Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

View: https://www.instagram.com/p/DEAaxkjMreY/?igsh=ajE2dTZkMmsxNHE2
20241226_082737.jpg
 
Huwa tunaambiwa eti Iringa Ina majengo marefu kuzidi Mbeya kumbe ni kamba kama kamba zingine.

Mbeya =13

Iringa=9

Tofauti ni kwamba majengo ya Iringa yapo eneo Moja wakati Kwa Mbeya Yako scattered
Screenshot_20241226-132116.jpg
 
Huwa tunaambiwa eti Iringa Ina majengo marefu kuzidi Mbeya kumbe ni kamba kama kamba zingine.

Mbeya =13

Iringa=9

Tofauti ni kwamba majengo ya Iringa yapo eneo Moja wakati Kwa Mbeya Yako scattered View attachment 3185486

Data za majengo wamefafanua vizuri mno wanaobishaga asee wanaumbuka
 
Weka ushahidi
Buseresere ni kata ya wilaya ya chato hapo ni ludete na katoro ambapo ludete Ina gorofa 12 na katoro 13 na hiyo buseresere 3 jumla 28 haya unacho pigaga kelele humu ndani Kiko wapi ni sawa na mji wa rujewa wenye kata za UBARUKU ,rujewa ,igawa na umalilo usongwe
 
Umechukua kata moja ya mji wa Katoro (ndani ya mji wa Katoro kuna kata ya Katoro) kuna kata zingine ikiwemo Ludete na BuseresereView attachment 3184978
Fuata mipaka ya halmashauri husika buseresere ni kata ya chato mbeleni lazima utakuwa mji mmoja ni sawa makazi yalivyoungana makambako makazi ya halmashauri tatu njombe DC na wangingombe DC na makambako tc mbeleni huu mji utakuwa mmoja ko kwa Sasa tuangalia takwimu za Kila halmashauri takwimu zinafuata mipaka halisi maana tukisema tufanye hivo makambako makazi Yataenda kwenye zaidi ya lakimoja na na nusu ingawa kijiografia maeneo yameshakutana kimakazi zaidi ya nusu ya mkoa wa njombe nyumba zipo eneo Hilo Ndo maana kama mkoa umeamua eneo hili ndo watengeneze mji wa viwanda na biashara pia ni sawa ilivyo mbeya jiji na mbalizi nk
 
Jiji linaloongoza kwa nyumba nyingi ni 1 ,Dsm ,2, mwanza Ina zaidi ya lakimbili , 3 dodoma Ina lakimoja na tisini ,4 inakuja Arusha laki na kumi Saba ,5 mbeya laki na kumi na tano inafuata ,6 Tanga Ina elfu themanini
 
Fuata mipaka ya halmashauri husika buseresere ni kata ya chato mbeleni lazima utakuwa mji mmoja ni sawa makazi yalivyoungana makambako makazi ya halmashauri tatu njombe DC na wangingombe DC na makambako tc mbeleni huu mji utakuwa mmoja ko kwa Sasa tuangalia takwimu za Kila halmashauri takwimu zinafuata mipaka halisi maana tukisema tufanye hivo makambako makazi Yataenda kwenye zaidi ya lakimoja na na nusu ingawa kijiografia maeneo yameshakutana kimakazi zaidi ya nusu ya mkoa wa njombe nyumba zipo eneo Hilo Ndo maana kama mkoa umeamua eneo hili ndo watengeneze mji wa viwanda na biashara pia ni sawa ilivyo mbeya jiji na mbalizi nk
Hapo umejitahidi kuchimba, but huwezi tenganisha Katoro na Buseresere ni kata zilizoungana 100%, hapo unaweza kunionyesha mipaka ?👇 KATORO na Buseresere. Jina la mji huu linalotumika ni Katoro
1728047293406.jpg
1727954071649.jpg
1727157280400.jpg
Screenshot_20241227-114351.png
 
Attachments

  • 1728047293406.jpg
    1728047293406.jpg
    514.2 KB · Views: 4
Fuata mipaka ya halmashauri husika buseresere ni kata ya chato mbeleni lazima utakuwa mji mmoja ni sawa makazi yalivyoungana makambako makazi ya halmashauri tatu njombe DC na wangingombe DC na makambako tc mbeleni huu mji utakuwa mmoja ko kwa Sasa tuangalia takwimu za Kila halmashauri takwimu zinafuata mipaka halisi maana tukisema tufanye hivo makambako makazi Yataenda kwenye zaidi ya lakimoja na na nusu ingawa kijiografia maeneo yameshakutana kimakazi zaidi ya nusu ya mkoa wa njombe nyumba zipo eneo Hilo Ndo maana kama mkoa umeamua eneo hili ndo watengeneze mji wa viwanda na biashara pia ni sawa ilivyo mbeya jiji na mbalizi nk
Acha kupotosha, miji ya makambako, Njombe na Wanging'ombe haiwezi ungana
Screenshot_20241227-114734.png
 
Acha kupotosha, miji ya makambako, Njombe na Wanging'ombe haiwezi ungana View attachment 3186210
Eneo linaloongelewa ni hili
152718.jpg
Makambako tc ,njombe DC na wangingombe na hapa makazi Yana mwingiliano mkubwa mno sijaongelea njombe tc imetenganishwa na msitu wa tanwat na ukiwa makambaKo makazi ya unaya view makazi ya halmashauri hiZi tatu tambarare ya kutosha
 
Back
Top Bottom