Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Aisee unaivunjia Bukoba heshima yake ya kipekee.
Mji ule Una hadhi yake ya kipekee.

Nakubali kahama inaizidi bukoba kwa idadi ya watu na mzunguko wa kibiashara lakini mambo mengi kama miundombinu,majengo( maghorofa) maisha ya MTU mmoja mmoja ,na hata mandhari.

Hebu huyo MTU wa njombe atazame miji ya kanda ya ziwa .hii ni bukobaView attachment 1625354View attachment 1625355View attachment 1625356View attachment 1625358View attachment 1625359View attachment 1625360View attachment 1625361View attachment 1625363View attachment 1625364View attachment 1625365View attachment 1625366
Mada ni Njombe vs Kahama ,Bukoba ya nini hapa? kiufupi ukiangalia picha hizi zinaonekana zimeendelea kuliko Kahama lakini utasikia mtu anakwambia Kahama imeendelea kuliko bukoba ukimwambia leta picha anaanza blaa blaa za sijui soko sijui watu wengi mara mabasi yaani upuuzi tu.Miji dizaini ya Bukoba ndio nayopenda mimi kuishi inamaana na Njombe kwa miaka 5 ijayo itakuwa hivi kwa vile mandhari na ustaarabu tunafanana.
Hiki ndicho kinaifanya Njombe iizidi Kahama when it comes to quality of life vs guliola kahama.Jameni eeh kuwa na machinga wengi wauza mitumba sio maendeleo acheni ushamba nyie wachuuzi wa Kahama
 
Itabaki kuwa juu kuliko bukoba vijijini kimaisha?[emoji23]

Mzee funga safari nenda kanda ya ziwa hasa mkoa wa kagera uone jinsi elimu ilivyofanya vijiji vya bukoba viwe.

Bukoba ndo sehemu yenye mvua nyingi kuliko popote tz . Hio mandhari yake huwezi iona popote.

Hayo uliyoyataja yote yanalimwa kagera na nikuongezee kahawa, vanilla,alizeti,ndizi,miwa mpaka kuna kagera sugar,

Bado kuna biashara za mpakani, uvuvi,utalii ( burigi,ibanda, rumanyika national parks) elimu nk
Kyoma utaniua Munjombe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
kama Njombe inaweza kua inashindana na mikoa au miji iliyopewa hadhi ya kua miji au manspaa zamani huku yenyewe ikipewa hadhi hiyo juzi tu basi kuna maendeleo ya kasi sana aisee.
 
kama Njombe inaweza kua inashindana na mikoa au miji iliyopewa hadhi ya kua miji au manspaa zamani huku yenyewe ikipewa hadhi hiyo juzi tu basi kuna maendeleo ya kasi sana aisee.
Kumbuka pia hiyo Miji iliyopewa hadhi ya manispaa tokea zamani haijaifikia Kahama kwa potentiality ndio maana tukaisukumiza na Njombe ipambane nayo ukitoa Mwanza Jiji tu.
 
one-696x150.jpg
 
1605982644299.png

Kwema Modern Primary School kutoka Kahama inaendelea kukiwasha
1605982733553.png
 
Attachments

  • 1605982587472.png
    1605982587472.png
    100 KB · Views: 2
sasa miziki ya nini?
Media zinajitangaza sehemu zinapoweza fanya biashara, Clouds fm na fiesta kila mwaka Kahama ipo kwenye sherehe, Clouds fm ni bora wasipeleke fiesta Shy town ila sio Kahama
 
Aisee unaivunjia Bukoba heshima yake ya kipekee.
Mji ule Una hadhi yake ya kipekee.

Nakubali kahama inaizidi bukoba kwa idadi ya watu na mzunguko wa kibiashara lakini mambo mengi kama miundombinu,majengo( maghorofa) maisha ya MTU mmoja mmoja ,na hata mandhari.

Hebu huyo MTU wa njombe atazame miji ya kanda ya ziwa .hii ni bukobaView attachment 1625354View attachment 1625355View attachment 1625356View attachment 1625358View attachment 1625359View attachment 1625360View attachment 1625361View attachment 1625363View attachment 1625364View attachment 1625365View attachment 1625366
hiyo picha ya kwanza ni bukoba? nifahamishe ni maeneo gani ?maana maisha yanaenda kasi ajabu
 
Sorry ulishawahi fika kagera Bukoba huko vijijini.

Kagera ni kanda ya ziwa pia..

Mfano wa kijiji huko bukoba vijijini.

Njombe mnaizidi kagera kwa per capital kwa sababu mna population ndogo Sana. Wilaya ya muleba na misenyi Peke yake zinawazidi population.

