Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Miji yote inakuwa uwe unatembea tunacho angalia plan za mji ni zip Hiv umejua Serikali kuipa support njombe kwa kuwapeleka watalamu china wakajifunze uwekezaji wa kongani ya viwanda baada ya miaka kumi Hilo eneo litakuaje kaiangalie Lusaka Zambia nayo ilipeleka watalamu china mwaka 2019 Leo hii wachina wamejenga viwanda vya kutosha na kupitia reli ya TAZARA viwanda vitakuwa vingi mno haya geita toka wameanza kuchimba madini hadi Leo hamna hata kiwanda kikubwa Cha dhahabu ko ndo ujue Plani zenu bado ndogo njombe migodi ya chuma inaanza tayari wamesha plan na mji wa viwanda akili kubwaView attachment 3189247


lusakaView attachment 3189251
Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
 
Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
KANDA YA ZIWA MWANZA ITAENDELEA KUWA NYOOSHA HIYO GEITA YAKO NDO FUTURE INAENDA KUFA KABISA SUBIRI WAMALIZIE DARAJA LA KAGONGO TO BUSISI UONE KAMA KUNA JIPYA TENA GEITA kiwanda kikubwa kipo mwanza na si geita mzee list yako imejaa local industry 👇👇👇 Rais wa Tanzania Bi. Samia Suluhu amezindua leo kiwanda cha kusafisha dhahabu jijini Mwanza kinachoitwa Mwanza Precious Metals Refinery.
Kiwanda hicho chenye thamani ys Bilioni 12.2 za Kitanzania sawa na dola za Kimarekani milioni 5.2 katika uwekezaji wake kitasafisha dhahabu yote ya Tanzania.
Aidha kiwanda hiki kinatajwa kuwa kikubwa zaidi kuliko vyote Afrika Mashariki na kazi yake kubwa itakuwa kusafisha dhahabu za kimataifa.
Kwa siku moja kiwanda kina uwezo wa kusafirisha dhahabu kilo 480 na zinaweza kuongezeka mpaka kufika kilo 960 kwa siku katika kiwango cha juu kabisa cha kimataifa, yaani dhahabu ya Tanzania itasafishwa kwa asilimia 99. 9 ambayo ni karibu 100%
 
Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
Unaongea nini hivyo kumi na tano ni sawa na vinavyo jengwa industrial park moja tu mfano tu makambako steel industrial park itakuwa zaidi ya idadi HiYo ambao watatumia umeme megawatt 64 hapo huja GUSA idofi industrial park vya MADAWA nk , majengo industrial park Vimesheheni vya kusindika parachichi nk, mtwango industrial park Vimesheheni vya singboard ,ply wood , nguzo na mkaa vipo zaidi ya kumi na vingine vinaendelea kujengwa, na wangingombe industrial park Tayar wameanza industrial park ya kusindika mazao unga na mafuta ya alizeti project zinaendelea nilikwambia njombe walisha badili mtazamo hawakwenda Bure china UTAELEWA kwa nini wanawambia wanaanzisha mji wa viwanda na biashara
1733472001460.jpg
1735527973123.jpg
Mtwango vipo zaidi ya kumi vina deal na product za miti kama mafinga
38081-img-20210901-wa0028.jpg
1697948049588.jpg
1735701235646.jpg
0eef5-img-20210901-wa0040.jpg
 
Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
Huku milango ya viwanda imefungu wawekezaji wanatiririka baada ya miaka miwili utaielewa njombe tu 👇👇👇👇Uongozi wa Avocado Avenue Tanzania Ltd Wazuru Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe

Njombe, Desemba 13, 2024 – Uongozi wa Kampuni ya Avocado Avenue Tanzania Ltd ukiongozwa na Bw. Amin Manji, leo umefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe na kupokewa rasmi na Mkuu wa Mkoa, Mhe. Anthony Mtaka.

Katika mazungumzo yao, walijadili masuala muhimu yanayolenga kuimarisha uchumi wa wakulima wa parachichi mkoani Njombe. Miongoni mwa mambo yaliyopatiwa msisitizo ni kuanza kwa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata parachichi ambacho pia kitatengeneza mafuta ya parachichi. Aidha, kampuni hiyo imeahidi kununua parachichi zote, ikiwemo zile zilizokataliwa, na kuzigeuza kuwa bidhaa mbalimbali kwa ajili ya masoko ya ndani na ya kimataifa.

Mbali na kiwanda, Avocado Avenue Tanzania Ltd imeeleza mipango yao ya kutoa soko endelevu la parachichi kwa wakulima wa Njombe. Kampuni hiyo pia imeahidi kutekeleza programu za kuwawezesha wakulima kwa:
✅ Kutoa maarifa ya kitaalamu kuhusu kilimo bora cha parachichi.
✅ Kutoa msaada wa utunzaji wa mazao.
✅ Kuwasaidia wakulima kufanikisha mavuno bora na kuendeleza kilimo endelevu.

Kiwanda hicho kinatarajiwa kukamilika mwezi Machi 2025, ambapo kampuni hiyo itaanza kupokea mazao ya parachichi kutoka kwa wakulima. Aidha, kiwanda hicho kitatoa ajira za kudumu kwa watu 100 na ajira za mikataba kwa takriban watu 300, huku wakitarajia kushirikiana na kuwafikia zaidi ya wakulima 1,500.

Mhe. Anthony Mtaka ameipongeza Avocado Avenue Tanzania Ltd kwa kuamua kuwekeza mkoani Njombe. Akizungumza wakati wa kikao hicho, alisema:
“Nawashukuru sana kwa kuja kuwekeza katika sekta ya parachichi mkoani Njombe. Uamuzi wa kujenga kiwanda cha kuchakata parachichi hapa Njombe utaongeza thamani ya tunda hili moja kwa moja kuanzia hapa hapa mkoani. Hatua hii itakuza uchumi wa wakulima wetu na kuongeza ajira kwa wananchi wa Njombe na maeneo ya jirani.”

Kampuni ya Avocado Avenue Tanzania Ltd imeonyesha dhamira ya dhati ya kushirikiana na mkoa wa Njombe kuimarisha sekta ya kilimo cha parachichi na kuboresha maisha ya wakulima.
1735710316204.jpg
 
Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
MFano huyu alikuwa mwekezaji mkubwa Kenya saiz yupo njombe kajenga kongani yake ya viwanda vya parachichi na mafuta na bidhaa zingine za parachichi makambako kwa Tanzania ndo vitakuwa ndo vikubwa hivyo na ananunua parachichi Kila Kona ya Tanzania 👇👇👇👇"Bosi wa TIC atembelea Mradi wa AvoAfrica mjini Makambako" Bosi wa TIC atembelea Mradi wa AvoAfrica mjini Makambako
20240826_005007.jpg
20240826_004959.jpg
IMG-20250101-WA0000.jpg
A1-1-860x644.jpg
IMG-20250101-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom