Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Hii ndio maana Halisi ya Tunduma kuwa Halmashauri ya Mji inayoingiza mapato mengi Tanzania nzima..πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_081450_452.jpg
    1.2 MB · Views: 17
  • IMG_20221015_081421_862.jpg
    1.2 MB · Views: 15
  • IMG_20221015_081450_452.jpg
    1.2 MB · Views: 18
  • IMG_20221015_073825_016.jpg
    809.4 KB · Views: 16
  • IMG_20221015_073811_766.jpg
    783.6 KB · Views: 17
  • IMG_20221015_073451_925.jpg
    778.9 KB · Views: 17
  • IMG_20221015_073416_209.jpg
    1,001 KB · Views: 19
  • IMG_20221015_171442_294.jpg
    1.4 MB · Views: 16
Hakuna siku itakuja kutokea kwa Kahama kuipita Tunduma..

Tunduma lango kuu la SADC πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_083448_845.jpg
    1.1 MB · Views: 18
  • IMG_20221015_083339_149.jpg
    949.1 KB · Views: 15
  • IMG_20221015_082953_049.jpg
    1.1 MB · Views: 15
  • IMG_20221015_082934_183.jpg
    1 MB · Views: 15
  • IMG_20221015_080850_259.jpg
    979.7 KB · Views: 15
  • IMG_20221015_080744_745.jpg
    750.6 KB · Views: 16
  • IMG_20221015_081730_244.jpg
    1,007.7 KB · Views: 16
Tatizo la mnaoleta hizi Mada wengi Mnasimuliwa Kuhusu sehemu flani halaf unaleta uzi.
Kwa Mimi niwe Mkweli sijawahi fika Tunduma ila kwa mnavyovisema kua vipo Tunduma kahama vipo Vingi tu na tushasahau.
Mtu anasema kahama Hakuna Malori anajivunia Tunduma ni Border kitu watu wengi hawajui Parking kubwa ya Magari yote ya Mizigo Hayo Malori yaendaΓ½o Burundi,Rwanda,Uganda Ipo Kahama parking ambayo ni kubwa na ya kisasa ipo maeneo ya Viwanda vya Ndegesela.
Mtu anasema kahama Hotel za Gorofa muangalie sana hajielewi.
Zile Submarine Hotel,Gaprena,Mongo Hotel ni Vyoo??
Mtu akisema Sehemu za Burudani kahama ndio usiseme kuna
Magic101
Chillax na zingine wataalamu wa haya mambo wanajua.

Kahama kuna Lodge kama Maparachichi Mbeya ukivuka hatua 10 Lodge sio Viguest vya Kunguni ni Lodges za Maana.

Kahama kuna SuperMarket na Min SuperMarkets nzuri na Nyingi

Niseme hivi watu wa kusini wengi hua wanaijua zaidi Shinyanga na ukiwaambia KAHAMA ni kubwa na ina mzunguko Mkubwa wa Pesa zaidi ya Shinyanga hua hawakubali hata uwaue,Mi kuna Rafiki angu alikua anatoka Njombe nilikua na Mwambia Daily ukifika kahama hutoamini anakataa Now mwaka huu amefika Kahama amesema hatamani Kurud kwao Njombe.
 
Unaongea mambo usiyoyajua..

Nenda Tunduma hata sasa kaone mziki wa malori ndio utajua..πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221015-225110.png
    184.6 KB · Views: 19
  • FB_IMG_16672583793502287.jpg
    35.9 KB · Views: 17
Unaongea mambo usiyoyajua..

Nenda Tunduma hata sasa kaone mziki wa malori ndio utajua..πŸ‘‡
Jamaaa Ndezi sana kweli wewe umeelewa Point Yangu?
Nimesema hivi Kahama Sio Border pale lakini Parking kubwa Yote ya Magari yaendayo Mikoa ya Uganda,Rwanda,Burundi ipo Pale ni Parking Kubwa As If pale kahama ni Border.

Ushafika Kahama au unasimuliwa Mkuu?
 
Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221018-112812.png
    116 KB · Views: 24
  • Screenshot_20221018-112723.png
    145.5 KB · Views: 22
  • Screenshot_20221018-112947.png
    194.6 KB · Views: 20
Njia 4 kujengwa Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-185839.png
    170 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221103-185856.png
    47.1 KB · Views: 12
Ujenzi wa shule ya gorofa na nyumba za walimu mbioni kukamilika Halmashauri ya Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-190242.png
    127.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221103-185612.png
    220 KB · Views: 9
Ujenzi wa Kituo Cha Afya kata ya Mpande Tunduma TC ukiendelea kwa hisani ya mapato ya ndani.

Ieleweke hiki litakuwa ni Kituo Cha Afya cha 7 πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-185515.png
    205 KB · Views: 9
Ujenzi wa Soko la Machinga,Machinag complex ukiendelea Mjini Tunduma,zaidi ya Bil.5 zitamwagwa hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-185548.png
    260.8 KB · Views: 13
Tunduma yaweka rekodi mpya kwenye ukusanyaji mapato robo ya kwanza july-Septemba yakusanya zaidi ya Bil.3.7..

Kwa sasa Ukusanyaji wa mapato ni Zaidi ya Bil.1 Kila mwezi na Kwa Mwendo huu hadi Mwezi Juni 2013, Tunduma inaweza kusanya zaidi ya Bil.12 kwa Mwaka..

Kuna Halmashauri zinajiita Manispaa ila njaa kali kama Kahama πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-190227.png
    182.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221103-190201.png
    107.5 KB · Views: 14
Stand mpya ya Tunduma yaanza kutumika πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-190330.png
    147.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221103-190419.png
    202.1 KB · Views: 18
Wewe umepata halmashauri ya mji 2010 kahama amepata halmashauri ya mji 2012 kumbe kahama ndio inakimbia na 2021 imekuwa manispaa aise kutangulia sio kufika pole kahama ni levels zingine wewe jilinganishe na chato hata hivyo huiwezi sanasana pambana na nzega
 
Sio kweli Kahama ni Kongwe kuliko Tunduma,Kahama imekuwa hivyo kabla ya 2012 acha mzaha Mzee.
 
Sio kweli Kahama ni Kongwe kuliko Njombe,Kahama imekuwa hivyo kabla ya 2012 acha mzaha Mzee.
Nimeajiriwa kahama 2008 nimekuta wanaitwa halmashari ya wilaya mkurugenzi ni mmoja anahudumia halmashauri zote 3 za kahama mwaka 2009 wakaingia mamlaka ya mji mdogo na 2012 wakaingia halmashari ya mji na zikazaliwa halmashauri 2 za ushetu na msalala labda kama unazungumzia kuhusu wilaya ni wilaya kongwe ila kwa hadhi ya miji wameanza 2012
 
Kahama. Siku wakifunga ule mgodi was buzwagi Hakuna rangi wataacha kuonaa
Sio kweli uliza wenyeji mgodi ulishafungwa toka 2021 sema siku machimbo madogo yakiisha ndio itakuwa shida na kama ni kigezo buzwagi tarime kuna mgodi north mara mbona hamfanyi nao battle jibu hawana kila kitu kahama imekuwa ikishaini kwa mapato toka miaka ya 1999 lakini buzwagi imeanza 2007 ikafungwa 2021 kipindi cha sakata la makinikia sasa hivi walishauza mitambo yote wanafukia mashimo na kupanda miti ya machungwa nenda Google habari ya kufungwa utaikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…