Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa baba umeandika lakini mji gani wewe umeona haukui? mbona watu wanatoka maeneo kibao kuja kuanzisha kilimo biashara huku Njombe? na hiyo imechangia ukuaji wa mji maana Njombe ya zamani ni tofauti saaana na ya sasaMimi si Mbena wala Msukuma ila niko objective..
Kahama kwa Data ni Mji wa nane kwa wingi wa watu nchini.. na lazima uko kati ya miji 10 mikubwa nchini.
Kwenye drone footage naona mazingira... Ukitumia kigezo chakuwa na miti na maji yanatitirika basi Dubai na Dar haziwezi kuifikia Njombe..
Ukitaka kujua eneo ni potential.. angalia wangapi wanaamka bila kuwa na ndugu wanaamua kwenda kuanza maisha eneo hilo kila mwaka.. Kahama nchini ni kati ya miji mitano inayovutia vijana kuzamia..
Watoto wanatoka mikoa ya mbali wanaunga kwenye malori hata wasiokuwa na fedha wananing'inia chini huko ili wafike Kahama... Hii nimeoniona. Wanachokimbilia ni opportunities...
Wengi hapa wanaperception isiyo sawa kwa mji huu wa Kahama.. mji huu ulianza na madini.. ukakua na Mpunga na sasa unajiendesha na Biashara na Huduma.. hiyo ni natural progression ya mji wowote kukua..
River Thames lilikuwa bonde la kilimo.. ila leo london hakuna anayelima watu wameshatoka huko.. na wamejikita kwenye sehemu ya pili.. Biashara na huduma na hapo ndio mahala wanaanza kuwa true Urban Center.
Ukisikia Buzwagi na Bulyanhulu kila mtu anadhani Kahama inajiendesha na madini .. wachimba madini ni sehemu ndogo tu ya Uchumi mkubwa wa Kahama.. Kahama primarily today.. ukiulizwa ni Mji gani.. unasema mji wa kibiashara..
Na biashara ndiyo inaupa mji huu uhai. Hakuna mashamba na mbuga nyingi za mpunga hazizalishi tena kama zamani.. hivyo watu wamegeukia sekta nyingine.. kama manufacturing na Huduma.
Kahama wengi wamehamia kwenye Rice Processing and Exportation... Maize Milling and Exportation, Viwanda vya vinywaji, Mafuta, Mabati, Nguo, Samani za Ndani, Gold Ellussion (Kusafisha Dhahabu), Transportation, Ujenzi na Huduma kama Elimu na Hotels.
.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na msingi wa mji ni watu!Sawa baba umeandika lakini mji gani wewe umeona haukui? mbona watu wanatoka maeneo kibao kuja kuanzisha kilimo biashara huku Njombe? na hiyo imechangia ukuaji wa mji maana Njombe ya zamani ni tofauti saaana na ya sasa
Huko kanda ya ziwa kuna lundo kubwa sana la watu kwa hiyo ni automatic uhamiaji mijini utakuwa mkubwa kwenye miji ya huko kumbuka sehemu kubwa ya mikoa ya kanda ya ziwa huwa inabahatisha kwenye kilimo mvua sio za uhakika ko kitu pekee watu wanaweza fanya ni kukimbilia mijini hii ni tofauti na huku Nyanda za Juu kusini yaani ukiona mvua ujue ni uhakika utavua
Kila mji una sekta zake kuu za kuendesha uchumi
Hasra mliyonayo ni kujihusisha na sekta ambazo zinashikwa na makabaila yaani matajiri wachache na serikali huku wengi wakisalia maskini wa kutupwa unlike sekta ya kilimo.Ndio maana Nikasema ni kazi kueleweshana. Kunawatu leo wako kati ya 28-30 wamezaliwa Kahama na wameishi Kahama maisha yao yote hawaijui Dhahabu inafananaje.. wamesoma na wameajiriwa kwenye sector nyinginekabisa zisizokuwa na uhusiano na madini.