Njombe kuna watu laki Tisa. Huku kagera ina watu 3 million mkoa ukiwa wa tatu nchini kwa idadi ya watu na density. Ndo maana mnaonekana mko juu

Lakin kiuhalisia huwezi linganisha maisha ya MTU wa bukoba vijijini na huko kusiniView attachment 1625315View attachment 1625316
ukweli ni kua Njombe imekua mkoa juzi na kagera ilikuwapo,kitendo cha kuishindanisha Njombe na Kagera tafsiri yake ni kua Njombe ina maendeleo ya kasi zaidi kuliko Kagera.Maana kama kijana wa miaka 23 akawa anawiana kipato na mtu wa 35+ maana yake huyu wa 23 anakua kiuchumi kwa kasi isiyo ya kawaida
 
Njombe baada ya miaka 20 itakua level nyingine kabisa.Sasa ni miaka 8 tu toka iwe mkoa na imeshapiga maendeleo ya ajabu baada ya twenty years itakua namba 1 kwa Per capita income
 
Logic yako sasa...

Mmoja anatengeneza milioni 100 na familia yake ina watu kumi. Wanakoishi chakula, Maji na matibabu ni milioni 90 kwa watu kumi. Anatunza milioni 10 tu kwa mwaka..

Na kuna wewe mwenye kipato cha milioni 25 kwa mwaka na familia ya watoto watatu.. unakokaa ardhi ni bure, elimu bure, afya bure, chakula, maji unatumia milioni 15 kwa mwaka. Kisa na wewe unatunza milioni 10 kwa mwaka Mnalinga na na mwenzako!?
 
Njombe baada ya miaka 20 itakua level nyingine kabisa.Sasa ni miaka 8 tu toka iwe mkoa na imeshapiga maendeleo ya ajabu baada ya twenty years itakua namba 1 kwa Per capita income
🙂 mzee wa njombe.. una maneno sana ujue
 
Logic yako sasa...

Mmoja anatengeneza milioni 100 na familia yake ina watu kumi. Wanakoishi chakula, Maji na matibabu ni milioni 90 kwa watu kumi. Anatunza milioni 10 tu kwa mwaka..

Na kuna wewe mwenye kipato cha milioni 25 kwa mwaka na familia ya watoto watatu.. unakokaa ardhi ni bure, elimu bure, afya bure, chakula, maji unatumia milioni 15 kwa mwaka. Kisa na wewe unatunza milioni 10 kwa mwaka Mnalinga na na mwenzako

🙂 mzee wa njombe.. una maneno sana ujue
sio maneno ni ukweli mkuu.Kama kwa miaka nane tu tumekua watatu kwa per Capita Income baada 20yrs tutakua namba moja 1 Kwa sababu Njombe ina diversity kubwa ya shughuli za kiuchumi na haitegemei sector moja kama kahama au sehemu zinazofanana.Fikiria mkoa wa kilimanjaro isingekua utalii ungekuwaje baada ya kuyumba kwa Kahawa.Kagera nayo angalau inadicersity kahawa,ndizi,Miwa kidogo,chai kidogo sio mbaya.Lakini Kahama ikianguka sector ya madini kama ilivyotokea kwenye baaadha ya miji ya Zambia hali inakua ngumu labda kuwepo akili ya kutransform.
 
Sema Watu wengi mnapicha tofauti sana ya Kahama! Kinachoikuza Kahama si Madini.. japo yameipa umaarufu mkubwa.

Kinachoikuza Kahama ni Kilimo tena.. Mchele. 🙂 Na Biashara. Kama imekuwa soko tangu miaka hiyoooo.. Watu wanafuata mitumba na wakati wa magendo kwa sababu ya kuwa strategically located.

Tangu mtikisiko wa kiuchumi uanze ujumlishe na Corona juu Kahama imeendelea kukua.. Na sasa inajipanga Kuwa Manispaa. Wale washavuka mji wa kukua ama kufa kwa kutegemea mitikisiko ya kiuchumi..

Kingine tunachokosea ni namna tunayoipima miji hii.. per capita ya mkoa haimaanishi fedha hiyo inatumika Njombe.. ila inapatikana kupitia Njombe. Cha kupima ni matumizi.. kiasi gani kinatumika ndani ya njombe!? Kinahama mikono ndani ya njombe!?

Kwa mzunguko mkubwa wa fedha ni dalili sehemu tajwa ni kubwa.. sasa kwa ukubwa siwezi kulinganisha Njombe na Kahama.. Kahama is almost double the size ya Njombe.. kwa mzunguko wa kifedha sidhani kama Tunapaswa kuliangalia.. kwa kanda ya ziwa Kahama iko nyuma ya Kwanza tuu.. kwa kupitia njia ya kati mpaka dsm inazidiwa na Dodoma, Morogoro na DSM pekee.. 🙂

Kahama per capita lazima iwe ndogo unapokuwa umezungukwa na wilaya za Ushetu, Msalala, Kishapu, Shinyanga Vijijini zenye mapato ghafi kidooogo sana.. huku mzalishaji mkubwa akiwa Kahama TC na Shinyanga MC pekee.
 
Back
Top Bottom