Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Huu uzi mmuharibu, mapicha picha kibao yanin? Kwani vigezo vipi vinatumika kupima ukuaji wa mji, vitu km mzunguko wa pesa ambapo tunaweza kutumia ripot ya ukusanyaji mapato ndani na ripot ya TRA, mall kubwa kubwa, ongezeko la watu, kuimarika kwa huduma za afya na Elimu, miundombinu, upatikanaji wa maji na umeme wa uhakika.. n.k.
 
hakika haya maeneo unayajua mana umeelezea vzur sana
 
Naomba namba yako na picha NPO rombo apa
 
Mmh we jamaa nae kwa madarasa ya Tunduma haujambo,
Watu wanakuletea private investments wee umekazana na madarasa πŸ₯΄ he!!
 
Mmh we jamaa nae kwa madarasa ya Tunduma haujambo,
Watu wanakuletea private investments wee umekazana na madarasa πŸ₯΄ he!!
Kwa hiyo Tunduma hakuna private investments au siyo? 😁
😁

Kama kuna madarasa ya maghorofa shule za Serikali ndio private investments isiwepo?
 
Tunduma last time nimefika desemba 2021, kahama nimefika mara moja ilikuwa 2017, nywele zilinisimama sukuamini kama pale ni wilayani, hot ile mbaya mji unanuka hela ule, nadhani sababu ya kuzungukwa na migodi, πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅ πŸ’°πŸ’° kwa sana, hauhitaji kuumiza kichwa sana, hela iko nje nje, and project za ujenzi zilizokuwa zinaendelea unajua hapa si mchezo, tunduma ni ya wapita njia, inajengeka lakini isilinganishwe na kahama, pale wenyeji kina Kishimba mzee wa supermakets nchi nzima tusiwaharibie hadhi.
 
Tunduma inakua Kwa haraka Sana na NI sehemu ambayo inawafanyabiashara wengi Sana haswa Kwa nafaka na mahitaji muhimu kutoka sehem za jirani Kwa WANANCHI WA upande kuelekea sumbawanga na nchi jirani ya Zambia pia ni lango la kuelekea Congo kwaio uchumi wake unategemea Sana wasafiri wanaopita pale kila siku NI mji uliojaa watu wafanyabiashara kweli kweli na pamechangamka Sana lakn no sehem ambayo sio tambarare nadhani kutokana na miinuko miinuko that why mihundombinu ya Barabara za mitaani nying ni vumbi na ni halmashauri sio wilaya

Lakin kahama NI mji WA madini tofauti na tunduma mji WA wasafiri na wafanyabiashara WA nafaka

Kahama IPO tambarare , kahama inamiundombinu ya Barabara za mitaani kutokana na utambarare wake ni point ya biashara Kwa ukanda ule Ile ni wilaya sio halmashauri kama tunduma

Note ; tunduma ni kubwa iko spidi Sana kukua kiuchumi lkn kahama NI kubwa pia Kuna madini na Barabara za mtaani.

Siku niliyoenda tunduma nilishangaa kukuta magari mengi Sana halafu Mitaa mingi imechangamka Mitaa mingi kuna vibe . Kahama ikifika Saa 5 panachangamka tu pale stand Tu ya mabasi ya mkoani maana kuna abiria wanalala kuendelea na safr asubui kuelekea kigoma.


Tunduma imechangamka Sana pesa Tu zinaongea pale fikiria kama kungekua na mgodi pale ingekuaje.
 
Hatufanyi mjadala wa dini kwamba tutaamini bila picha,weka picha tuone uhalisia.
 
Tunduma-Dodoma..

Abood Bus,
Shabiby Line,
Trinity Express πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-100627.png
    151.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220924-161759.png
    338.6 KB · Views: 17
View matata Sana ya TundumaπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221001-230801.png
    149 KB · Views: 19
Tunduma -Dar

Ilasi,
Abood,
Kilimanjaro,
New force,
Sauli,
Superfeo
πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-084716.png
    119.2 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220924-090159.png
    57.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220924-100428.png
    183.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220925-093733.png
    146 KB · Views: 12
  • 20221001_074604.jpg
    79.8 KB · Views: 14
  • 20220925_093427.jpg
    88.9 KB · Views: 16
Huduma za Afya Mjini Tunduma..

Hospital 1 ya ngazi ya Wilaya naViguo vya Afya 6.

-Tunduma HC,
-Mpande HC,
-Chapwa HC,
-Mwaka HC,
-Chiwezi,
-Chipaka.

πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-093337.png
    121.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221009-093416.png
    46.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220812-105332.png
    241.1 KB · Views: 15
Tunduma inazidi kupaa kimaendeleo..

Vitendo vinaongea zaidi kuliko mdomo πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-094301.png
    116.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221009-094357.png
    52.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20221009-094433.png
    128.9 KB · Views: 12
Changamoto Katika ya mafanikio..

Msururu wa maelfu ya magari ya mizigo Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221013-130923.png
    111.5 KB · Views: 16
Tunduma inazidi kupeleka moto Kwa Manispaa ya Mchongo ya Kahama πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_062825_729.jpg
    1.1 MB · Views: 16
  • IMG_20221015_062826_706.jpg
    1.2 MB · Views: 12
  • IMG_20221015_070029_378.jpg
    954.5 KB · Views: 12
  • IMG_20221015_070155_048.jpg
    1.5 MB · Views: 14
  • IMG_20221015_071403_114.jpg
    1.4 MB · Views: 12
  • IMG_20221015_071431_038.jpg
    1.3 MB · Views: 13
  • IMG_20221015_082130_351.jpg
    1.2 MB · Views: 13
  • IMG_20221015_082500_143.jpg
    1.1 MB · Views: 12
  • IMG_20221015_081730_244.jpg
    1,007.7 KB · Views: 12
  • IMG_20221015_080804_070.jpg
    1.6 MB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…