanda na biashara ndiyo inaendesha sehemu kubwa ya uchumi wa mji .. hapo ndipo panaitwa mjini.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndio ushangae huko mnakoita mjini mnagawana umaskini kutoka huyu kwenda mwingine na huku mnakoita shambani ndio tunazalisha mamilionea kila msimu,,huku kuna miti na mazao yake,vizai ulaya,parachichi,mahindi ,chai,pareto,ngano na mazao kibao ya matunda.Hapa bongo ukitoa pashions za nje ya nchi zingine zinatoka Njombe,the same to matunda damu nk nk..Sasa huwezi linganisha na nyie manamba wa migodini na kufanya uchuuzi wa mitumba eti ndio formal buznec,hauko xriac mkuu
 
This is waaaay bigger than Njox
kahama.JPG

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeshafika Geita wewe?
Umeshafika Bariadi wewe?
Umeshafika Chato wewe?
Umeshafika Kahama wewe?
Umeshafika Musoma wewe?
Umeshafika Bukoba wewe?
Umeshafika Karagwe wewe?

Yani huko kote nilikokutaja ni balaa Njombe nimefika yani siwezi kuishi hata bure kwenye mamilima yasiyo na formula, watu wafupi na weusi tii muda wote makoti na makofia tu.
Huku sio sehemu ya kuishi wavivu,huko kote umekutaja kumejaa maskini wa mali na akili like you
 
Njombe ya wapi ikaizidi Shinysnga,Tabora? Njombe ya Leo haiifikii Shinysnga ya mwaka 2000+.We endelea kufananisha Njombe na kahama, umeanza kuvuka mipaka dogo.
Sasa nyie watu wa kanda ya hohehahe Kahama si ndio mnaita senta yenu au? Sasa kama tunaizidi senta yenu wapi tena patabaki salama?,Kwamba shinyanga au? Shy naipa heko kwa viwanda tu nathing else
 
Sasa ndio ushangae huko mnakoita mjini mnagawana umaskini kutoka huyu kwenda mwingine na huku mnakoita shambani ndio tunazalisha mamilionea kila msimu,,huku kuna miti na mazao yake,vizai ulaya,parachichi,mahindi ,chai,pareto,ngano na mazao kibao ya matunda.Hapa bongo ukitoa pashions za nje ya nchi zingine zinatoka Njombe,the same to matunda damu nk nk..Sasa huwezi linganisha na nyie manamba wa migodini na kufanya uchuuzi wa mitumba eti ndio formal buznec,hauko xriac mkuu
Ndio maana Nikasema ni kazi kueleweshana. Kunawatu leo wako kati ya 28-30 wamezaliwa Kahama na wameishi Kahama maisha yao yote hawaijui Dhahabu inafananaje.. wamesoma na wameajiriwa kwenye sector nyinginekabisa zisizokuwa na uhusiano na madini.

Nikaeleza hapo awali madini yapo ila ndio hayo yanayowajengea njombe barabara maana kilimo hasa cha maparachichina mbao hakiwezi kamwe kuwa na mchango sawa na Dhahabu kwenye pato la Taifa.. lakini hiyo ni mali yetu sote watanzania.

Ingekuwa wanachukua yote halmashauri ya mji wa Kahama ..pangekuwa ulaya sasa..

Kinachofanya Kahama kuwa kubwa zaidi ya Njombe ni kuwa uwekezaji mkubwa kwenye madini umesababisha watu wengi kukimbilia hapo.. sasa umekuwa ndio meeting point ya wafanyabishara wa the great lakes.. na unaweza kuona namna gani influence ya wageni inavyoendelea kuushape mji.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom