Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe Ina madini mengi usifikirie kuwa makaa ya mawe na chuma Kuna Shaba titanium ,vanadium nk
 
Njombe na makaa ya mawe mtatuua akianani sasa ingekua ni gold si angechanganyikiwa kabisa.
Mkoa njombe una madini ya kutosha
1711339999667.jpg
 

Kazi zinaendelea kampuni inayo Jenga viwanda kwala pwani tayari imetia timu kwenye mji ulioteuliwa kuwa wa viwanda na biashara mkoa wa njombe ambapo wamechukua ekari 1500 za UMEME wa upepo na shughuli zingine kazi ya fidia inaendelea plan ya mkoa ni kujenga mji mkubwa wa viwanda na biashara kazi zinaendelea wawekezaji wanazidi kuongezeza 👇👇👇👇👇👇👇👇
1719285557791.jpg
SINO-TAN RENEWABLE ENERGY LTD​

Valuation of (700 (PAPS )Properties affected by Makambako Wind Farm Project Project (1500 Acres) at Mashujaa and Majengo street in Makambako Township, Njombe Region for Compensation.
 
JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA NAYO IMEAMUA KUIGAWA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI MARA MBILI HII NI KUTOKANA NA UKUBWA PIA KIJIOGRAFIA ILIVYO KAA AMBAPO WAMEKA NYANDA ZA JUU KUSINI A INAJUMUISHA MIKOA YA NJOMBE ,IRINGA NA RUVUMA KITOVU WAMEWEKA MAKAMBAKO NA NYANDA ZA JUU KUSINI B NI MBEYA ,SONGWE, NA RUKWA KITOVU NI MBEYA JIJIhttps://www.facebook.com/reel/456068800464778?mibextid=JKhxCcgn07XyEHyd
View: https://www.facebook.com/elolamafm/videos/1962240877567492/?app=fbl
View: https://www.facebook.com/reel/456068800464778?mibextid=JKhxCcgn07XyEHyd
 
kwamba Madini yataleta Neema Njombe,naona tungeanza kwanza na mikoa yenye Madini kama Mara,Geita Shinyanga,Ina Neema au shida zipo pale pale?
 
.Kijaji

Dkt.Kijaji amesema miradi hiyo ya kielelezo inaanza utekelezaji,na mradi mwingine ni mradi wa maganga matitu ambapo serikali imeanza kufanya kazi yake,imeshamaliza majadiliano na mwekezaji ndani ya miezi miwili ijayo serikali itasaini mkataba ili aendelee na kazi yake na nchi iendelee kuvuna madini yake .
 
.Kijaji

Dkt.Kijaji amesema miradi hiyo ya kielelezo inaanza utekelezaji,na mradi mwingine ni mradi wa maganga matitu ambapo serikali imeanza kufanya kazi yake,imeshamaliza majadiliano na mwekezaji ndani ya miezi miwili ijayo serikali itasaini mkataba ili aendelee na kazi yake na nchi iendelee kuvuna madini yake .
 
Back
Top Bottom