ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #18,181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila Samia hiyo heshima mungeipata? Au tuache Ili muendelee kupiga kelele?Sio kutukumbuka ila anaipa bukoba heshima yake ambayo tumekuwa tunaipigia kelele siku zote
Unajifariji lakini Bukoba iko vzr ana kimaendeleo hata huyu YouTuber kaona
View: https://youtu.be/D1IcTzo5x0o?si=bvnEID6kBKCBfTGl
Ni kweli miji mingi Tz wanajenga Barabara halafu hawajengi mitaro na sidewalksBukoba iko mbali ila ina tatizo la njia za watembea kwa miguu pamoja na mitaro ya maji kwa kuwa bukoba mvua ni muda wote
Sina uhakika kama watafumua za mjini kati, nadhani watajenga mpya nje ya mjiNi kweli miji mingi Tz wanajenga Barabara halafu hawajengi mitaro na sidewalks
Hebu tuone hizo km 7 zitakazojengwa Bukoba mjini kati ( watafumua Barabara zote za mjini kati) kama watajenga hizo sidewalks na parking za magari labda wezi waingilie kati wale hela? Na do maana Barabara nyingi Tz Huwa zinajengwa hivyo chini ya kiwango.
Hiyo Barabara ya njia nne wasisahau vituo vya daladala
Watakuwa wa ajabu Sana...maana Barabara za mjini kati zimechoka sana na hazina sidewalks....wangezitengeneza mji huu ungekuwa Kigali ndogo....Sina uhakika kama watafumua za mjini kati, nadhani watajenga mpya nje ya mji
Kiwanda Cha Magodoro Mbeya
View: https://www.instagram.com/reel/C2NSoO5N0R0/?igsh=MWlwMWp3d2lwcDBvNw==
Tunaweka viwanda wewe unaweka useless thingsMiembeni Bukoba.....