Njombe naijua kupita sala ya bab yetu, nimeishi matalawe, mitaa yote naijua kuanzia kibena mpaka mji mwema hunidanganyi, mkuu, acha kujidanganya njombe hakuna mzunguko wa pesa, ni mji wa wakulima, zaidi ya 80% wanategemea kilimo. huwezi fananisha na mji wa biashara kama kahama.
Njombe Ni mji wa wakulima hakuna biashara pale ukifika msimu wa kilimo wote shambani ss analinganisha na miji ya biashara wap na wap hata like soko walilo Jenga meza ndo nyingi zipo 500 na frem 161 ko unaona jinsi gan hata serikali inawafahamu kuwa Ni wakulima tNjombe naijua kupita sala ya bab yetu, nimeishi matalawe, mitaa yote naijua kuanzia kibena mpaka mji mwema hunidanganyi, mkuu, acha kujidanganya njombe hakuna mzunguko wa pesa, ni mji wa wakulima, zaidi ya 80% wanategemea kilimo. huwezi fananisha na mji wa biashara kama kahama.