Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

MAKAMBAKO TC WAWEKEZAJI WA VIWANDA WANAZIDI KUONGEZEKA👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇♨️♨️♨️Soko la mazao la Kiumba ni Mpango wa Halmashauri sio Wafanyabiashara,ndani ya Masaa 72 wafanyabiashara wote wa mazao wahamie Kiumba.

Na. Lina Sanga

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako, Kenneth Haule mara baada ya kupokea malalamiko ya wafanyabiashara wa mazao katika soko la Kiumba,kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kukaidi agizo la kuhamia katika soko hilo.

Haule ,amesema kuwa Ujenzi wa soko la mazao la Kiumba ni moja kati ya mipango mingi ya upangaji wa Mji kutokana na Mji kukua kwa kasi,hivyo wananchi wote ndani ya Makambako wanawajibu wa kukubali na kushirikiana na Serikali katika kuboresha Mji kwa maslahi ya Wakazi wa Makambako.

Amesema kuwa, Makambako inapokea wawekezaji mbalimbali wenye nia ya kufanya uwekezaji Mkubwa hususani Viwanda,hivyo zoezi la kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli mbalimbali ni muhimu Kutokana na Mji kukua kwa kasi hivyo wananchi wawe tayari kupokea mabadiliko kwa mtazamo chanya badala ya kuibua vikwazo visivyo na tija.

Ametoa rai kwa wafanyabiashara wa mazao ambao wamekaidi kuhamia katika soko la Kiumba na kuendelea kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi,kuhakikisha wanahamia na kufanya biashara zao katika Soko husika ndani ya masaa 72,kwani katika Mji wa Makambako soko la mazao ni moja tu ambalo ni soko la mazao la kiumba.

Aidha,amewataka wafanyabiashara wa mazao ambao tayari wamehamia katika soko hilo kuwa na subira,hali ya soko itatengamaa na biashara zitafanyika na watapata faida endapo wafanyabiashara wote watafanyia biashara eneo moja,Serikali inaendelea kuboresha miundombinu kuhakikisha biashara zinafanyika.

Naye, Mkuu wa polisi wa Wilaya ya Kipolisi Makambako,OCD Omary Diwani amewataka wafanyabiashara wote waliosalia katika maeneo yasiyo rasmi,kufunga biashara zao au kuhamia katika soko husika,badala ya kuwa kikwazo cha kukwamisha jitihada zinazofanya na Serikali, na yeyote anayekaidi kuhama atahamishwa kwa lazima kwani atakuwa tofauti na azma ya Serikali.

Icefm Tanzania
 
Makambako eneo la biashara na viwanda
IMG_20231130_103220_818.jpg
1701623696540.jpg
IMG_20231203_122644_039.jpg
1696737622411.jpg
IMG_20231202_070933_191.jpg
1701094908204~2.jpg
 
Maskini wa Njombe kazi kupigana miti ukimwi utawamaliza, nilikuwa najiuliza kwa nini population ya kusini hasa njombe haiongezeki kumbe ukimwi unawafyeka kama sisimizi
Tafuteni pesa mpunguze uchafu ,nyie sio nguruwe ni binadamu mnaaibisha Nchi.
 
Bora kipindupindu kuliko ukimwi asee 😂😂😂
Una akili timamu? Uliwahi ona wenye ukimwi wanawekwa karantini? Ukimwi unajua kama kipindupindu?

Kipindupindu Kwa wanaojiita Wasomi ni fedheha.Ugonjwa wa Maskini na uchafu.
 
Una akili timamu? Uliwahi ona wenye ukimwi wanawekwa karantini? Ukimwi unajua kama kipindupindu?

Kipindupindu Kwa wanaojiita Wasomi ni fedheha.Ugonjwa wa Maskini na uchafu.
Punguza jazba kijana mtamalizwa na ukimwi, kipindupindu ni kwa muda huu mfupi wa EL nino tu lakini huko ukimwi mnao miaka yote mnaongoza
 
Back
Top Bottom