Nikaeleza hapo awali madini yapo ila ndio hayo yanayowajengea njombe barabara maana kilimo hasa cha maparachichina mbao hakiwezi kamwe kuwa na mchango sawa na Dhahabu kwenye pato la Taifa.. lakini hiyo ni mali yetu sote watanzania.
Ingekuwa wanachukua yote halmashauri ya mji wa Kahama ..pangekuwa ulaya sasa..
Kinachofanya Kahama kuwa kubwa zaidi ya Njombe ni kuwa uwekezaji mkubwa kwenye madini umesababisha watu wengi kukimbilia hapo.. sasa umekuwa ndio meeting point ya wafanyabishara wa the great lakes.. na unaweza kuona namna gani influence ya wageni inavyoendelea kuushape mji.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hawana Ofisi wao ..Ila kuna Be Forward Agent pale!Msaada Please,Hivi Beforward wana branch Kahama?
Naona kwenye web yao wapo Mwanza pekee.
Urgent.
Yupo Maeneo gani Mkuu?Hawana Ofisi wao ..Ila kuna Be Forward Agent pale!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wakati wa Almasi ya Mwadui.Hasra mliyonayo ni kujihusisha na sekta ambazo zinashikwa na makabaila yaani matajiri wachache na serikali huku wengi wakisalia maskini wa kutupwa unlike sekta ya kilimo.
Haitakaa itokee kila mtu kujihusisha na sekta kuu ya uchumi wa eneo husika,sekta hizo hupelekea sekta zingine kuanzishwa lakini ukweli utabakia kwamba sekta kuu ambayo ni driving force ya uchumi wa Kahama na Geita ni dhahabu kama ambavyo ni kilimo kwa Njombe.
Seems uko mbali kidogo na updates za kilimo biashara ,baada ya utalii,na madini sekta ya horticulture ndio namba 3 kwa kuingiza pesa nyingi za kigeni,utofauti wa horticulture na hizo sekta za awali ni kwamba huko kuna serikal na mabwanyenye na huku kwenye horticulture ni individuals au wakulima wenyewe sasa hapo ndipo gap la maendeleo linapokuja.
Tunaweza ku agree to disagree lakini ni fedheha sana kuona maelfu ya watu wanaishi kimaskini saana kwenye miji ya Geita na Kahama licha ya kuambiwa kwamba wanaongoza kwa mapato sijui kutoa dhahabu.Hameni hizo sekta mtakufa maskini
African Lounge kama sikoseiYupo Maeneo gani Mkuu?
Kwa hiyo njombe ndio kuna utajiri?Huku sio sehemu ya kuishi wavivu,huko kote umekutaja kumejaa maskini wa mali na akili like you
Sisi sio washamba wewe we own kitu inaitwa jiji kabla hujazaliwa!Labda kama unaongea kinyume chake utaeleweka lakini huwezi linganisha watu mna vichwa vya kona kona kama burnt bricks na irregular shape afu ukajiita mzuri,kiukweli kimuonekano wasukuma nyie wengi ni wabaya na ushamba na umaskini ndio makao makuu huko
Yaani toka tumeanza uzi huu hii ndio picha labda ya pili ya maana kutoka Kahama
Yaani nyie hatuwaachi hivi hivi ni kuwasiginia kunguni mpaka mkimbie, sasa hii miaka mitano ijayo Kahama ikipita vizuri, majiji mapya mawili yanayoweza kuongezwa ni Kahama na Morogoro, (Moshi ni siasa tu). Ni kukumbushe tu KAHAMA sio makao makuu ya Mkoa ni wilaya tu tofauti hata na hiyo miji mingine iliyoingia kwenye top 10 ya miji mikubwa Tanzania. Ingetokea tu Makao Makuu ya Mkoa wa Shinyanga yangekuwa Kahama tokea mwanzo si ajabu Kanda ya ziwa wangekuwa na Majiji makubwa mawili yaani Mwanza na Kahama. Ni rahisi KAHAMA kuwa jiji kabla ya NJOMBE pamoja na huo umasikini uliohaminishwa.Hasra mliyonayo ni kujihusisha na sekta ambazo zinashikwa na makabaila yaani matajiri wachache na serikali huku wengi wakisalia maskini wa kutupwa unlike sekta ya kilimo.
Haitakaa itokee kila mtu kujihusisha na sekta kuu ya uchumi wa eneo husika,sekta hizo hupelekea sekta zingine kuanzishwa lakini ukweli utabakia kwamba sekta kuu ambayo ni driving force ya uchumi wa Kahama na Geita ni dhahabu kama ambavyo ni kilimo kwa Njombe.
Seems uko mbali kidogo na updates za kilimo biashara ,baada ya utalii,na madini sekta ya horticulture ndio namba 3 kwa kuingiza pesa nyingi za kigeni,utofauti wa horticulture na hizo sekta za awali ni kwamba huko kuna serikal na mabwanyenye na huku kwenye horticulture ni individuals au wakulima wenyewe sasa hapo ndipo gap la maendeleo linapokuja.
Tunaweza ku agree to disagree lakini ni fedheha sana kuona maelfu ya watu wanaishi kimaskini saana kwenye miji ya Geita na Kahama licha ya kuambiwa kwamba wanaongoza kwa mapato sijui kutoa dhahabu.Hameni hizo sekta mtakufa maskini
Hapo nakupinga aisee Hali ya hewa ya Kagera na njombe sio Sawa hata kidogo.Hali ya hewa Kagera na Njombe ni sawa tu ( Mbao, Chai, Parachichi, Kahawa, viazi chips, maharagwe, nanasi, ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa) sema Kagera wamewazidi ndizi na uvuvi wa Samaki. Ni vizuri hii league tuitoe Kahama iwe Njombe na Kagera tu. Kwa sababu hata wilaya dume ya Kagera yaani Bukoba haiwezi simama na Kahama.
View attachment 1623630
View attachment 1623635
Yaani Njombe 2012 Maize milling mnazo tatu tu na mnajisifu ni viwanda vikubwa? Kwa waliofika Kahama tumwambie au tumuache tu huyu mtu mweusi? Hizo maize milling zao tunaziba na cotton Ginery nne tu Fresho, Kahama Cotton Company ltd, Kahama Oil Mills na Nida Textile. Hizo tea processing zao saba tunamtupa Kagongwa kwenye Paddy milling achilia mbali Malunga Kahama mjini. Bado kuna kiwanda cha bati, Kiwanda kipya cha vinywaji estimated investiment ya (10million USD) bado hujagusa mining industry.
View attachment 1623650
Sorry ulishawahi fika kagera Bukoba huko vijijini.mkuu hata serikali inajua kua mkoa wanjombe unaizidi miko ya kanda ya ziwa labda jiji la mwanza na uwingi wa watu but in terms of per Capita Income Kanda ya ziwa haifikii njombe,nenda kaone Njombe vijiji huko watu walivyoshusha makazi bora.
Kagera sijafika tu, nimeishi miaka miwili mtaa wa Kibeta - Bukoba mjini, nimetembelea wilaya zote.Sorry ulishawahi fika kagera Bukoba huko vijijini.
Kagera ni kanda ya ziwa pia..
Mfano wa kijiji huko bukoba vijijini.
Njombe mnaizidi kagera kwa per capital kwa sababu mna population ndogo Sana. Wilaya ya muleba na misenyi Peke yake zinawazidi population.
Njombe kuna watu laki Tisa. Huku kagera ina watu 3 million mkoa ukiwa wa tatu nchini kwa idadi ya watu na density. Ndo maana mnaonekana mko juu
Lakin kiuhalisia huwezi linganisha maisha ya MTU wa bukoba vijijini na huko kusiniView attachment 1625315View attachment 1625316
Aisee unaivunjia Bukoba heshima yake ya kipekee.Hali ya hewa Kagera na Njombe ni sawa tu ( Mbao, Chai, Parachichi, Kahawa, viazi chips, maharagwe, nanasi, ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa) sema Kagera wamewazidi ndizi na uvuvi wa Samaki. Ni vizuri hii league tuitoe Kahama iwe Njombe na Kagera tu. Kwa sababu hata wilaya dume ya Kagera yaani Bukoba haiwezi simama na Kahama.
