ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #1,721
Mada ni Njombe vs Kahama ,Bukoba ya nini hapa? kiufupi ukiangalia picha hizi zinaonekana zimeendelea kuliko Kahama lakini utasikia mtu anakwambia Kahama imeendelea kuliko bukoba ukimwambia leta picha anaanza blaa blaa za sijui soko sijui watu wengi mara mabasi yaani upuuzi tu.Miji dizaini ya Bukoba ndio nayopenda mimi kuishi inamaana na Njombe kwa miaka 5 ijayo itakuwa hivi kwa vile mandhari na ustaarabu tunafanana.Aisee unaivunjia Bukoba heshima yake ya kipekee.
Mji ule Una hadhi yake ya kipekee.
Nakubali kahama inaizidi bukoba kwa idadi ya watu na mzunguko wa kibiashara lakini mambo mengi kama miundombinu,majengo( maghorofa) maisha ya MTU mmoja mmoja ,na hata mandhari.
Hebu huyo MTU wa njombe atazame miji ya kanda ya ziwa .hii ni bukobaView attachment 1625354View attachment 1625355View attachment 1625356View attachment 1625358View attachment 1625359View attachment 1625360View attachment 1625361View attachment 1625363View attachment 1625364View attachment 1625365View attachment 1625366
Hiki ndicho kinaifanya Njombe iizidi Kahama when it comes to quality of life vs guliola kahama.Jameni eeh kuwa na machinga wengi wauza mitumba sio maendeleo acheni ushamba nyie wachuuzi wa Kahama
