Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba iko mbali ila ina tatizo la njia za watembea kwa miguu pamoja na mitaro ya maji kwa kuwa bukoba mvua ni muda wote
Ni kweli miji mingi Tz wanajenga Barabara halafu hawajengi mitaro na sidewalks

Hebu tuone hizo km 7 zitakazojengwa Bukoba mjini kati ( watafumua Barabara zote za mjini kati) kama watajenga hizo sidewalks na parking za magari labda wezi waingilie kati wale hela? Na do maana Barabara nyingi Tz Huwa zinajengwa hivyo chini ya kiwango.
Hiyo Barabara ya njia nne wasisahau vituo vya daladala
 
IMG-20240117-WA0071.jpg
 
Sina uhakika kama watafumua za mjini kati, nadhani watajenga mpya nje ya mji
 
Watakuwa wa ajabu Sana...maana Barabara za mjini kati zimechoka sana na hazina sidewalks....wangezitengeneza mji huu ungekuwa Kigali ndogo....
Lakin nilisia mbunge Byabato anasema Barabara zikafumuliwa zote labda kama wamebadilisha maana madiwani akili zao wanazijua wenyew
 
Back
Top Bottom