View attachment 1623630
View attachment 1623635
Yaani Njombe 2012 Maize milling mnazo tatu tu na mnajisifu ni viwanda vikubwa? Kwa waliofika Kahama tumwambie au tumuache tu huyu mtu mweusi? Hizo maize milling zao tunaziba na cotton Ginery nne tu Fresho, Kahama Cotton Company ltd, Kahama Oil Mills na Nida Textile. Hizo tea processing zao saba tunamtupa Kagongwa kwenye Paddy milling achilia mbali Malunga Kahama mjini. Bado kuna kiwanda cha bati, Kiwanda kipya cha vinywaji estimated investiment ya (10million USD) bado hujagusa mining industry.
View attachment 1623650
Unawachanganya wa Njombe ukiwaambia huu mji wa Bukoba hauifikii Kahama 🤣🤣🤣Aisee unaivunjia Bukoba heshima yake ya kipekee.
Mji ule Una hadhi yake ya kipekee.
Nakubali kahama inaizidi bukoba kwa idadi ya watu na mzunguko wa kibiashara lakini mambo mengi kama miundombinu,majengo( maghorofa) maisha ya MTU mmoja mmoja ,na hata mandhari.
Hebu huyo MTU wa njombe atazame miji ya kanda ya ziwa .hii ni bukobaView attachment 1625354View attachment 1625355View attachment 1625356View attachment 1625358View attachment 1625359View attachment 1625360View attachment 1625361View attachment 1625363View attachment 1625364View attachment 1625365View attachment 1625366
Itabaki kuwa juu kuliko bukoba vijijini kimaisha?[emoji23]Haya tunayoongea yangekua kweli TZ ingekua mbali sana aisee.Nikweli madini yanafedha lakini bahati mbaya hayawagusi wakazi halisi wengi ni wachimbaji wadogo wasio na vifaa na shimo moja linawatu kumi hata wakipata fedha huishia kwa watu wachache tu.Ukiongelea standard ya maisha Njombe itabaki kua juu.Hoja ya baridi ni hoja ya kipuuzi sana.Kila mahali kumeumbwa na hali ya hewa yake na MUNGU akaweka upendeleo maalumu ndio maana ukifika unakaribishwa na tea estate kila kona,tree plantation,Now parachichi,suala wananchi wa kawaida kua milioni milioni ni kawaida sana njombe.
Mkuu unayumba sana,hapa hatushindanishi populationbali maendeleo,kuzaa sana kama panya ndio kumewafanya mnaongoza kwa umaskini.Yaani nyie hatuwaachi hivi hivi ni kuwasiginia kunguni mpaka mkimbie, sasa hii miaka mitano ijayo Kahama ikipita vizuri, majiji mapya mawili yanayoweza kuongezwa ni Kahama na Morogoro, (Moshi ni siasa tu). Ni kukumbushe tu KAHAMA sio makao makuu ya Mkoa ni wilaya tu tofauti hata na hiyo miji mingine iliyoingia kwenye top 10 ya miji mikubwa Tanzania. Ingetokea tu Makao Makuu ya Mkoa wa Shinyanga yangekuwa Kahama tokea mwanzo si ajabu Kanda ya ziwa wangekuwa na Majiji makubwa mawili yaani Mwanza na Kahama. Ni rahisi KAHAMA kuwa jiji kabla ya NJOMBE pamoja na huo umasikini uliohaminishwa.
Yaani Njombe inachoizidi TABORA ni maparachichi tu 😛😛😛
View attachment 1625146
![]()
Biggest Cities In Tanzania
Dar es Salaam's population has grown more than sixfold since 1978, and is home to one of Africa's most important stock exchanges.www.worldatlas.com